hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aisee usimchukulie poa mwanaume anaeipitia ukata mkali tena unakuta ana wategemezi. Kama haujawahi kuwa level hii utamchukulia poa. Ukata unauma sanaa

    Ebu acheni Una enjoy luxury ya kucheka na moyo umetulia. Kupost JF kwa mbwembwe maana moyo wako sio mzito Kuna mtu anaamka anapokelewa na machungu, hajanywa chai simu tatu za kukumbushia madeni, wife ndio huyo anakuambia watoto nguo zinawabana. Sio kwamba haukujipanga ila ni basi katika...
  2. JamiiForums Tanzania Nishauri tu ndgu zangu developer wa hii jamii forum, ipo kasoro somewhere

    Kazi ni kipimo cha utu. Assalam Alaika. Ndugu zangu watumiaji na wahandisi wa jukwaa pendwa JF. Nitumie Fursa hii kushauri jambo kwa wajenzi wa jukwaa, kuna baadhi ya MAENEO ya jukwaa unajiuliza nikiingia kusoma naanzaanzaje, twende kwa mifano 2026 FIFA World Cup - Special Thread Ukiingia humu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Huenda "Kuumbwa kwa watu" ndio sababu halisi iliyomfanya shetani amuasi Mungu

    Ukisoma story ya ENKI na ENLIL unaweza kupata picha ya ninacho kisema hapa. Huenda hii Ikawa ndio sababu halisi kwanini shetani alimuhasi Mungu... Shetani hakupendezwa na mpango wa Mungu kumuumba binadamu na kuja kumtesa hapa duniani.. Ndio maana akaamua kuanzisha uasi huko mbinguni...
  4. K

    JamiiForums Tanzania BAKWATA mpeni adhabu ya kisharia shakh Walid Kawambwa hii itamsafisha na huu uchafu.

    Jana Baraza kuu la waislamu Tanzania lilimfuta kazi shekh Walid shekh wa mkoa wetu wa Dar es salam kwa tuhuma za uzinzi Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa adhabu yake apondwe mawe hadi afe na hili ndilo linamstahili shekh Fanyenye hivi kwasababu nyie na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji Tanga, hatua hii ni kwa faida ya nani?

    Kwanini watu washukie na kupakia Kange wakati 98% ya watu wanakaa mjini Tanga na viunga vyake excluding Kange? Ridiculous kuwa gari liko barabara say ya 14. Analiacha anapanda basi dogo kwenda kupakia Kange! Una maana gani kwa hatua hii? Most likely wewe and your cronies mna daladala zenu...
  6. JamiiForums Tanzania Jenzii watadhania hii ni dildo😅

  7. JamiiForums Tanzania Video: Wakaka wa jf kutuma na yakutolea mmeshindwa mnajifanya wanaume haya hii challenge ya kiume mnaiweza

    Wanaume wa jf mmejaa majigambo tele haya mnameza kumjibu huyu mwenzenu kwa challenge hii: (kwa mtazamo wangu huyu ndio mwanaume huyu hashindwi kunibeba) https://vt.tiktok.com/ZSXrCKy7k/
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watu wengi sana wanatamani biashara ya madini wanapowaona matajiri lakini wanafichwa mengi, hii ni biashara katili sana

    Ni moja kati ya biashara ambayo wabongo wanajihusisha sana na NDUMBA, hata uwe msomi kama utahitaji kujimix na hao watu, kwao ndumba kwanza vingine vitafuata, usipokuwa tayari ni ngumu kupewa ushirikiano Inahitaji uwekezaji mkubwa na bado hakuna gyarantee, unaweza kuwekeza milioni 100...
  9. JamiiForums Tanzania Rwanda ni nchii ndogo ila kwa tanzania mnapoelekea kuwa na kila kitu hii CCM inaenda kuifanya kuwa Zimbabwe

    Kuna neno pale kariakoo kuna simu janja ukisikia msemo wanasema mletee kubwa jinga ni kwamba yani ukubwa wa kifaa sio sahihi wa matumizi. Kwa tanzania kwa mtindo wa CCm wanaotumia ni kama wanazidi kujiweka gizani. Mfano watalii wanaokuja kutembea hapa ni wengi wanatumia kenya,rwanda na nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Top 20 ya muda wote ya nyimbo kali za kiafrika hii hapa.

    Hizi ni nyimbo kali 20 za kiafrika za muda wote. Haihitaji ubishi. 1. Rangi ya chungwa - Tabora Jazz https://youtu.be/5zkWzZB8EYM?si=GVY_U-bk0DPEpAyj 2. Mario - Franco Luambo × TP OK jazz https://youtu.be/7zZyGkGN7Sw?si=8VWknq5qmu21oswg 3. Umqombothi - Yvone Chakachaka...
  11. JamiiForums Tanzania Wabunge wote wa Mkoa wa Singida wamekuwa hawataki Lissu aachiliwe, too sad

    Leo Wekend nilipata wasaa wa kukutana na mtu wangu wa idara za juu, katika maongezi kanihabarusha jambo la ajabu sana kuhusu Lisu, kwamba swala la Lisu lina shinikizo kubwa sana la Kisiasa, kuna pande mbili ndani ya watu wa juu CCM, moja haitaki aachiliwe na nyingine ikisema aachiliwe tu. Ila...
  12. JamiiForums Tanzania Kwenye hii Dunia usipojua unachokitaka lazima uwe malaya

    Hii Dunia ukiwa haujui unachokitaka hata kwenye mahusiano utahamahama sana lazima uwe malaya , maana wanaume matajiri hawaishi yupo tu atakayemzidi uliyenaye , wanawake wazuri hawaishi yupo mzuri kuliko uliyenaye.
  13. JamiiForums Tanzania Hii ndio biashara ya kufanya Kwa kijana anayetaka kufanikiwa/kuongeza kipato.

    ukiwa na mtaji chini ya million 20 usijichanganye kwenye biashara za muonekano ambazo, taka, frame, TRA, manispaa, ulinzi n.k wote wanakuangalia wewe, na hii era tunayoenda nayo ndio basi tena, Kwa miaka ya Sasa mtaji wa 5M -10M ukiikimbiza kwenye frame labda uwe na rare skills ambazo watu...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ya Lissu na Heche ichangiwe kwa moyo mweupe. Fedha zipo salama hii sio ile SACCOS ya Mbowe.

    Natoa wito kwa Watanganyika wote na Wazinzabari kuichangia Chadema hii maana ipo kwa ajili ya ukombozi wa taifa letu. Kutoa ni moyo. Watu wachangie bila kuwa na hofu . Pesa na michango ipo salama tofauti na zama za Mbowe. Propaganda mfu za wanaCCM waliokosa sera zisisikilizwe. Mimi binafsi...
  15. JamiiForums Tanzania Hii imetokea wapi?

    Aise watu wanajiamini. Pesa kweli inajeuri ingawa hatufahamu kafanyiwa nini mpaka akawa na hasira kiasi hiki.
  16. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete Apinga KATIBA Mpya, Apinga kuachiwa kwa Lissu , yote haya ni sababu ya 'Urais' aloandaliwa anaona unapepea peeeee

    Huyu Jamaa Sasa ndio kajionyesha yeye ni Mtu wa Aina gan. Tulidhani labda ni Matumizi tu mabaya ya Nafasi ya Baba yake... Huyu Mtu ana uchu wa Madaraka, Mtu aliyetayari kufanya lolote ili mradi Awe Rais.
  17. F

    JamiiForums Tanzania Hii namna mpya ya kuandamana hapo hapo na kiongozi akiwepo jukwaani inaweza kuleta mapinduzi makubwa kwenye siasa za Tanzania

    Tumeona kwenye tamasha la bongo fleva Mlimani City jinsi ambavyo wahudhuriaji walivyokataa mambo wasiyoyataka. Tumeona naibu waziri wa utamaduni akizomewa kwa kutaka kuingiza siasa kwenye burudani. Pia tumeona hayo hayo yakimtokea Dully Sykes kwa kumtaja tu Makonda. Haya yanatufundisha nini...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Show ya Miaka 30 ya Bongo Fleva. Je, Lugumi kafadhili hii Show?

    Katika pitapita zangu leo mtaani, nimekuta watu wakibishana kwamba miaka 30 ya Bongo Fleva pale Mlimani City , Ndugu Yetu Bilionea Lugumi kafadhili hii Show. Je, ni kweli???
  19. JamiiForums Tanzania Zamani: Hii cable ya kihindi ilitaka kuuwa mtu

    Nimepita mitandaoni huko nikaona hii Cable ya umeme , nikakumbuka miaka ya 2000. Kuna siku nilitoa hii Cable kwa nje nikachomeka mashine ya kunyolea. Sasa wakati nasubiri katokea mtoto wa jirani na msumari wa nchi 6. (Misumari tulikuwa tunatumia kucheza mchezo unaitwa domeka) Mnachora jedwali...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi hii nyimbo ya Oya Mr. Dj Nipoze Moyo Dj naisikia sikia inapigwa sana muda huu kaimba nani?

    Anasema, Hapo kwa juu kwa moyo panakwangua Kwenye ubongo kuna ka -kitu kanasugua Haki ya Mungu lile likenge lingeniua Si angesema ka -anauza ningenunua Oya Mr. Dj Nipoze moyo Dj Ongeza sauti Dj Nitakutunza Dj Hii nyimbo kaimba nani wakuu? maana naisikia kwa mbali kweli Naomba kufahamu jina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…