hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Emergency call kwa wazarendo wa nchi yetu ambao hawajaridhia maazimio ya bunge la CCM.

    Pamoja na hawa watu kujimwambafy kwamba wamepitisha hili azimio ovu biggest majority wanaugulia maumivu .ombi langu kwa hawa wafuatao. 1. Naomba experts wa JF waandae petition kukataa haya maazimio ambayo in reality hayareflect maoni ya wananchi. 2. Ombi la pili naomba expert wa jf waandae...
  2. JamiiForums Tanzania Mkush vs Ulimwengu na Walimwengu

    🥂RAHA YA KUwA MKUSHI 🥂 Wakushi asili yetu ni upendo hatubaguani tuna pendana 🥂Wakush hatuogopi kufa kwakuwa tunajua hii miili ni kama bodaboda tu tunapanda na kushuka 🥂Wakush tupo huru kifikra hatuabudu/kushadadikia vitu visivyo na ushahidi 🥂Wakush hatuna hofu ya mungu wa israel wala mungu...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ila hii nchi hii sijui dunia inatuonaje sio kwa vituko hivi

  4. P

    JamiiForums Tanzania Mpaka wanaongea na simu wakati mjadala ukiendelea bado tunajiuliza kama hii ni geresha?

    Wakuu, Huu mjadala bungeni ni geresha tu, kutuuza mchana kweupe na watu tupo tu tunafatilia eti tuone maajabu yakitokea. Mnafikiri kitatokea kitu tofauti? Si ni kuridhisha tu watu kuwa kuna taratibu zilifanywa kutoa maelezo kwa wananchi kuwa mkataba huu ulipitiwa vizuri kabla haujapitishwa😂😂...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu inapojitapa haifanyi biashara.. huku ikiuza Bandari zetu kwenye kampuni inayomilikiwa na serikali, hii ni sawa na kusemaje?

    DP, ni kampuni inayomilikiwa na serikali ya Dubai! Wakati sisi serikali yetu ikituaminisha kwamba, ni ujinga kwa serikali kujihusisha na biashara na wakati huohuo inaipa kampuni ya DP bandari zetu, ambapo ni kampuni ya kiserikali huko Dubai, Hapa imeshajulikana nani ni nani Msemo huu ndio...
  6. JamiiForums Tanzania Lowasa, huu ndiyo ungekuwa Uraisi wake, hii ni version yake!

    Kama Lowasa angeshinda Uraisi hiki kinachotokea sasa kingeshatokea tangia 2015-2020, kwa maana marafiki wa Lowasa ambao walikuwa wanadhamini Kampeni zake za Uraisi ndiyo wanaouza Bandari yetu leo ingawaje hamuwaoni pichani lkn ndio wanao pull strings, hao mnaowaona wanabwabwaja ni watumwa tu na...
  7. JamiiForums Tanzania Babutale: Zuchu akitaka kuondoka alipe bilioni 5

    Harmonize aliondoka kwa Milioni 500 Rayvanny ni kama ameondoka kimaigizo ila kalipa nae milioni 500 Zuchu bilioni 5. Off course huwa kuna kumkuza mtu brand yake na kumtengeneza awike, lakini hivi viasi vya pesa huwa sawa ? Is it fair?
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  9. JamiiForums Tanzania Mzazi usimroge mtoto wako, mbariki

    Tafadhali, kama haujatajwa, kaa mbali na huu uzi! Huu uzi ni mahsusi kwa ajili ya watajwa tu, Wababa wenye Akili na Wamama wenye akili. Kuna mambo makuu mawili kwa walengwa: onyo na ushauri Onyo: USIMLOGE MWANAO. Ushauri: MBARIKI MTOTO WAKO. Kwenye mojawapo ya vitabu vya Robert Schuller...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mliopata ajira za serikali wasaidieni wale walokosa ajira kinamna hii

    Hongereni wote mliopata mliopata ajira katika kada ya Ualimu na Afya ni wakati wa kwenda kulitumikia Taifa na kuwafuta machozi wale waliokuwa wanawategemea makubwa hasa baada ya kumaliza Elimu. Lengo la uzi ni kuwaomba wale wote waliochaguliwa ajira serikalini na kwa hakika katika hao kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania Hotuba hii ya Mkapa itufumbue Macho

  12. JamiiForums Tanzania Kuhusu Bandari zetu: Hii ni Kandrasi, Ukodishaji, Upangishaji, Uuzaji, Uwekezaji, Ubinafishaji, Ubia ni PPP au tumetapeliwa?

    Bandari, viwanja vya ndege, electric power supply plants, reli na barabara ni maeneo mhimu sana kiuchumi na kiusalama wa taifa lo lote duniani. Hili halina ubishi. Hivyo umiliki na mamlaka ya uendeshaji yanapaswa kuwa ya taifa lenyewe kwa asilimia 100%. Mamlaka haya hayapaswi kuporwa na mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Kamati maalum ya TLS kuchunguza Mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar

    BARAZA la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) limeunda kamati maalum ya wataalamu kuchambua makubalino yaliyoainishwa katika mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar es Salaam kati ya serikali ya Tanzania na Kampuni ya Dubai ya DP World. Rais wa TLS, Wakili Harold Sungusia amesema kamati...
  14. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

    Picha: Nape Nnauye Habarini JF GT! Jana wakati Membe akirudishiwa kadi ya CCM, Mbunge wa Mtama na Wazari wa Habari nchini aliongea kauli mbaya Sana Na Yenye kufedhehesha kwa Marehemu. Kwa tamaduni za kitanzia Sio sawa kumsema Marehemu, na hata Ukitaka kumsema Marehemu utamsema kwa Mazuri...
  15. JamiiForums Tanzania Browser nyingine siyo safe kabisa angalia hii

    leo nimeingia Play Store kuitafuta UC browser kwasababu inasevu data sana, cha ajabu sijaiona. nafikiri imeondolewa Play Store. Nikiwa Play Store nascroll down, nikakutana na browser ngeni yenye logo kama ya UC browser, hiyo browser inaitwa Broswer Go, inavyofanana na UC broswer moja kwa moja...
  16. JamiiForums Tanzania Wakristo mnatakiwa kuungana na waislamu kwenye hii vita

    Wakristo mnatakiwa kutambua kuwa hamna nafasi ya kushinda propaganda za LGBTQ isipokuwa kwakufanya muungano na Waislamu katika kupigana vita na Hawa wapotovu, Bibilia Iko wazi kwenye suala la ushoga kwamba ni laana na dhambi kubwa lakini Kuna baadhi ya viongozi wenu wanajaribu kupindisha...
  17. JamiiForums Tanzania Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

    Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha. Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake. Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri. Hata jinsi alivyowakilisha...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie gharama za finishing nyumba kama hii

    Naomba wataalam wanisaidie gharama ya finishing nyumba kama hii
  19. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo CWT niijuayo

    Mimi ni mwanachama kwa zaidi ya miaka 15. Miaka michache iliyopita CWT ilitangaza nafasi 12 za makatibu wa wilaya. Nikajaribu kuomba. Mchakato ulikuwa ni kama ifuatavyo: 1. Unaandika barua ya maombi kwa katibu mtendaji Taifa, ukiambatanisha nakala za vyeti, salary slip, kitambulisho cha...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwa hali yangu hii kweli nitaweza kudumu kwenye mahusiano? Madaktari wananichanganya kabisa

    Nimekuwa na changamoto kubwa ya kujihisi hamu ya kufanya mapenzi kila wakati. Nimezunguka hosp nyingi duniani wataalam wanipunguzie hii hali imeshindikana. Madaktari wanasema ni kutokana na maisha, mwili wangu na vyakula na vinywaji navyotumia. Wanasema ni tatizo la kutokuwa na stress katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…