hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wachaga kwanini hamsemi mbege inanenepesha namna hii?

    Huyu Dada analetaga mbege kwenye bar moja maarufu jijini Darusalama. Mfanyakazi wake kibinti cha 2008 ndo aliesababisha niwe nanunua mbege hapo. Ghafla nimekuwa addicted na mbege plus nimenenepa.... Naonekana sasa kama mgonjwa wa akili kwa sababu naamini unene ni ugonjwa wa akili. Kunenepa...
  2. JamiiForums Tanzania Sasa kidume unakuwa shoga, nyama kama hii ale nani?

    Kidume unaamua kuwa *****, unachagua kupelekewa moto, sasa watoto wazuri kama hawa, awale nani? Baadhi ya vidume mliochagua kuwa machoko mnafanya kizazi chetu cha kiume kichukuliwe poa sana. Mimi ningekuwa Rais wa nchi hii ningepiga risasi machoko wote. Najua mpo humu nawamaindi ile mbaya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuwa tunazilaumu Kamati za Usajili bure kumbe Wachezaji 'Top Class' Afrika hii ni Adimu sana au Wameisha

    Timu za Tanzania zinaongoza kwa kuzoazoa wachezaji mseto kutoka Drc, Senegal, Nigeria, Mali nk...tukifuatiwa na Al Hilal ondurmana ya Sudan.na kule Libya. Nilichokuja kugundua Wachezaji wengi wanaocheza mpira ndani ya Africa hii, wana mfanano mkubwa sana wa kisoka... Ni nadra sana kupata...
  4. JamiiForums Tanzania Hii video imejaribu kuelezea muhtasari mfupi wa hizi beef utumbo za humu JF ๐Ÿ˜

    Mnatukanana kwa emojis na ID hewa za majina ya uongo๐Ÿ˜
  5. JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wapenda muziki tu

    Haya wakuu tangazo hilo hapo soma NB: ukitaka booster la bass spika tu linaloshuka frequency mpaka 10hz ni wewe tu Ukitaka mpk la 400 watts ni ww naposema 400 watts ninamaanisha zile zenyewe kabisa pure siyo zile za kichina 2000 watts ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ kumbe watts pure ni iliyomo ni 40 tu...
  6. JamiiForums Tanzania Ukitaka booster la bass spika tu linaloshuka frequency mpaka 10hz ni wewe tu

    Haya wakuu tangazo hilo hapo soma NB: ukitaka booster la bass spika tu linaloshuka frequency mpaka 10hz ni wewe tu Ukitaka mpk la 400 watts ni ww naposema 400 watts ninamaanisha zile zenyewe kabisa pure siyo zile za kichina 2000 watts ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ kumbe watts pure ni iliyomo ni 40 tu....... Nakusukia...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu hii picha imebeba ujumbe mzito sana

    Ujumbe huu ni mzito sana. ๐Ÿ‘‡
  8. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa "minara" kwenye magari ya abiria kusini unawakwaza wateja/wasafiri, mamlaka ondoeni hii adha

    Kina huu utaratibu nimeuona kwenye magari ya huku kusini sijui kwingine nako ni hivyo hivyo au la!? Yaani siku hizi gari ina vituo bubu (visivyo rasmi) njiani. Hatukatai vituo hivyo lakini kinachokera ni kwamba vituo hivyo vinamcontrol kila mtu anayehusika na gari kiasi kwamba nyinyi abiria...
  9. K

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, Picha hii ya Dr. Bessigye akiwa Lukwago gerezani, imechapishwa na Muhoozi Kainerugaba?

    Je, ni upi uhalisia wa picha hii?
  10. JamiiForums Tanzania Wenye Uzoefu na hii JBL BAR 1300MK2

    Wakuu niliikuta sehemu jamaa akaijaribu niliipenda sana nawauliza ni Chaka gani hapa Tanzania naweza kuipata JBL BAR 1300MK2 chini ya sh. 4M kwa kweli Mziki wake unaotoka humo niliupenda sana Full Specifications JBL Bar 1300XMK2-11.1.4 Channel Soundbar System With Detachable Surround...
  11. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii Dunia imejaa madeni kila kona haiwezi kujiendesha kwa Kodi na Mikoo tena | Tegemeo la Dunia kwa sasa ni Ubia (PPP) - Kafulila

    KAFULILA: DUNIA IMEJAA MADENI UBIA NDIO SULUHISHO Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Kafulila, akizungumza katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), alisema kuwa ajenda ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi siyo ya Tanzania pekee, bali ni mwenendo wa dunia kwa sasa...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ya sasa inakubalika kuliko hata TANU ya mwl Nyerere iliyopigankia uhuru wa bendera. Sasa hivi watu wanataka ukombozi

    TANU haikuchangiwa kama inavyochangiwa Chadema hii ya Leo. Chadema ya leo imepata vizingiti vya kila aina. Kuwekwa ndani, kubambikiwa kesi za uhaini na kupowa mali zao. Tanu ilichangiwa na matajiri wachache ambao wlikuja kugawiwa magorofa yaliyopo Kariakoo kama shukrani na Mwalimu Nyerere...
  13. JamiiForums Tanzania Hii kampeni OPOWAZ ya tarehe 8/8/2026 ina ukweli wowote?

    8/8/2026 utafanyika uzinduzi mkubwa sana wa kampeni ya OPOWAZ hii ni kampeni rasmi ya kuwaondoa wazanzibari Tanganyika na watanganyika warudi nyumbani kila mmoja akae kwake ajenge nchi yake hivyo basi kama umepangisha mzanzibar jiandae kumuondoa kwaamani kukwepa hasara , Nduguzetu watanganyika...
  14. JamiiForums Tanzania Kumbe hii nyumba ya John Heche ndio ushahidi wa tuhuma wanazotengeza? Looh!.. hawa watoa tuhuma ni vilaza kwelikweli, hawamjui Heche wa nje ya siasa!

    Eti hiki kijumba ambacho actually is very contemporary sawa na ramani ya choo cha Shule ya Msingi Temeke Wailes ndio ushahidi wa mabilioni ya shilingi ambayo wanadai John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameyatia mfukoni mwake na kuyatumia binafsi kujengea kama... Haya ndio madai ya chawa wa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaita T3 [titi, tumbo, t*ko] yani mdada yoyote akishakuwa na combination hii ilionyooka basi maisha yake ya hapa duniani anachukuliwa kama malkia

    Wadada wote JF wenye T3 sema oyeeeโค๏ธ Yani unakuta mrembo hayo maaanabeli yake hapo kifuani yapo round, manene ya wastani alafu yana point mbele, tumbo ndio hilo lipo flat, side stomach yake haina nyama bali imetoa njia kuruhusu hips zitoe shangwe alafu unakuta makebo ndio usiseme, yapo curvy...
  16. JamiiForums Tanzania Mliopo single chukua hii

    Mliopo single muda mwingine mjaribu kulala mlango wazi inawezekana soulmate wako ni mwizi
  17. JamiiForums Tanzania Nimesoma hii comment ya huyu hadi mwili umesisimuka

    Pole sana bwana PERAMIHO YETU 1
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mdada wa aina hii asikukubali tu kwa hali ya kawaida uliyonayo mjenge pamoja maisha? Kwanini sisi wapambanaji wa chini ni ngumu kuwapata?

    Kwanini dharau zinakuwa nyingi kutoka kwa wadada wa aina hii? kuna shida gani tukajenga wote maisha tokea chini? Kwani ni lazima unikute na gari tayari? Hatutaki wa aina yenu wa telegram, tunataka mkiwa warembo mtukabalie na tutawafanyia makubwa mambo yakiwa makubwa.
  19. JamiiForums Tanzania Kocha Julio awatukana waandishi wa Crown Fm kipindi kikiwa live asubuhi hii

    Baada ya Kocha Jamhuri Kihwelo Julio kufutwa kazi jana na klabu yake ya Mashujaa Fc leo Crown Fm wakaamua kumpigia simu. Juma Ayo akapiga simu, akakutana na matusi live bila chenga. Julio akawaambia nyie Crown Fm nawachukia sana maana hapo kuna waandishi was*nge sana, Ikabidi Crown Fm wa-...
  20. JamiiForums Tanzania Kwenye hii picha vipo vitu vitano wanaume wengi tunavipenda, vitaje

    MUWE NA ASUBUHI NJEMA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ