hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa darasa/Class/Standard 3 anasoma mambo makubwa sana

    Mtoto wa darasa/Class/Standard 3 anasoma mambo makubwa sana. Kwenye Math... Anasoma namba mpaka 1 million?!!! Class 2 kasoma 100 to 999. Mtoto ambaye ku add namba 3 ni mtihani kwake!! Kwenye Science... Anasoma hadi What is physics? What is chemistry?!! Pia, science ya class 5 imeletwa class...
  2. JamiiForums Tanzania Video: Mwizi kapatikana, kwa adhabu hii harudii tena

    Wananchi wamemwambia Mwizi "sisi hatukupigi hata kidogo, ila we amisha maji kwenda ndoo nyingine kisha ondoka". ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako?
  3. JamiiForums Tanzania Matokeo ya hii shule ni ya ajabu zaidi kuwahi kuyaona ni private school

    Hii inashangaza. Nimejiuliza maswali mengi. https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/csee/CSEE2023/results/s1475.htm
  4. JamiiForums Tanzania Umeelewa nini kwenye hii picha?

  5. JamiiForums Tanzania Nahitaji betri ya Solar kama hii

    Wakuu, me nahitaji battery ya Solar power ambayo imeungwa na CHARGING CONTROLLER moja kwa moja Kama hili.
  6. JamiiForums Tanzania Mabasi ya abiria ni machafu, Nacharo T 706 DVF wajirekebishe

    Nawasilisha hili kwa wasafiri wenzangu wa mara kwa mara na kwa wenye nafasi ya kufikisha taarifa hii kwa wahusika. Kuna kampuni ya usafirishaji abiria inaitwa Nacharo Royal Bus, ambao hufanya safari za Tanga Dar nk. Kuna hili bus lao moja usajili wake ni T 706 DVF ni chafu linanuka uvundo na...
  7. JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki na Nay wa Mitego, ni muda wenu sasa kuwa wabunge/viongozi ndani ya nchi hii

    Wasalaam Wakuu.............!!! Moja kati ya mambo ambayo uwa naumia sana kuyaona kwenye hii nchi ni kuwaona watu wasio staili kukalia nafasi za wale wanao staili Ukienda Bungeni kuna watu mpaka unashangaa mwenyewe,alitumia mbinu gani mpaka akaupata ubunge? Mtu Kama Babu Tale,Mwana FA,Michael...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nawa hii miswada iliyoko Bungeni tujenge nchi yetu!

    Raisi Samia natoa ushauri tu. Wengi wetu sio wanasiasa hapa tunapenda maendeleo ya nchi yetu tu. Tunakuomba uweke maslahi ya nchi mbele kuliko maslahi ya vigogo wa CCM na wewe binafsi. Katiba nzuri ya kidemokrasia italeta maendeleo kwa nchi pamoja na ukweli kwamb itaongeza ushindani wa...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Hii ndio maana halisi ya Fear Women

    Wanawake sio watu wa mchezo mchezo, kuwa makini sana na kiumbe kinachoitwa Mwanamke. ANGALIA VIDEO HAPA
  10. JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza matokeo ya Kidato cha nne 2023. Ufaulu waongezeka

    Leo tarehe 25/01/2024 Baraza la Mitihani Tanzania, litatangaza matokeo ya mtihani Kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana. Matokeo hayo yatatangazwa majira ya Saa 5:00 asubuhi kupitia youtube account ya Necta. Matokeo hayo utayapata hapa punde tu baada ya kutangazwa. Soma Pia Matokeo mengine...
  11. JamiiForums Tanzania Hii hapa ratiba ya Hatua ya 16 Bora ya AFCON 2023 Nchini Ivory Coast

    Baada ya Tanzania kushika nafasi ya mwisho katika Kundi F na kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataofa ya Afrika (AFCON2023), ratiba ya Hatua ya 16 imejulikana. Timu ambazo zimeingia hatua hiyo kupitia nafasi ya Mshindi wa Tatu Bora ni Guinea, Namibia, Mauritania na wenyeji Ivory Coast...
  12. JamiiForums Tanzania Saninu Laizer wa madini lipa pesa za watu. Ulituonyesha una madini ya mabilioni leo hii mchina anataka bilioni 8 zake

    Lazier lipa bana atujazoea kuringishana huku tunadhulumu watu ARUSHA: Mfanyabiashara Maarufu wa Madini ya Tanzanite katika Mji wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Saninu Laizer maarufu kwa jina la Bilionea wa Tanzanite amemwangukia Mwekezaji raia wa China, Jun Fang akiomba wakae...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nakuomba uisikilize clip hii ya Ngurumo, kuna kitu cha msingi utakigundua

    Listen please Ujumbe: mnalikaribisha JESHI kuwa na hisia za kuutaka urais, kuitaka siasa, kuutaka UKUU/UTUKUFU and the like...ndio ujumbe mkuu wa ndiko/clip hiyo. Utamaduni /tabia /matamanio yanajengwa! Jiepushe na hilo " Mkiwaingiza kwenye siasa,hamtawachomoa ila watawachomoa nyinyi"...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hii ndio kubadili gia angani.

  15. JamiiForums Tanzania Nchi hii haitafanikiwa kwenye jambo lolote la maana mpaka mwisho wa Dunia

    Ukiuliza sera ya serikali kwa sasa ni nini hata viongozi wenyewe hawajui. Wataanza kukutajia SGR, Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere, watakutajia Bandari na kadhalika. Kwa ufupi hata viongozi hawajui Tanzania na Watanzania wanahitaji nini. Watanzania wenyewe pia hawajui wanahitaji nini...
  16. JamiiForums Tanzania Mkubali ama mkatae ukweli utabaki pale pale kwamba CCM nchi imeshawashinda hii, kuna haja ya kufanya jambo 2025

    Habari zenu wana nzengo Mimi si mwanachama wa chama chochote kile cha siasa na wala sio mwana siasa Nimeandika kama Mtanzania mzalendo mwenye mapenzi ya dhati na nchi yangu Siku zote waswahili wanasema usipende kukaa na dukuduku moyon hivyo bas dukuduku langu nimetafuta sehemi ya kulitolea...
  17. JamiiForums Tanzania Taa hii chumbani huwa na kazi gani?

    Wajuzi wa mambo mtu akiweka taa ya rangi kama hii huwa anaitumia kwa kazi gani?
  18. JamiiForums Tanzania Hii herufi X ina nguvu gani za Siri?

    Ukiitizama kwa undani ina mambo mengi sana. 1.AXE 2.twitter X 3.1Xbet Yaani kifupi herufi X ina ujinga ujinga mwingi japo ndo tunaishi nao.
  19. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mkuu wa Majeshi kwa Rais ni ONYO, Turejee hii

    Nikiri wazi kutoka sakafu ya moyo wangu, nimefurahi sana kilio changu na kampeni yangu ya miaka mingi kuona leo imejibiwa na Mkuu wa Majeshi nchini. Nilionya kuwa nchi yetu tumeingiliwa, tunahujumiwa tena vya kutosha. Nakumbuka 22 December 2019 niliandika makala hii hapa chini nikitilia mashaka...
  20. JamiiForums Tanzania Ewe mkulima. Hebu soma hii nyaraka, hutajilaumu

    Habari wanajamii Kilimo, Binafsi nimepitia hii nyaraka, kwa wale wapenda kilimo kama mimi ukiipitia hii document itakufungua macho sana kuhusu zao gani lipewe kipaumbele kutokana na eneo ulilopo hivyo hutalima kwa wasiwasi tena Hebu chunguza wilaya yako na nini kinafaa kilimwe Source: Wizara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…