hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii CCM inayofanya maongezi na balozi wa marekani bado ni Chama cha Mapinduzi?

    Kwa kawaida mabalozi hawaingilii mambo ya ndani ya nchi wanapowakilisha. Bila shaka ndio taratibu. Mambo ya vyama vya siasa ni mambo ya ndani ya nchi husika. Lakinini utasikia balozi wa marekani kukutana na kiongozi wa upinzani kwenye nchi anawakilisha hasa hizi za kiafrika zenye msimamo wa...
  2. JamiiForums Tanzania No consistency no ubingwa viwanja tutahama sana safari hii

    Uwezi kutegemea ubingwa Kama timu yako aina mwendelezo wa kupata matokeo, Leo timu inadroo kesho inapigwa keshokutwa inashinda! Timu zinazocheza kibingwa zinapata matokeo ata zikiwa kwenye Hali ngumu kudondosha alama kibwege ni marufuku! Sasa timu imekimbia kutumia chamazi kwamba auwapi matokeo...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna vijana wanatamani kuacha uzinzi lakini hawawezi, tumieni njia hii

    Ni ukweli ulio wazi kuwa zinaa inaleta mikosi, inarudisha vijana nyuma kimaendeleo. Na kubwa zaidi ni kwamba zinaa ni dhambi ambayo imepelekea vijana wengi kufa wakiwa wabichi. Uzinzi ukikomaa kwa kijana maisha yake huenda yasiwe marefu (sizungumzii vifo vya magonjwa ya zinaa hapa). Kuna...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ukiifikiria sana hii nchi unaweza kupata wendawazimu!

    Huku nikiwa naendelea kufurahia vitu vya asili tulivyobarikiwa na Mungu pamoja na chakula kizuri, maisha ya watu wangu kiujumla ni magumu sana. Hakuna jitihada za makusudi za kuhakikisha watu wanaishi maisha yenye furaha. Unajenga nyumba nzuri, unaweka mifumo ya maji, vyoo vya ku flash, AC...
  5. JamiiForums Tanzania Hii nchi ni full of cry babies ndio maana Hayati Mwalimu Nyerere aliachia madaraka na hatukumuelewa Hayati Magufuli pia

    Nchi wamejaa wanachi na viongozi lia lia wanasahau hakuna Maendeleo yanayo weza kuja Jasho , ukiwabana kidogo ili mapato mengi yaingie serikalini huwezi kueleweka , Hayati Benjamin mkapa aliwahi kusema.. "Napenda kuwakumbusha kuwa njia ya maendeleo imejaa jasho na vumbi. Tuzingatie utamaduni...
  6. JamiiForums Tanzania Anayefuatilia hii tamthilia anihadithie

    Wakuu habari za uzima na poleni kwa majukumu. Najua wengi huwa tunafuatilia Tamthilia, maana nyingi hufundisha mambo yanayotokea katika jamii. sasa mama watoto Huwa ninamuhadithia kuhusu tamthilia ya SIRI, na yeye huwa ananihadithia za Jua kali na zingine nyingi, sasahiv yupo na hii ya Azam...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kumbe siku hizi ukitaka ku sponsor post kuna kulipia VAT? Imeanza lini hii?

    Huu utaratibh Umeanza lini daah
  8. JamiiForums Tanzania Waliopewa dola ili kudhibiti rushwa na dhuluma wanakiri hadharani kuwa dhuluma imezidi. Hii ni aibu kubwa

    Maana yake ni kuwa watu wanadhurumiwa haki zao kila mahala. Polisi wanabambikia watu kesi, wanyonge wanadhurumiwa ardhi, bila kuwa na connection hupati kazi. Hii ni tafsiri tosha kuwa wameshindwa kutimiza wajibu wao. Rais ajiuzulu na uchaguzi halali uitishwe
  9. JamiiForums Tanzania Naumwa na mwili unachoka lakini hospitali hawaoni kitu, inaweza kuwa kitu gani?

    Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa. Sina kachanga sina presha ni nini? Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.
  10. JamiiForums Tanzania Hii timu mbona kama wazee, wanagawaje dozi?

    Kwenye ligi yao wameshindikana ila kama wote wazee!
  11. JamiiForums Tanzania Hakuna nyumba ya mtu inayoelea, amka kafanye kazi!

    Mimi ni muwakilishi tu, usinipige mawe sikiliza mwenyewe.
  12. JamiiForums Tanzania Je, Leseni hii inaruhusu kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber au Faras?

    Habari za muda huu waungwana. Nina leseni ya udereva yenye madaraja A, A2, B, D, E, F & G. Je nitaweza kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber, Faras, nk kwa kutumia leseni yenye madaraja haya? Natanguliza shukrani.
  13. JamiiForums Tanzania Mikopo inayoendelea kuombwa kwa kasi na Serikali hivi huwa inaenda kweli kwenye sehemu husika au inaisha tu juu juu?

    Ndugu zangu watanzania hivi hili wimbi kubwa la mikopo inayokopa serikali huwa inaishiaga wapi mbona hatupewi maelezo yoyote au taarifa yoyote kuhusu utekelezaji wake? Nchi inaingia kwenye madeni makubwa sana hii lakini huku gharama za maisha zikizidi kupanda na asilimia kubwa ya wananchi...
  14. JamiiForums Tanzania Picha 15 za hafla ya Mazishi, Dua na Sala ya mwisho kwa Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi

    Picha 15 za hafla ya Mazishi, Dua na Sala ya mwisho kwa Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu hii ndiyo Galaxy yenyewe wastaafu?

    Nimeshtuka..! Huyu si kariba na makamo ya Dr mwigulu na Majaliwa kabisa wajameni? Sasa wachezaji wenyewe ndiyo kama Hawa mtu unashindwaje kufunga hata kumi kwa bila wakuu? Kwa kuwa simba mbovu na Hawa wastaafu waliokuja kutalii ndiyo mahututi basi ikaonekana wamecheza sana? Nimeumia sana kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Je, Gari hii inafaa kwa kufanyia BOLT, Uber, Faras, Nk?

    Habari za muda huu waungwana. Kuna hii gari ndogo inayo fahamika kwa jina la Daihatsu Mira (year 2007/2008). Nimeipenda jinsi ulaji wake wa mafuta ulivyo mdogo kulinganisha na gari nyingi ndogo ndogo kama ist, vits, nk. Ningependa kufahamu kama gari hizi zinatambulika na Bolt, Uber, nk. Uimara...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ndio Kauli ya Kocha wa Simba baada ya ushindi wa 6 kwa Buyu

    Sasa Toeni maoni yenu
  18. JamiiForums Tanzania DOKEZO Asilimia 80 ya maji ya kopo Dar es Salaam ni feki na machafu, hayafai. Kwa hali hii usalama wetu uko wapi?

    Kujali afya ya binadamu mwenzio hata kama unafanya biashara na unatafuta hela ni muhimu sana. Wafanyabiashara mnatuua bila huruma sisi waja wema. Nimefika Mbezi mwisho barabara inayokwenda Kinyerezi kuna ofisi maalumu ambayo wanakusanya makopo na kupakia maji machafu yasiyofaa hata kidogo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Vitengo vya habari viwe makini katika video na picha za Rais zinazotumwa kwa jamii

    Jana nimeona clip ya mh rais wetu mpendwa mheshimiwa ukht Samia kuhusu taarifa ya kifo cha mzee Mwinyi Clip ile inamakosa yamejitokeza ambayo mh rais hakupenda yafike kwa jamii lkn yamefika. Wakosoaji wa kisiasa wanatumia fursa hio. Ushauri Taarifa kama zile zisiwe live zirkodiwe zieditiwe...
  20. JamiiForums Tanzania Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Kivule, Alifikaje Zanzibar?

    Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi kumbe alizaliwa Kivule Mkuranga Mkoani Pwani kutoka kwa Baba yake ambaye Kiasili anatokea Tanzania Bara ila alimpeleka tu Kisiwani Zanzibar ili akapate Elimu sahihi ya Dini ya Kiislamu inakuwaje Maamuzi ya Maziko yake yafanyike Kesho Ugenini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…