hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tusizuge na tuache Unafiki ukweli ni kwamba tuliomba hadi hata Kuroga tupangiwe na Asec ila Jini limeshindwa safari hii

    Na kuna Timu moja hapa Afrika licha ya kuwa inacheza Mpira wa uhakika, ni Tajiri wala haitegemei Kuuza Godoro la kuumiza Migongo Ina Wachezaji ambayo Bajeti yao ni Bajeti ya Miaka 10 ya Majini Baharini FC lakini pia hata Kiuchawi pia wako vyema ile mbaya ukizingatia kuwa hata nchini Kwao ndiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Nini mtazamo wako kuhusu hii picha?

  3. S

    JamiiForums Tanzania Nipeni takwimu, rekodi hii ya Yanga SC ndani ya miezi takriban 6, imewahi kufikiwa na timu yeyote duniani?

    Timu ya Dar es salaam Young Africans Sports Club, au Yanga sc aka Wakimataifa ama wananchi kama wanavyotambulika kwa sasa. Ktk msimu huu wa 2023/2024 wamekuwa ktk ubora usiopimika wala kumithirika. Yanga hii ya Gamond imekuwa timu tishio kiasi cha kuogopwa uwanjani na timu pinzani kila...
  4. JamiiForums Tanzania KERO Nchi hii Dharau zimezidi! Watumishi wa serikali Vyeo sio Misifa, ni Dhamana

    Dhahiri shahiri bila kupepesa macho nanyoosha malalamiko yangu Ofisi ya halmashauri Njombe mjini Kuwa Cheo ni Dhamana sio sifa na lawama hizi ziende moja kwa moja kwenye kitengo cha NIDA, Mjue tumeteseka Mashambani na makazini na viwandani, mikono yetu ikapasuka pasuka kwa kazi ngumu tukajituma...
  5. JamiiForums Tanzania Eti hii si shida kwa maisha ya kila siku?

    Mwanaume ni tallest na mwanamke ni shortest kwa hali ya kawaida hivi wataishi kwa furaha au watu watawashangaa kila daily? Pimbi na Zena .🤣🤣🤣🤣 nipo serious . Unakuta umefall in love na kitu kirefu nisaidieni kimawazo siitaji mzahaa nataka kupata jibu ni muhimu kwenu mkiwa serious.
  6. JamiiForums Tanzania Nateseka sana na hii simu

    Mimi ni mpenzi wa magemu hasa Yale ya Ppsspp sasa hii simu ni Infinix hot 30 play Niki download game kupaste data kwenye Zarchiver inagoma inaandika kama hivo pichani nimejaribu kuangalia YouTube nimetoka holaaa, Mwenye kujua kurekebisha ilo tatizo 🙏
  7. JamiiForums Tanzania Baraka Mpenja acha kuwaongopea watanzania...!! Tunakujua vizuri achana na dhambi hiyo mapema...!!

    Kwa Umri Alonao Mpenja ni Dhambi Kubwa Sana Kuwaongopea Watoto wa Mama Kizimkazi Kwamba Sio Simba & Yanga ni Dhambi Kubwa Kama Kuzini Mchana wa Ramadan....!! Hadithi ya Mpenja Kuwa ni Shabiki Ndakindaki wa Simba Niliambiwa na Jamaa Angu Geof Lea Ambae ni Mwanahabari wa Kituo cha EFM na Pia Yeye...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania mngekuwa na mtizamo kama wangu CCM ingekuwa imeondoka tangu 1995 na nchi hii tungekuwa mbali kimaendeleo

    Tangu mwaka 1995 sijawahi kuipigia CCM kura kwa namna yoyote ile, iwe katika nafasi ya urais, ubunge au udiwani. Sijawahi kuhudhuria mkutano wowote ule wa CCM tangu 1995. Sisikilizi hotuba za viongozi wa CCM na hata nikisikiliza kwa bahati mbaya sioni jipya isipokuwa blaa blaa za kale...
  9. JamiiForums Tanzania Hii dunia kuna watu wamepinda sana

    duuuh kuna watu huwa wanaakili za wenyewe tu
  10. JamiiForums Tanzania Hii kazi ngumu sana

    Hii kazi ngumu sana....
  11. JamiiForums Tanzania Ipe jina stori hii fupi

    Wawili (me&ke afu wapenzi) wanatembea kwenye njia yao (walkway). na wametanua njia (freely),bodaboda akaja kwa MWENDO na ikambidi apige honi wampishe..,"ME" akashtuka na nakusema, unapitaje HUKU wakati BARABARA kubwa ipo? Haraka bodaboda akajibu, UMASKINI wako ndo unakupigisha kelele na...
  12. JamiiForums Tanzania Hii rasmi: Simba inarudi chamazi badala ya Jamhuri

  13. JamiiForums Tanzania Hatutarajii Julius Mtatiro kufanya uzinduzi wa Guest House huko Shinyanga

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru , Julius Mtatiro amehamishiwa Shinyanga baada ya kipindi kirefu kuhudumu Tunduru. Tunamshukuru kwa Utumishi wake uliotukuka uliosaidia kupunguza watoto kuingizwa kwenye Jando na unyago. Ila tunamuomba asirudie kuzindua Vitu kama hivi.
  14. JamiiForums Tanzania Matukio kwenye Picha: BAWACHA waache sifa sasa, hii sio Sawa!

    Sijapenda kabisa, kuna umuhimu Sana WA BARAZA La WANAWAKE WA CHADEMA kupewa HESHIMA KUBWA. Nimefuatilia nikajulishwa kuwa lile kusanyiko kubwa namna Ile kwa asilimia karibia 75% ni majitoleo ya Wanawake wenyewe. Hakika nimesawajika, nimeumia na chozi la furaha limenitoka. Hongereni Sana Sana...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wakuu kufahamu hii miwani lens gani

    Msaada wakuu naomba kufahamu hii miwani ni lens gani na bei yake Kwa anauefahamu
  16. JamiiForums Tanzania Je hii mouse itaweza kufanya kazi kwenye laptop yangu

    Kinachonipa wasiwasi hapa naona wameorodhesha windows za kizamani tu nawakati dell yangu iko na windows 10
  17. JamiiForums Tanzania WOMENS DAY (MMU): Wanawake asili yenu ni roho ya huruma na kujali. Siku hii iwakumbushe kurudia asili yenu ya huruma na kujali hasa kwa wapenzi wenu

    Wanawake asili yenu ni kuwa na huruma na kujali, lakini imekua opposite hasa kwenye sekta ya mahusiano na mapenzi kwa ujumla. Wanawake wa kipindi kile walikua wanawajali sana waume/wapenzi wao. Ukitoka kazini unakuta msosi umefunikwa kwa ungo lenye maneno matamu, hapo kuna maji ya moto...
  18. JamiiForums Tanzania Naombeni bei ya Laptop yenye specifications hizi

    Naombeni bei ya Laptop yenye specifications hizi Mwenyenayo
  19. JamiiForums Tanzania Nimesikitika kukutana na nakala na cheti cha shahada ya Uhandisi kutengenezwa kifungashio

    Kweli hiki ni kiashirio cha usomi kukosa maana katika jamii! Nimeenda pharmacy kununua dawa, nilipofika nyumbani kucheki kifungashio nakuta nembo ya usomi, UDSM. Kila aliyepita pale UDSM anaifahamu. Kutazama vizuri naona ni nakala ya cheti cha mtu, tena cha uhandisi nilikopitia mimi...
  20. JamiiForums Tanzania Waja msaada wenu hivi ni nani anamiliki hii pisi?

    Kwa anayefahamu mwamba anayeikunja hii pisi msaada hapo chini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…