hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haioni kabisa umuhimu wa kuwatazama watumishi wa chini kama wauguzi, madaktari, polisi na waalimu?

    Kumekuwa na mfumuko mkubwa sana wa gharama za maisha sasa mathalani lita moja ya mafuta ya kula 2015 iliuzwa kati ya tsh 1500 hadi 2200. Leo inauzwa 5500 hadi 6500. Hali hii ni kwa kila bidhaa sokoni si Unga, Michele, sabuni, nishati ya kupikia, nguo n.k bei hazikamatiki sokoni! Serikali kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Wengine pamoja na Kujipendekeza kwetu Kwao ila bado hawatuthamini na hawatupi Heshima kama hii aliyopewa Ruto, Kenya na Wakenya

    Washington : Rais wa Marekani Joe Biden amemkaribisha mwenzake wa Kenya William Ruto katika ikulu ya White House kwa ziara rasmi ya kiserikali ya siku tatu na kuipa nchi hiyo ya Afrika Mashariki hadhi ya mshirika mkuu wa Marekani ambaye sio mwanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO. Chanzo: DW...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Kwa Hali Hii Viongozi Mnapata Wapi Ujasiri wa Kutuhimiza Tulipe Kodi?

    Tazama mwenyewe hali ilivyo kwenye Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi, jijini Dar es Salaam alimaarufu "mwendokasi"
  4. JamiiForums Tanzania Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  5. JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya hii nchi kila kundi linateseka isipokuwa viongozi

    Kila Kona tunaona mabango ya sifa na mapambio kwa mkuu "anaupiga mwingi anaupiga mwingi" lakini hali halisi ya mtaani ni tofauti sana kwa sasa upatikanaji wa pesa mtaani umekuwa ni mgumu mno gharama za maisha nazo zipo juu wananchi tunateswa sana hakuna kundi la watanzania lenye unafuu isipokuwa...
  6. JamiiForums Tanzania PUTIN vs NETANYAHU: Njooni tumalize ubishi wa miamba hii miwili ya dunia

    Niaje waungwana Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake. Ubishi wenyewe unahusu miamba miwili yenye roho ngumu, maamuzi mazito na misimamo mikali isiyoyumba...
  7. JamiiForums Tanzania Chukua hii ya Usajili ujao wa Bongo na itunzeni tafadhali

    Huenda Mlevi wa upande Mmoja akamfuata Rafiki yake Mlevi HATARI wa upande mwingine au ikawa ni kinyume chake.
  8. JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mnataka au mna hamu sana ya Kuvunja Ndoa zenu nzuri ili mje kuungana nasi 'TEAM NO KUOA DAIMA' chukua hii mbinu utakuja Kunishukuru

    HOW TO DESTROY A GOOD MARRIAGE IN JUST ONE MONTH To destroy a good marriage is very easy than you think, it does not cost anything. I listed here things you can do to destroy a great marriage by just doing them for a Month, no matter how strong the marriage is, it will be destroyed if you do...
  9. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wakuu? Yaani unakutana na demu faragha ila ili umwage unaanza kumfikiria demu mwingine

    Imeshanitokea mara nyingi hii kitu na inapeleka mahusiano yangu mengi nayavunjika sana. Yaani upo na mwenzako faragha ila ili ufike mshindo unaanza kufumba macho na kuvuta hisia ya demu mwingine mimi sielewi. Kuna mademu hawana stim jamani ni bure kabisa.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mwendesha mashtaka wa ICC: Niliambiwa hii Mahakama ni kwa ajili ya Afrika na wahuni wengine kama Putin.

    Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimatiafa Bwana Khan kwenye kipindi cha CNN anasena alionywa mwanzoni kabisa kwamba mahakama ya ICC ni kwa ajili ya Afrika na wahuni wengine kina Putin. Hivyo mahakama ya ICC hairuhusiwi kuwashtaki watu wa ulaya. Msikilize hapa...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ni sawa kwa mwanaume kufanya hivi?

    Nimetoa mahali mie sio muhusika huyu mtu anaomba ushauri wenu. Anaishi na mkewe na wameoana ila mke wake anamkasirikia maana huyu kaka analala kitanda kimoja na namama yake. Yeye amesema wala hana mauhusiano ya mapenzi namama yake ila anaona raha kuwa na mama ake kila mahali. Anamtoa mama...
  12. JamiiForums Tanzania Hii si kausha damu hii?

    Yani taasisi kubwa kama hii inafyeka hela za wateja kiasi hiki? Serikali itupie jicho hapa
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye Tabia hii mbaya na inayoharibu Mahusiano yenu na inayowakera 99% ya Wanawake badilikeni tafadhali

    Yaani kabisa Mwanamke wako ( Mtoto wa Watu ) umempenda Mwenyewe na kuamua kuwa nae lakini cha Kushangaza uko nae Kwako Dar es Salaam ila Maelekezo yote ya Kuishi na Mkeo au Mpenzi wako ( Mchumba ) yanatoka Kijijini ( Mkoani ) aliko Mama yako Mzazi au Mlezi wako. Huu ni Ujinga wa Kiwango cha...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa Hii bajeti Ya Wizara Ya Ulinzi Naomba Msinishawishi Kwamba Nchii Hii Ni Masikini

    Kama Tunavyojua Uimara Wa Taifa Lolote Kiuchumi Duniani, Ikiwemo Marekani Na Uchina Basi Ni Kuwekeza Nguvu Zaidi Katika Kuimarisha Ulinzi Na Usalama Wa Nchi. Lakini Jambo Hili Ni Kinyume Kidogo Na Nchi Za Kiafrika Ambazo Bado Zinapambana Kujikwamua Kwenye Lindi La Umaskini. Lakini Kwa Bajeti...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume hii yetu; Hivi ulishawahi kukataliwa ukweni Mwanamke ulitaka kumuowa kisa mahari

    Wanaume hii yetu; Hivi ulishawahi kukataliwa ukweni Mwanamke ulitaka kumuowa kisa mahari
  16. JamiiForums Tanzania Watendaji wapigaji na wezi wa Mali za Umma ni kioo cha aliyewateua

    Duniani kokote kule haijawahi tokea kiongozi wa nchi awe msafi kama Pamba then akubali kufanya kazi na Panya. Hiawezekani kamwe. Watendaji wapigaji wanawakilisha kisawasawa tabia ya alie wateua. Historia ya Raisi San Abach inaonyesha kwamba hata watendaji wake walikuwa ni wapigaji vibaya mno...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Recap: Hapa Rais Samia uliteleza kwenye ulimi, ukiweza rekebisha kauli hii

    Kwa heshima na taadhima, Kama kuna njia unaweza kurekebisha kauli hii, itapendeza au kuifuta kabisa, sijui . It is one of the worst, devastating statement from your mouth!
  18. JamiiForums Tanzania RC Chalamila kumtaja Rais wananchi wanazomea ni dalili ya nini?

    Kuna dalili viongozi wengi wanajizima data au hawaelewi nini kinaendelea katikati ya jamii ya Watanzania. Inakuwaje RC Chalamila anawahutubia watu wa Mbagala lakini alipofikia katika kutaka kutaja sifa za mheshimiwa Rais ndio anakumbana na kuzomewa na Miguno mingi hadi anagwaya? Hiyo ni dalili...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Jambo hili ni gumu

    Hiki kitu ni hatari sana kwenye hatima ya maisha ya nafsi za watu kuokolewa au kupotea milele: USHOGA na USAGAJI. Ni kweli maandiko yamenyamaza kuhusu msamaha wao. Ila ndugu, usijaribu kufanya vitendo hivi. Nitauliza maswali mawili tu mwenyekiti upeo anijibu: Anayeweza kuonesha mahali kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Chagua jambo moja tu la kuliondoa katika hii dunia

    Mimi nitaondoa "UJINGA" Kwasababu... Nilikuwa nikifikiria jibu la hili swali, ghafra akili yangu ilikumbana na haya mambo manne. Umasikini, vita, njaa, na kifo. Na nilikuwa nikifikiria kuondoa mojawapo ya hayo. Nilitambua kuwa dunia haitawahi kweli kuwa huru kutokana na matatizo hayo manne...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…