hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nchi ngumu sana hii, Airtel nao wamepunguza Kamisheni kwenye miamala

    Mjanja M1 naelekea kuiacha hii biashara ya miamala maana naona mazoea yamezidi kila uchwao, walianza Tigopesa kupunguza asilimia 10% kwenye miamala na sasaivi Airtel wamefuata huo Utoto. Yani hapa nimlipe Mfanyakazi, nilipe pango, nilipe TRA n.k Aisee! Hii nchi kila mtu anajiamulia atakacho...
  2. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu tawi la UDSM kujengwa Chato

    Chato ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Rombo na Bomag'ombe. Kwa nini Makamanda wenzangu mnaichukia Chato? Hi ni moja ya great and tremendous development tuache chuki bana. CCM wanapiga kazi 👇 --- WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Chato mkoani Geita kuwa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu aliita kwamba "Adamu uko wapi?"". Hii ina maanisha kwamba ukijificha Mungu hawezi kukuona?

    Kwa nini Mungu aliita kwamba "Adamu uko wapi?"". Hii ina maanisha kwamba ukijificha mungu hawezi kukuona? Naombeni jibu
  4. JamiiForums Tanzania Wanajamvi naombeni msaada hii dawa

    Wadau hivi ukinywa Omeprazole na neuroton mwili unakua unauma ndio kawaida zake hizi dawa yaani kifua mbavu mgongo vyote vinauma je niachane nazo
  5. JamiiForums Tanzania Hii ndio maana halisi ya biashara ya nyoka inalipa

    Mzigo ndio hivyo kama unavyoonekana kilimo cha nyoka kinalipa.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wasomali wanazidi kukuwa kiuchumi, population na power Nairobi, wao hujiona sio waafrika, Je kuna hatari kwa wakenya weusi dorminance yao ikizidi ?

    Tatizo ni kwamba wasomali hawapendi kuwekwa kundi moja na waafika licha ya kuwa ni waafrika, wao hujiona waarabu lakini hata hao waarabu wanawaona ni waafrika, kiufupi wao hawana strong bond na waafrika wengine, ukiingia jamiiforums yao inayoitwa somalinet utakutana na nyuzi nyingi sana...
  7. JamiiForums Tanzania Taka zimemwagwa Mtaani Msimbazi B, hii ni hatari sana kwa Watumiaji wa Soko la Kariakoo

    Hali halisi ya Mtaani wa Msimbazi B Kariakoo Kwa hali hii watu tutaacha kupata magonjwa ya tumbo, kuhara au hata kipindupindu? Uongozi wa Soko hauoni hii hali na kushughulikia?
  8. JamiiForums Tanzania Unashughulika vipi na watu wa aina hii....

    Hello JF... Wewe ni mtu muhangaikaji kama wengine hapa mjini. Mtu anakulilia shida hasa ni nduguzo. Unamsaidiaga mara kwa mara pale unapokuwa nacho. Ila shida ni moja siku ukisema bana sina. Hapo mada inabadilika inaonekana ww una roho mbaya. Husaidiagi watu yaani inasahaulika kabisa kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania Itifaki hii ya bendera imekaaje?

    Habarini! Kama tujuavyo, Rais Samia yumo nchini Korea ya Kusini akiendelea na ziara take ya kikazi. Suala moja nimeshindwa kuling’amua kiasi cha kuhitaji msaada wa ufafanuzi na kueleweshwa kuhusu protokali ya bendera ya nchi pindi Rais wetu awapo ziarani katika nchi nyingine. Nimekuwa nikiona...
  10. JamiiForums Tanzania Amka na hii

    #AMKA_NA_HII Tambua kuwa ndege wengi tunao waona huenda baadhi yao sio ndege halisi. Angalia pichani haya ni mambo ya Artificial Intelligence. Ndege yupo kazini.Ama kweli dunia inakwenda kasi sana.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Vyuo vinavyotoa Course ya Commmunity Health

    Hivi course ya COMMUNITY HEALTH ipo na inatolewa kweli? Nimejaribu kufatilia vyuo vingi sijaiona. Naomba kama kuna mtu anajua chuo kinachotoa hii course tafadhali.
  12. JamiiForums Tanzania Hii dawa ya kupunguza uzito inapatikana Tanzania?

    Mwaka 2017 FDA ya Marekani iliipitisha dawa ya Ozempic kuwa dawa ya kutibu kisukari. Baadaye ikaonekana dawa hiyo inasababisha madhara ya kupunguza uzito. Walichofanya ni kuiongezea nguvu na kutokeza dawa ya kupunguza uzito iitwayo Wegovy. Dawa hii imesajiliwa na kupatikana Tz? Gharama zake...
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mboga za majani aina ya Chainizi husababisha upungufu wa Nguvu za kiume

    Kumekuwa na Madai ya kwamba matumizi ya mboga za majani aina ya chainizi yamekua na madhara katika ufanisi wa tendo la ndoa kwa wanaume. Kuna ukweli gani katika hilo suala? Naomba nijibiwe kitaalam niweze kuelewa.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Epuka, hii ni mojawapo kati ya makufuru!

    Salaam, Shalom!! Kumekuwa na picha zinazotembea mitandaoni Hasa mtandao wa FB ikimuonyesha mtu mwenye mapembe mwenye mkia ana six parks, ambaye ni Rahisi kumhusisha na shetani, pia mwingine anaonekana akiwa amevaa vazi jeupe naye Kwa mara kadhaa amechorwa Kwa mwonekano kama mtu mwana mazoezi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Title hii ya research ipo na dependent and independent variables na ni zipi pia kama title hii ipo researchable?

    Assessing the effectiveness of firewall Technology in prevention of network attacks in organization's infrastructure; The case of.........
  16. JamiiForums Tanzania Hii sheria ya ardhi kuhusu wageni kumiliki ardhi isipokuwa makini mtakuja kulaumiana mbeleni

    Hongera waziri wa ardhi Jerry Silaa nili kunukuu kuhusu swala la wageni mnafanya maboresho kuhusu wageni kumiliki ardhi. Tatizo linaweza kutokea mbeleni kwenye sheria hii sababu wananchi wengi wako kwenye wimbi la umaskini ususani vijijini ambapo ndio maeneo yenye rasilimali kama madini,kilimo...
  17. JamiiForums Tanzania TAMISEMI safari hii sijui wamezingatia nini

    Selection za mwaka huu sijui wamezingatia nini, unakuta mtoto alijichagulia masomo yake ya Arts mara anapelekwa Science, na aliyechagua masomo ya science. Mdogo wangu hana raha hapa alichagua masomo ya Arts ila amepelekwa PGM Songea Boys. Mods please msiunganishe Uzi wangu 😭 , huu Uzi unajitegemea
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizi na ufisadi wa fedha za serikali uliokithiri katika awamu hii, suluhisho haliko ndani ya CCM wala upinzani kuwa mbadala wa CCM

    Tumefikia mahali ambapo hali ya wizi na ufisadi wa fedha za serikali inatisha. Si Tamisemi tu, bali hata vyombo vya usalama na taasisi za serikali ugonjwa ni huo huo. Udanganyifu katika mifumo ya malipo imekuwa ndio habari ya mjini, kuanzia tozo za kupaki magari, fine za trafiki, miamara ya...
  19. JamiiForums Tanzania Naombeni darasa kuhusu hii mifumo ya simu ya sasa na zamani

    Mambo vipi wakuu hapa juzi Kati nilinunua simu ya redmi used note 12 5g ushauri alinipa mkuu Chief-Mkwawa hii simu nimeuza baada ya mwama mmoja kuja na dau kubwa zaidi ya lile nililo nunulia. Sasa kivumbi kipo hapa ambapo nimetoka kapa na nahitaji darasa kubwa Tu na wadau wengine pia watapata...
  20. JamiiForums Tanzania Hii yote imesababishwa na kukataa kulima

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…