hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Hii ni barua ya Posa ya aina gani

    Nimeenda kwenye barua ya posa. Aliyoleta ni bahasha yenye barua ya 1. Kuomba kumposa binti. 2. Kitambaa cheupe kina fedha ndani na kimefungwa na pin nne Katika pembe zake nne. 3. Msumari yaani screw.. je watu wa Pwani au wengine wanaweza kufafanua hasa huo msumari na ufungaji wa kitambaa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Lissu na Mbowe leo hii

    Picha ya kikoa cha leo Lissu kajimaliza kisiasa kwa ushawishi wa msigwa
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndio 10 Bora ya gari zinazoongoza Kwa kununuliwa hapa Tanzania 2024

    Hizi ndio gari wauzaji wanasema ndio chaguo Lao kwasasa.
  4. JamiiForums Tanzania Wife kanifuma nimempakata bar maid kwenye mapaja,nasolve vipi hii kesi?

    Last weekend wife alikua safarini,akarudi ghafla home kuna bar flani jirani akaja kuchukua soda za wageni,akanifuma nimempakata bar maid flani hivi.hajanisemesha kitu since then,kanuna tu naona. Nasolve vipi hii ngoma wakuu?
  5. JamiiForums Tanzania Nakubali Tundu Lissu awe Mwenyekiti na Mgombea Urais wa kambi yote ya Upinzani. Anza na kazi hii. Rudisha kundini kina Mdee na Wenzake.

    Ukweli usemwe. Kilichowaponza kina Mdee ni ule utawala wa mabavu wa awamu ileee. Ulishapita, Chadema ni muhimu ijengwe kuanzia ilikoishia kabla ya awamu hii.
  6. JamiiForums Tanzania Shida ya Nchi hii sio vyama vya upinzania wala viongozi wa upinzani, shida ni Watanzania hatuna Spirt ya mapambano.

    Bongo madhaifu yetu tunataka kuyaficha au kutupia vyama vya upinzani na viongozi wao kwamba ndio sababu ya upinzani kulegalega. Hii sio kweli hata siku 1. Ukiiangalia Kenya utagundua mafanikio yao hayajatokana na upinzani bali spirti binafisi ya Wakenya. Wakenya wana personer spirt ya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi tunaosoma Shahada ya Usingizi na Ganzi Salama tupewe haki za kimasomo, Serikali ifanye maboresho katika hii Shahada

    Sisi ni wanafunzi tunaosoma Shahada ya Utoaji Dawa za Usingizi na Ganzi Salama (NURSE ANAESTHESIA) Shahada hii inachukua miaka minne mpaka kuhitimu. Dawa hizo ni mhimu sana katika Huduma za Kiafya hasa katika sehemu ya vyumba vya upasuaji (theater), kwa wagonjwa mahututi, emergency, clinics na...
  8. JamiiForums Tanzania Niambieni Hii inakuaje?

    Kama isingekuwa Mungu. Mimi na wengine wengi tusingekuwa na uwezo wa kuishi Hebu angalia tu jinsi mambo yalivyo. Nini kinaendelea? Niambie inakuaje hapa Tanzania bado watu wengi wanapinga upinzani. Niambie inakuaje kwenye mshahara kodi wanakatwa walalahoi wabunge hawakatwi Niambie inakuaje...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nyerere alipokuwa anatarajiwa kutoa hotuba, nchi nzima ilikuwa inasubiri kwa hamu. Baada ya Nyerere, leo hii ni Tundu Lissu tu

    Huu ndio ukweli kwa sasa na wala haupingiki: Nyerere alipokuwa anatarajia kuhutubia, karibu kila mtu anasogea kwenye chombo cha habari iwe ni TV au Redio au kufika kwenye ukumbi husika huku akiwa na shauku ya kutaka kusikia atachosema. Mbali na wanachi, hata vyombo vya habari vya ndani na vya...
  10. JamiiForums Tanzania Jeshi Urusi hii Leo lazuia msafara wa Jeshi la Marekani nchini Syria

    Jeshi la Urusi hii Leo limeuzuia msafara wa Majeshi ya Marekani uliokua unataka kuingia katika mji Qamishlo nchini Syria na kuualazimisha kugeuza kurudi ulipotoka. Source: Visegrad24 X account
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hii hapa true stori ya lile sanduku la agano la bwana; the misery unsolved

    Ilikuwa jioni ya tarehe 9 mwezi Av (tano) mwaka 3175 kwa kalenda ya Kiebrania (Hebrew Calendar) sawa na mwezi July au August mwaka 587 kabla ya Kristo kwa kalenda yetu. Mkuu wa majeshi ya jeshi kubwa kuliko yote duniani kwa wakati huo aitwaye Nebuzaradani kutoka Babeli, alikuwa ameingia ndani...
  12. JamiiForums Tanzania Kombinesheni hii ilikuwa hatari sana kwa CUF

    Rais akiwa hayati Benjami William Mkapa, Rais wa Zanzibar akiwa Salmin Amour Komandoo na IGP akiwa Omary Mahita, CUF wakiwa kama Chama Kikuu cha Upinzani maji waliita mma. Utumishi wao katika Taifa hili umetukuka sana
  13. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu mzima anakosa pesa Tanzania hii?

    Huwa najiuliza masikini tena lenye umri mkubwa linalialia kukosa pesa aisee nashindwaga kuelewa aisee yaani kama Mimi mtoto mdogo mwenye pesa nyingi natamba nyie mijitu mizima mnakosaje pesa hivi hao wake zenu wana akili timamu kuolewa na masikini kama nyie acheni ujinga tafuteni hela nyie...
  14. JamiiForums Tanzania Ndama wa namna hii akizaliwa zizini kwako, je utamwacha aishi au utamuuwa haraka kabla majirani hawajamuona? Je nini husababisha hali hii?

    Ndama huyu wa ng'ombe amezaliwa kwenye shamba (ranch) ya rafiki yangu mwenye Asili ya Ujerumani. Nimejiuliza maswali mengi sana nimekosa majibu makini. Je akizaliwa kwako utamtunza? Au utamuua fasta isije ukaonekana ulikula mzigo? Je hali hii husababishwa Na nini?
  15. JamiiForums Tanzania Naishi kwenye Nyumba ya kupanga mwenye nyumba alifariki ghafla na ndugu hawaijui hii nyumba

    Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia...
  16. JamiiForums Tanzania Unaweza Jifunza Mengi toka kwa Video hii. Aendelee Pumzika Mahala pema peponi.

    Life. What is Life!?😭😭
  17. JamiiForums Tanzania Wazee wa kubring bring kuna hii bidhaa check kutoka china

    🌟 Timeless Elegance Meets Affordability: PT950 Platinum Ring 💍 HomeJewelry 🌟 Timeless Elegance Meets Affordability: PT950 Platinum Ring 💍 The on Original PT950 Platinum Ring AliExpress combines luxury, quality, and affordability, making it a must-have for any jewelry enthusiast. At just 💵...
  18. JamiiForums Tanzania Hii Ngoma ya Joel Lwaga Imekua ni National Anthem. Wachawi haeakosekani hata wenye chuki pia, lakini imeenda

    Yes! No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message. Hii hapa... Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali nikauliza huyu nani? And the rest is this thread. Keep it Up
  19. JamiiForums Tanzania Hii ni special kwa makada wa CHADEMA

    Tumeona jana mwenyekiti wenu akisema masuala ya ndani ya chama chenu ya yeye kuendelea kuwa Mwenyekiti ni yenu binafsi. Hivyo basi msiwe mnatushirikisha sisi raia wa kawaida kuhusu mambo yenu na ikitokea mkaonewa kaeni chini na waliowaonea na kutafuta solution na sio kutoka nje na kuanza...
  20. JamiiForums Tanzania Miradi ya EPC+F yamuondoa Waziri Bashungwa Ujenzi, Mpina alionya mikataba hii miaka 2 iliyopita akapuuzwa

    MSIKILIZE HAPA MH RAIS SAMIA KUHUSU EPC+F LEO TAREHE 10 DISEMBA 2024 https://youtu.be/8RqWIsRYKvQ?si=Q7tQR3tXSsYr95au MSIKILIZE HAPA MPINA AKIPINGA EPC +F TAREHE 26 May 2023 https://youtu.be/xFIULsHcw8o?si=b7d9zumzL3OvPb0e SIKILIZA HII HAPA SIKU YA KUSAINI MKATABA WA EPC+F TAREHE 17 Jun...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…