heslb

  1. K

    Hii status ya HESLB ina maana gani? Au ndiyo nimwandalie dogo ada mapema tu?

    Kwema watu wa Mungu? Naomba kuuliza,hawa heslb wamemwekea mdogo wangu hii status kwenye account yake. Je kuna matumaini yoyote ya kupata mkopo kweli au ndiyo nijipange na mapema tu kumtafutia ada? NOTE:amechaguliwa SUA kozi ya veterinary medicine.
  2. X

    Wanufaika wapya wa Mkopo zaidi ya elfu 20 HESLB 2022/2023 | Majina ya Waliopata Mkopo

    Wanufaika wapya wa Mkopo zaidi ya elfu 20 HESLB 2022/2023 | Majina ya Waliopata Mkopo Habari njema kwa waombaji wote wa mkopo wa HESLB, Allocation ya mkopo bechi ya kwanza sasa inapatikana mtandaoni kuangalia allocation ya mkopo Tembelea Tovuti ya HESLB ya Maombi ya Mikopo na Mfumo wa...
  3. Maswali ya interview NAOT na HESLB

    Inakuaje wazee? Mwenye experience ya interview za utumishi kada za auditor II pale NAOT na Loan officer II HESLB atuwekee hapa tujiandae.
  4. T

    HESLB wanatuibia tuliomaliza marejesho ya mkopo Elimu ya juu. Kwa kuendeleza makato licha ya kumaliza deni. Prof Mkenda Litazame.

    Ukifika ofisi za Bodi ya Mkopo Elimu ya Juu unachokutana nacho ni foleni kubwa ya watu waliomaliza makato kusitisha mwezi mmoja au miwili na baada ya hapo ni kuanzia tena kukatwa kupitia mshahara. Ukifika kulalamika wanakupa fomu ujaze na baadae unapewa barua kwenda kwa mwajiri kusitisha...
  5. HESLB mbona hamueleweki?

    Leo nilienda ofisi ya HESLB kuchukua barua ya kumaliza mkopo sijui ndio inaitwa liquidation letter (wasomi msaada kama nimekosea)kwani mimi binafsi nilimalizana nao toka 2019 lakini nilichokutana nacho ni hiyo 540,360.67 Nimeomba maelezo huyo dada wa reception hata nilikuwa simuelewi , mara oh...
  6. Hii alama inaashiria nini kwenye account ya heslb?

    Habari zenu? Nimemfanyia application mtoto wa sister angu,so leo nimeingia kwenye account ya mhusika,nimekuta wamemuwekea hicho kialama chenye nyota nyeupe,ikumbukwe hicho kialama siku za nyuma hakikuwepo. Je kwa wenye uelewa,hicho kialama kina maana gani?
  7. Mnao fanya maombi ya mkopo kwenye tovuti ya HESLB hili tatizo linasababishwa na nini?

    Nipo nafanya maombi yangu ya mkopo wa elimu ya juu kwenye tovuti ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Nimefika sehemu ya mdhamini, kila nikijaza taarifa za mdhamini na kusave napata hiyo shida kwenye picha. Je sababu ni nini.
  8. Bodi ya mikopo HESLB eneo la 'select applicant category' halifanyi kazi kwenye online form yenu

    Bodi ya mikopo HESLB eneo la select applicant category halifanyi kazi kwenye online form yenu Vijana wanashindwa ku select category Watu wa IT rekenisheni
  9. HESLB naomba mwenye uelewa na hii changamoto

    Nimeanza hatua za awali za maombi ya mkopo na nimepata control number na kufanya malipo lakini hadi sasa sijaweza kuendelea na hatua zinazofuata, kila nikijaribu ku relod inagoma.
  10. Msaada wa ku upload kitambulisho cha NIDA HESLB

    Habari wadau, Naomba aliyefanikiwa ku upload file la nida kwenye mfumo wa maombi ya mkopo maana nimejaribu zaidi ya mara tatu inanigomea , au kuna sehemu nakosea?
  11. Kwa zaidi ya miaka 60 Tanzania haijawahi kutenga bajeti ya TZS 985Bl kwa ajili ya Elimu wala kuisamehe HESLB TZS 1.1 Trl ni Rais Samia tu 2025

    KASI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA ELIMU, CCM YATOA NENO KWA RAIS SAMIA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu, unaendelea kutoa matunda mazuri katika sekta hiyo...
  12. HESLB yaanza kuwadai TZS 10.6 bilioni waliokopeshwa ‘Law School’

    Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam Wanasheria 5,065 waliokopeshwa zaidi ya TZS 10.6 bilioni kama mikopo wakiwa wanafunzi wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria Tanzania (Law School of Tanzania - LST) sasa watapaswa kurejesha mikopo hiyo kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)...
  13. Ombi kwa Rais Samia Hassan kuhusu HESLB kuondoa fedha za kujikimu wakati wa mafunzo kwa vitendo (Field)

    Kwako Mheshimiwa:- Lengo kubwa la ujumbe huu ni kukufahamisha juu ya HESLB kuondoa allocations za field kwa wanafunzi wa mwaka wa pili ambao hawakuwa na field mwaka wa kwanza. PASIPO KUTOA TAMKO LOLOTE HADI SASA. Mheshimiwa, Nikupe historia juu ya upangaji wa mkopo kwa wanafunzi wa chuo kikuu...
  14. Procurement and supplies officer grade II at HESLB

    POST PROCUREMENT AND SUPPLIES OFFICER GRADE II – 1 POST EMPLOYER Higher Education Student Loan Board (HESLB) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-05 2022-06-18 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To receive all purchased goods as per terms & conditions of the contract/LPO and reports submitted by the...
  15. HESLB, naomba kupata maelekezo juu ya allocations za fedha za kujikimu wakati wa mafunzo kwa vitendo(Field)

    Habari za wakati huu kwenu. Kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ukuu wake na rehema tele atupazo katika maisha haya. Nimekuja hapa, nikiamini nitapata msaada na ushauri wa kimawazo juu ya suala tajwa hapo juu. Ipo hivi, mnamo mwaka 2020 bodi ya mikopo elimu ya juu (HESLB) ilifanya...
  16. M

    HESLB na Utumishi kuna nini kati yenu?

    Naendelea kupata ukakasi kutoka vyombo hivi viwili. Mwenye mamlaka ya kukata fedha za mtumishi ni mwajiri kwa mkataba maalumu pale inapohitajika. Nirudi kwenye mada, bodi na utumishi wamewabambikia watumishi madeni ya HESLB. Ukiuliza bodi wanadai hawahusiki na risiti za mishahara, utumishi...
  17. HESLB loan refund: Ni zaidi ya miezi sita sasa sijaona nikirejeshewa kiasi kilichozidi japokuwa nilikamilisha hatua zote

    Tunaishukuru Serikali kuondoa adhabu kwenye deni la bodi ya mikopo elimu ya juu. Kuna waliorejesha na kupitiliza, wanahitaji kurejeshewa kiasi kilichozidi baada ya kulipa deni. Ni zaidi ya miezi sita sasa sijaona nikirejeshewa kiasi kilichozidi, japo nilikamilisha hatua zote za "loan refund"...
  18. Maajabu: HESLB wamenifutia deni lote lililokuwa limesalia mwezi huu Januari

    Hallo hata sijui wamekosea au vipi. Nimecheck salary slip ya January nimekuta loan board hawajanikata na hawapo kabisa kwenye salary slip yangu. Nikapagawa kwa muda ikabidi nicheck status ya loan yangu kwenye website yao, nikakuta napongezwa kwa kumaliza kulipa deni. Awali mwezi uliopita deni...
  19. M

    Msaada yafadhali: Namna ya kurejeshewa fedha zilizozidi HESLB

    Naomba mwenye ulewa anisaidie namna ya kujaza maombi ya kuresha fedha iliyozidi Toka bodi mikopo Kwa njia ya online. Natanguliza shukrani.
  20. A

    Kwa hili la HESLB ingekuwa kwenye mamlaka ya Hussein Mwinyi, Mkurugenzi angeshatenguliwa

    Sina nia ya kupuuza juhudi za Mh. Samia Suluhu amiri jeshi mkuu. Ila ameonekana kucheka na wazembe. Kwa namna ninavyoona mwenendo wa Mh. Hussein Mwinyi kule Zanzibar,ninauhakika angekua na mamlaka juu ya HESLB angeshatengua uteuzi. Na angevunja menejimenti yote ya HESLB Tena hao wachunguzwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…