heslb

  1. K

    Je HESLB wanatoa mikopo kwa ajili ya masters?

    Habari wadau Naomba kufahamu kama kuna anayejua iwapo bodi ya mikopo wanatoa Pia na wanaofanya masters.
  2. Kwa kozi hii stashahada maalumu ya masomo ya sayansi (Chemistry and Mathematics) je naweza kupata mkopo kutoka HESLB

    Habari zenu jamani Mimi nimwanafunzi nilie maliza form four mwaka wa Jana nilimpata division III ya 24 selection zilivyo toka nimepangiwa nikasomee iyo kozi hapo juu katika chuo Cha Korogwe teacher college Sasa nilikuwa na uliza je naweza kupata mkopo wa heslb
  3. Aliyefanikiwa (HESLB LOAN) kipengele cha kujaza RITA VERIFICATION NUMBER (DEATH)

    Wakuu kwema? Ninamwombea mdogo wangu mkopo wa HESLB. Naomba kujua kama Kuna mtu ambaye amefanikiwa katika kipengele cha Preliminary Information kujaza RITA VERIFICATION NUMBER ya DEATH. RITA VERIFICATION NUMBER (DEATH) tayari zimeshapatikana, lakini kwenye mfumo wa HESLB zinakataa/zinagoma na...
  4. A

    KERO Zaidi ya wiki sasa Mfumo wa Bodi ya Mikopo ya HESLB inasumbua

    Mfumo wa Bodi ya Mikopo HESLB, ni zaidi ya wiki sasa tunapata shida katika kutuma maombi, nawapigia simu zao hawapokei, tupewe hata maelekezo tujue nini kinaendelea, ni kero kubwa aise. Ni kwamba vigezo wameweka vingi tumejitahidi kutimiza ila bado ni changamoto mfano mimi nikifika sehemu ya...
  5. 4

    Msaada heslb

    Nashindwa kufanya application ya mkopo shida nini muda huu ni mtandao au ,naombeni mwongozo wenu wakuu
  6. Kwenu HESLB na wadau wa elimu Tanzania

    Kwanza kabisa ninakiri kufahamu mchango wa HESLB kwa wanafunzi wa elimu ya juu katika ufanikishaji wa ndoto za vijana kwa kiasi. hili la ukopeshaji wanafunzi wa elimu ya juu liangaliwe upya haswaa kama mwanafunzi anahitaji kuongeza degree nyingine ila pesa ya kurudisha ili aweze kusoma degree...
  7. S

    Waziri wa Utumishi, options za loan takeover na restructuring kwenye mfumo wa ESS utumishi hazifanyi kazi. Hata deni la HESLB mpaka leo haliuzikii!!!

    Huu mfumo wa ESS utumishi umekuja na mambo mengi mazuri kwa Watumishi wa umma kama vile ku- access mikopo online bila kulazimika kwenda benki, kuomba likizo online na mambo mengine ambayo kwa saaa yanafanyika online na kwa haraka zaidi tofauti na zamani. Hata hivyo, kuna jambo moja ambalo sasa...
  8. I

    Hivi control number za Heslb zinaexpire

    Anyone with idea Hivi control number za Heslb zinaexpire
  9. HESLB ondoeni kipengele cha barua ya utambulisho kupitia NAPA, ni changamoto kubwa

    Bodi ya mikopo ya elimu ya juu tuoneeni huruma watanzania jamani. Hiki kipengele Cha kuweka BARUA ya UTAMBULISHO tena kutoka huko kwenye app ya NaPA imekuwa ni changamoto sana. kwani; 1. Watu wengi hawana kumbukumbu za taarifa zao walizotumia kujaza wakati wa zoezi la anuani za makazi. Hata...
  10. A

    KERO Responded Kipengele kipya cha Anuani ya Makazi (NaPA) katika Fomu ya Mkopo wa HESLB hakieleweki kwa Watendaji wengi, HESLB itoe elimu

    Kwenye uombaji wa mkopo kuna kipengele kipya cha kuweka National physical address (NaPA) hiki ni kipengele kipya kwa waombaji Mwaka 2025. Tatizo kimetolewa bila maelekezo yoyote na Wadau wanaohusika na utoaji wa hizo reference number ambao ni Watendaji wa Vijiji na Mitaa hawajui chochote...
  11. K

    Mwenye uelewa na hili la HESLB

    Samahani kwa usumbufu kwa mwenye uelewa na hili mimi jina langu la kwenye vyeti na NIDA linatofautiana kidogo kwenye vyeti linasomeka ALY ABDALLAH KIDABI na kwenye nida inasomeka ALY ABDALAH KIDABI. Je, inaweza kupelekea kukosa mkopo? Je, nikiapa mahakamani kwenye kuomba mkopo kuna sehemu ya...
  12. KERO Responded Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu (HESLB) inatuweka Wanachuo katika wakati mgumu sana kwa kutotuwekea fedha

    Katika hali ya kushangaza mfululizo wa hali ya ucheleweshwaji wa malipo ya pesa ya kujikimu na chakula kwa wanafunzi wa vyuo Vikuu imekuwa ni jambo la kawaida sana kufanywa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu HESLB. Tunaomba kila mwenye ushawishi asaidie kupaza sauti juu ya hili. Updates...
  13. Hivi ikitokea mdaiwa wa HESLB hajawahi kuajiriwa mpaka maisha yake yote anazeeka lile deni inakuwaje?

    Naomba majibu wakuu kuna mtu wangu wa karibu hajawahi kuajiriwa huu mwaka wa 22.
  14. HESLB na NIDA kushirikiana kuwatambua waombaji mikopo kupitia NIN

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) leo Ijumaa Mei 16, 2025, wamefanya kikao na waandishi wa habari katika ofisi za HESLB Kanda ya Mashariki zilizopo Dar es Salaam kwa lengo la kuutarifu umma kuhusu kuanza kushirikiana kuwapatia namba...
  15. Kwanini hela zinazoenda HESLB kila mwaka zisiingizwe kwenye uwekezaji ili kuongeza ajira?

    Habari wakuu! Kama ilivyo ada kila mwaka serikali inapeleka matrillioni kwenye bodi ya mikopo ya elimu ya juu yaani HESLB ili kuwawezesha wanafunzi wamudu gharama za kupata elimu ya juu. Sasa kuliko kuchangia katika kuzalisha wahitimu wasiokuwa na ajira na wenye madeni ya HESLB ni bora fedha...
  16. S

    HESLB hawafanyi haki kwa hili

    Je, Mfumo wa Mikopo ya HESLB kwa Postgraduate ni wa Haki? Mwandishi: Mr. Makizube Hakunaki Ndugu wanajukwaa, Baada ya kupitia kwa kina miongozo ya utoaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wa shahada za uzamili (Master’s) na uzamivu (PhD) kwa mwaka wa masomo 2024/2025, nimeona kuna...
  17. Kwa basic salary ya 1,180,000/= HESLB wanachukua kiasi gani hapo wakuu?

    .
  18. B

    Chuo cha Kampala hakijatupa ‘refund’ za Mwaka 2023, wanadai wanazirejesha Bodi ya Mikopo, kama kweli HESLB toeni tamko

    Sisi Wahitimu wa Shahada katika Chuo cha Kimataifa Kampala kilichopo Gongo la Mboto, Dar es Salaam hatujapewa malipo yetu yaliyozidi (refund) kutoka kwenye fedha tulizokuwa tunalipiwa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB). Wakati tukiwa mwaka wa pili (Mwaka 2023) kuna wengi...
  19. A

    KERO HESLB hawatoi fedha za kujikimu kwa wakati

    Shida kama haikupati hutaona ukubwa wake. Loan board hawatoi fedha za kujikimu kwa wakati. Wazazi wakishaona tumepata mkopo unakuwa umewatua mzigo na wanajitoa kwenye kukupatia fedha za kujikimu. Loarn boad wanatuumiza Sana. Wanapopitiliza Sana mda wa kutupatia fedha za kujikimu. Kawaida...
  20. A

    KERO Wanachowafanyia HESLB wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu siyoo uungwana kabisa

    Kila baada ya siku 60 mnufaika wa mkopo wa bodi ya mikopo HESLB inabidi apewe pesa ya kujikimu na chakula shilingi 10,000 kwa siku lakini mpaka leo naandika uzi huu hakuna mwanafunzi hata mmoja Tanzania aliyeingiziwa pesa ya Boom ilihali malipo vyuoni yaani Disbursement imewanyika takribani wiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…