heslb

  1. Serikali na Bodi ya Mikopo (HESLB), naomba ufafanuzi wa utaratibu wa kukata pesa ya mwisho ya kujikimu

    Habari za mda huu wakubwa, Nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu huu utamaduni mpya ulioanzishwa mwaka jana na serikali ya hayati magufuli ya kukata pesa ya mwisho ya kujikimu kwa kisingizio cha Corona sasa napenda kufahamu je safari hii nini kimepeleakea hilo? Je, Rais samia ameamua kuiga...
  2. Hivi ni kweli HESLB wamepunguza boom quarter 4 hii semester

    Wadau nasikia kuna baadhi ya vyuo wamepunguziwa boom lao la mwsho kwa semester hii, hizi habari ni za kweli? Kama ni kweli hizi pesa zinazokatwa na bodi kwenye booms za wanafunzi huwa zinapelekwa wapi au wanapiga tu hawa waliopewa dhamana pale HESLB.
  3. Tanzania Commission for Universities (TCU) Admissions Almanac for 2021/2022 Admission Cycle

    Tanzania Commission for Universities: News & Events 1. Final_Third Draft Admission Guidebook Equivalent Applicants 19052021.pdf 2. Undergraduate Admission Guidebook for 2021/2022 (For Holders of Form Six Qualifications) 3. Undergraduate Admission Guidebook for 2021/2022 (For Holders of...
  4. Vipi updates za Bodi ya Mikopo (HESLB) kuhusu Value Retention Fee (VRF)?

    Baada ya tamko la Rais kuhusu kufutwa kwa Value Retantion fee iliyokua inalalamikiwa Bodi ya mkopo ilitoa taarifa kuwa wanafanya marekebisho ya taarifa za wanufauka wanaolipa mkopo na kutoa taarifa za kula hatua waliyofikia. Kimya kilichopo kinaonyesha kua yawezekana wanaweza kuja na formula...
  5. Uporaji pesa za mkopo za wanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)

    Imekuwa ni utaratibu wa chuo cha uhasibu Arusha kukata kiasi cha pesa cha chakula na matumizi mengine(Boom) kwa wanufaika wake kila mara wanapotakiwa kuwapa kwa muda wa kila baada ya miezi miwili, ambacho ni kiasi cha tsh 500,000 kwa kila baada ya miezi miwili. Lakini wamekuwa wanawacheleweshea...
  6. Bodi ya Mikopo HESLB mbona kimya?

    Mei mosi Mheshimiwa Raisi alisema kwamba wanaondoa retension fee kwenye mikopo ya vyuo vikuu.. Kwa akili yangu ndogo nilitegemea bodi ya mikopo ingetoa mwongozo wa kipi kinafuata kam taasisi zingine zinavyofanya pale wanapopewa muongozo na viongozi wao.. Kinyume naoma mwezi wa pili huu unaenda...
  7. R

    Sifa za kupata mkopo HESLB ziangaliwe upya kabla ya maombi Juni 2021, hasa kigezo cha kuwanyima mkopo waliosoma shule binafsi

    Kigezo cha mtoto mbaye amesoma private schools asipate mkopo si sahihi. Wazazi wengine wanakuwa wamestaafu, wameacha kazi, wamekufa etc, kutumia kigezo hicho ni kutowatendea haki. Au pia uwezo wa biashara yake umekufa kama wakati wa Mwendazake biashara nyingi zilikufa na...
  8. Spika Ndugai alitaka Bunge kubadili Sheria ya HESLB ili wanafunzi wa VETA na NACTE wapate mikopo pia

    Nimependa mapendekezo ya Spika leo. Anataka kuona sheria inayowapa mikopo wanafunzi wa TCU, VETA, NACTE. Anataka 70% ya fedha za HESLB ziende ktk sayansi na teknolojia. Ameyasema haya kwenye kilele cha mashindano ya sayansi, teknolojia na ubunifu. Kila la kheri wabunge wetu. Tumieni hati ya...
  9. A

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) kutotoa huduma saa nzima

    Bodi ya mikopo Elimu ya juu nchini husitisha kutoa Huduma kwa muda wa saa nzima, hutumia lisaa zima kwaajili ya kula, wakati huo huduma husitishwa mpaka watakaporudi, hii imeekaje huko kwingineko katika taasisi za umma?
  10. Ufafanuzi wa kufutwa kwa VRF kwa wanufaika wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, waajiriwa tegemeeni kuongezeka kwa take home

    Nawasalimu kwa jina la JMT Kulikuwa na maswali kadhaa kwamba je Salary itaongezeka baada ya kufutwa kwa tozo ya VRF ya 6% kwa wanufaika wa mikopo ya Elimu ya Juu au hapana. Jibu ni kwamba take home itaongezeka maana makato ya 15% kwenye mshahara wa mwajiliwa nayo yana mchanganuo wake kwa...
  11. M

    Kuhusu Value Retention Fee(VRF) ya HESLB

    Habari za jioni waungwana Nilikua naomba kuuliza kuhusu hii Value Retention Fee ambayo ilikua inatozwa kwenye mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu Kulingana na tamko la muheshimiwa Rais kwamba hii tozo imefutwa rasmi, lakini sasa nashindwa kujua je kwa wale ambao washaongezewa mzigo wa deni...
  12. HESLB: Baada ya Rais kafuta retention fee-6%-heslb tunaomba statements mpya

    Leo May, 1, 2021. Rais Samia S. Hassan ametangaza kufuta riba ya retention fee ya 6% (Riba ya wizi). Awali tulilipa 10% kama riba ya thamani yote; japo wao waliita penati. Ukweli una bakia kuwa ni riba tu. Na 6% kama retention fee (riba ya kutunza thamani ya fedha). Na makato kwa ujumla yalikuwa...
  13. HESLB mnataka tufe kwa pressure?

    Mimi ni mnufaika wa Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB). Nilianza kulipa deni langu la shilingi milioni 6.5 mwaka wangu wa pili tu baada ya kuajiliwa. Nililipa deni langu katika kipindi cha miaka nane. Nimeshtushwa na barua niliyoandikiwa ofisini kwamba nina deni HESLB. Nimemaliza deni...
  14. T

    Bodi ya Mikopo HESLB waanza kuwakata watumishi wa TGTS B kabla hawajabadilishiwa muundo wa utumishi

    Ikumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree. Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa...
  15. M

    Rais Samia itazame upya HESLB na ikiwezekana Wazingue

    Mh. Rais ninakusalimu kwajina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwaufupi ninashauri Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu itazamwe upya. Menejimenti ni mbovu, huduma sio rafiki, wahitaji kama yatima na maskini hawajapewa Mikopo na wengine wameacha vyuo na wakati huo wapo ambao wanamudu kujisomesha...
  16. Nilitegemea Rais angeongea kitu kuhusu bodi ya Mikopo HESLB

    Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani, hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku 'sosho midia'
  17. Kwani Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haiwezi kuwa na accounts za malengo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza?

    Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Kwanini Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) isianzishe campaign ya kuhamasisha wazazi kuanza kuwalipia watoto wao pesa kidogokidogo katika accounts maalum ya bodi wangali wakiwa bado wanasoma elimu ya msingi (Darasa la Kwanza)? Jenga picha mtoto...
  18. N

    Awamu ya 5 ilivyobainisha watoto wa maskini na wa matajiri HESLB

    Miaka mitano hii imeigawanya sana jamii. Ukiwa mfanyakazi Serikalini una nafasi fulani na inakupatia mshahara mzuri basi uliambiwa wewe unatakiwa uishi kama shetani awamu ya tano Hapo inabidi umlipie feesza chuo mwanao. Mtoto ambaye wazazi wake hawaonekani kuwa na uwezo mzuri kiuchumi wanapata...
  19. F

    Bado nalia na Sheria ya Bodi ya Mikopo ya 2016

    Bado nalia na Sheria ya Bodi ya Mikopo ya 2016.Leo nimesoma katika gazeti moja la nipashe majibu kuhusu Utekezaji wa Sheria hii. Pamoja na mambo mengi Bodi wanasema wanakata asilimia 15 badala 8 na Retention fee inayokatwa kwa mdaiwa eti Sheria hii ilihusisha wadau ikiwemo vyama vya wafanyakazi...
  20. F

    Wabunge kama hawasikii kilio juu ya HESLB

    Hawa wabunge wangu wa Tanzania nilikuwa nawasubiri kwa hamu kila kikao cha bunge angalau mmoja atapaza sauti juu ya hiki kilio cha watanzania juu ya asilimia 6 inayojulikana kama retention fee. Ukweli ni kwamba hakuna wakuhoji Ile Sheria. Sheria Ile kama ingetokea kwamba ipigiwe Kura, nahisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…