hersi

Hersi may refer to:

Youssouf Hersi, Dutch footballer
Mohamud Muse Hersi, Somali politician
Amina Moghe Hersi, Somali entrepreneur
Hersi Aman legendary 3rd Sultan of the Habr Yunis
Khalil Abdulkadir Farah Hersi (1946-2005), Somali poet
Hersi Matmuja, Albanian singer

View More On Wikipedia.org
  1. Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

    "niliambiwa na viongozi wa Yanga kuwa nauza mechi iliniuma sana na nikipokuwa nawapigia simu hao viongozi waliokuwa wanatamka hayo maneno hawapokei simu yangu. "Viongozi walikua wanamtukana mama yangu na kutoa matusi ya kumnyanyasa hata ingekua ni wewe ndugu mwandishi usingekubali kutukaniwa...
  2. Uongozi wa Yanga Chini Ya Hersi tuupeni Maua yake

    Yanga For Many Years ilikua inajitafuta sana kiukweli ilikua inajitafta na hilo halina ubishi na katika misimu iliyokua inajitafta simba ilipiga hatua kubwa sana japo hayo mafanikio ya simba yanaanza kupoteza nguvu ikiwa ndio mwaka mmoja wa Hersi pale yanga. Hersi ndani ya mwaka mmoja wa...
  3. Wana Yanga SC Wenzangu JF Kocha Nabi na Rais Injinia Hersi hawatufai tuwatimueni upesi

    Timu juzi kule Nigeria imecheza Mchezo mbaya mno na inaonyesha Nabi siyo Kocha mzuri hivyo tumtimueni tu. Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hatufai kabisa kwani Katusajilia Michezaji isiyojua Kama Mayele na Beki mbovu Mwamnyeto. Naombeni wana Yanga SC Wenzangu wote hapa JamiiForums Kesho...
  4. Hersi akiri Yanga imekiuka mkataba na SportPesa

    Wakati mazungumzo yakiendelea kuhusiana na hatma ya mkataba kati ya Yanga na mdhamini wao SportPesa, Rais wa Yanga Hersi Said amekiri kuwa baadhi ya vipengele vilivyokuwa vinaibana Yanga wamevikiuka katika mkataba wake na SportPesa. Akihojiwa na kituo cha Television cha Clouds, Hersi amesema...
  5. Eng Hersi Saidi: Anayemtaka aje mezani hatumtaki, Sasa tunamuuza

    ANAYEMTAKA AJE MEZANI🤣🤣. Simba sc walikusudia wawe mabingwa msimu huu kwa hali na mali. Wakaona Yanga inatembea tu. Simba SC wakafanya kikao kukaribia mechi ya YANGA na Azam. Kwa kumtumia Mtu wa karibu na Feisal wakasemezana na kushirikiana na dada zao Azam Fc "Inabidi tuwachanganye Yanga...
  6. Asante sana Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kwa Kutuandaa vyema Kisaikolojia wana Yanga SC na Wanamichezo nchini

    "Yanga SC imeshatimiza malengo yake ya kuingia Makundi CAFCC kwa mwaka huu na haya mafanikio ya sasa katika Mechi zetu za Makundi ni Bonus tu kwetu. Hivyo hata tukitolewa hatutokuwa na deni kwa Wachezaji wetu waliopambana," Injinia Hersi Said (Rais wa Yanga SC) alipokuwa akizungumza na kipindi...
  7. Injinia Hersi Said: Bado tunamsubiri Fei Toto, tunaendelea kumlipa mshahara

    Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said amezungumza kuwa baada ya Kamati ya Hadhi na Haki za Wachezaji kumtaka Fei Toto kurejea Yanga, mchezaji huyo hajarejea klabuni licha ya kushindwa katika shauri la kuvunja mkataba wake na Yanga. Amesema baada ya hapo wao wanaendelea kumlipa mshahara na stahiki...
  8. Nimefurahi jinsi Hersi alivyofanya leo Kwa Mayele na Mashabiki. Mayele anastahili Heshima kubwa sana.

    Ndiye mchezaji pekee anayejituma sana hapa Yanga. Na Aziz Ki naye anajitahidi. Ila michezaji ya ndani imezubaa sana. Huoni hata ikiumia tunapopoteza points. Nimependa Hersi jinsi ambavyo amepiga simu na kumuweka loud speaker Mayele akimtaka kesho kutupatia magoli. Mayele amesisitiza atatetema...
  9. M

    Ali Kamwe, Haji Manara, Injinia Hersi na wana Yanga SC mlisema hamtawaiga Simba SC. Je, hiki mtakachofanya kesho siyo Kuwaiga?

    "Kesho Uongozi wa Yanga SC umealikwa na Wana Yanga SC wa Mbagala ili twende Kuzindua Hamasa ya Kuelekea Mechi yetu ya Jumapili dhidi ya TP Mazembe na Ijumaa hadi Jumamosi pia kutakuwa na Matukio ya Kuhamasishana na Kufundishana jinsi ya Kushangilia" amesema Ali Kamwe Msemaji wa Yanga SC muda...
  10. Eng. Hersi Said angalia upya wanaouza jezi za Yanga

    Inawezekana GSM haioni tatizo kwenye mapato ya jezi lakini wadau wengine wengi wananung'unika sana kutokana na uuzaji wa Jezi. Jezi zinafichwa na kuuzwa kwa bei kubwa kwa mlango wa nyuma hapohapo klabuni.
  11. Rais wa Yanga SC Injinia Hersi mlimleta Bigirimana kwa Mbwembwe zote, mbona sasa mnaachana nae Kimya Kimya?

    Naona nae Kawadindia ( Kawakatalia ) na anataka mumlipe Tsh Milioni 700 zake la sivyo anabisha hodi FIFA Kudadadeki. Halafu Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) na GSM wako ( yako ) si mnasema mna Hela? Sasa mbona mnamsumbua mno Tajiri wa NATION GAS Rosti Tamu ukila na Aziz pamoja na Mzee...
  12. Eng. Hersi Said acha kuwa na kiburi

    Mimi ni mwanachama wa Yanga mwenye kadi kabisa ya uwanachama. Watu wengi wanajiunga na kujiandikisha kama wanachama wa Yanga kwa sababu wanaona timu inavyopata matokeo. Timu kwa Sasa imekuwa popular kwa sababu ya kuongeza fan base kwa sababu ya matokeo.. Sasa eng anaona kama timu yeye ndiye...
  13. Nimenawa Mikono kwa Suala la Chama. Hersi alikuwa sahihi

    Mjadala wa suala la ubora wa Chama. Umefungwa. Tujadili mambo mengine. Chama ni mchezaji mwenye kipaji cha kipekee sana. Nakumbuka mwenyekiti wetu Hersi alishasema Chama ni classic player ambaye hata Yanga tulipenda kuwa naye. Chama anakupa vitu vingi uwanjani. Yaani una enjoy kumtizama...
  14. Rais wa Yanga Hersi na Msemaji Kamwe wana Yanga SC, tunauliza tukiwa Tunisia tusimame Kushangilia dakika ya ngapi?

    Nimehakikishiwa kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Msemaji wa Yanga SC Ally Kamwe nyote mnanisoma na kunifuatilia Kutwa ( 24/7 ) GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo natumai mtanijibu mwana Yanga SC Mwenzenu hili Swali langu. Cc: Ulimakafu
  15. Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said nchi uliyoitaja inaitwa 'Tunis' iko Bara gani Kijiografia?

    "Nipende kuchukua nafasi hii Kuwahakikishia wana Yanga SC kuwa tunaenda kupindua matokeo nchini Tunis na kusonga mbele" Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said. Chanzo: Sauti yake aliyoisambaza mwenyewe katika Electronic Media zote leo. Yaani huna hata mwaka uongozini umeshaanza kudata...
  16. Eng. Hersi ajiuzulu nafasi yake ya urais kwa kututusi sisi wanayanga!

    Kitendo cha Rais wa klabu yetu pendwa ya Young Africans au yanga kutuita sisi mashabiki wake wala mihogo, ni kutudhalilisha, kutufedhehesha, kutudharau na kutuona hatuna maana. Inauma sana kwa kweli leo hii sisi ni wakuitwa wala mihogo ambao hatufai kuchangia chochote kisa tumekula mihogo. Na...
  17. Eng Hersi aambiwe ukweli Yanga kuna wachezaji mizigo

    Mchezaji Kama Bigirmana, Makambo na Kisinda sio wachezaji wa kucheza Yanga Naomba dirisha dogo Hawa wachezaji waondoke haraka ni takataka Lomalisa watu wanamponda lakini kwangu Mimi ndiye beki Bora namba 3 akiaminiwa na kupewa mechi Football ni namba mpaka sasa ana assist mbili ni beki gani...
  18. Abubakar Salum haumwi, ila amegoma hadi amaliziwe chake chote

    Na kuna mgomo wa chini kwa chini juu ya kuchelewesha mishahara ya wachezaji wazawa ila wa kigeni wote mnawatimizia kwa wakati. Nibishieni hili ili nije na siri nyingine.
  19. Hersi anampangia kocha kikosi, kesho kunyamazishwa

    Taarifa za ndani ya Yanga nilizotaarifiwa ni kuwa Eng Hersi Said ndiye anayemlazimisha Nabi kumchezesha Feisal na Aziz Ki kwa pamoja, hataki kuona mmoja anaanzia Benchi. Hersi ndiye aliyemwambia Nabi kuwa Feisal na Aziz awatumie wote kwa pamoja atajua yeye atakavyowatumia lakini lazima waanze...
  20. Kwako Eng. Hersi Said taarifa hii ikufikie kuhusu chawa wako

    Popote ulipo nakupa pole Rais wetu kwa mapambano unayopitia katika kutetea chapa ya Yanga. Kufeli kwetu katika mambo mbalimbali yaihusishayo klabu yetu tatizo kubwa ni hawa machawa wako wanaokuzunguka, mdomo mwingi, sifa kibao utendaji sifuri. Hao wamekuwa wakiangalia matumbo yao tu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…