Viburi,shingo ngumu tangu lini wakasikiza ushauri wa kujenga? Watu wale wale kina Wasira waliomhadaa Mbowe na akahadaika na kuanza kumpamba kuwa aupiga mwingi , watu hao hawafai Kwa lolote Kwenye meza ya maridhiano.
Ashindwe kuridhiana na watu wa chama chake waliopigwa risasi Oct 29, ashindwe...