hawataki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wabunge wa Uingereza wagomea mwaliko wa Rais Mnagangwa kuhudhuria kusimikwa kwa 'King Charles III'

    Wabunge wa Uingereza wametoa tamko la kumshinikiza Waziri Mkuu, Rishi Sunak kufuta mwaliko wa Rais Emmerson Mnangagwa kushiriki sherehe hizo kwa maelezo kuwa uongozi wake umekuwa ukivunja Haki za Binadamu. Kama mwaliko huo hautafutwa, Mnangagwa atakuwa Rais wa kwanza kuingia jijini London baada...
  2. Serikali ya China yalaumu wahitimu wa vyuo vikuu kwamba ni wavivu, wabishi, hawataki kazi ngumu

    Kutokana na kuongezeka kwa tatizo la ukosefu wa ajira, Serikali ya China imewaangushia wahitimu wa vyuo vikuu zigo la lawama kwamba ni wavivu, wabishi na hawataki kazi ngumu za shambani. Hii ni kutokana na kwamba wahitimu wengi hawataki kurudi makwao vijijini kwa wazazi wako wakashiriki kazi za...
  3. Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

    Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote. Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko. Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo...
  4. Takriban vijana 700,000 wameikimbia Urusi hawataki kupelekwa kwenye vita

    Putin anaendelea kuachiwa apambane na hali yake, wanaume, wengi wao wakiwa vijana barubaru wameikimbia nchi..... Maana hawaoni tija ya kuburuzwa kwenda kupigana na jirani ambaye hana uadui na wewe.... Young Russians refusing to fight in Ukraine have been fleeing to Istanbul since Moscow...
  5. F

    MSAADA: Baada ya kutumia dawa ya Pregabalin(ligaba), natokwa na mate Kama manyunyu napozungumza na watu, nifanyeje?

    Sijui hata nifanyeje? Nilipata tatizo la ganzi mwilini, nikatumia vodonge vya Pregabalin miezi minne. Sasa kila nikiongea na watu nawarushia mate Kama manyunyu yanapuliza. Sasa watu hunikwepa au kuweka mikono usoni na mdomoni kwa tahadhari. Sikuwa na hili tatizo kabla. Je nifanye nini...
  6. Tatizo ni nini hasa? Madarasa tayari Wanafunzi hawataki Shule

    Haya ni maajabu ya Tanzania ya CCM, Sasa hivi inajisifu kujenga madarasa mengi na ya kisasa kwa shule za msingi na sekondari kwa pesa nyingi sana za kukopa, tozo na kodi za kawaida. Pia sasa hivi elimu inasemekana ni bure kote huko yaani msingi na sekondari. Tunawapongeza. Ajabu ni kuwa kuna...
  7. Baada ya kumshughulikia Mwaikali, wamehamia kwa Kimaro. Viongozi KKKT hawataki nyota za wenzao kuonekana? Who is next?

    kKKT ni kama Ina udikteta, imejaa viongozi wenye roho mbaya sana, makatili, washirikina, wamejaa wivu, husda. Askofu Mwaikali aliondolewa kwa njia ya kuhudhunisha sana, taratibu zote za kanisa zilivunjwa kwa makusudi kwa lengo moja tu, kumkandamiza, kumuonea, kumdhalilisha Kuna askofu...
  8. L

    CHADEMA wasibembelezwe katika meza ya mazungumzo maana ni vigeugeu na waliyokosa msimamo

    Ndugu zangu, ukifuata akili za CHADEMA na wana CHADEMA na viongozi wao lazima upotee, upoteze dira, muelekeo na kuchanganyikiwa. CHADEMA ni chama kisicho na msimamo, dira aala muelekeo, hakina misingi inayokiongoza na kusimamia. Ni chama ambacho huwezi ukajua baada ya mwaka kitakuwa wapi na...
  9. Pakistan: Waziri Mkuu Mstaafu Imran Khan anusurika kuuawa wakati akihutubia

    Katika hali ya kushangaza, inaripotiwa kwamba waziri huyo mkuu wa zamani ambaye kwa sasa anaipa serikali iliyoko madarakani upinzani mkubwa ameshambuliwa kwa risasi akiwa kwenye maandamano karibu na mji wa Punjap. Itakumbukwa kwamba Waziri Mkuu huyo wa zamani aliinyooshea kidole Marekani...
  10. Ukweli mchungu ambao mashabiki wa Simba hawataki kuukubali

    Kwa sasa mna timu ya kawaida sana, Tshabalala, Kapombe, Bocco, Nyoni na Mkude siyo wa miaka minne nyuma, Chama aliyerudi kutoka Morocco siyo yule alieondoka, pengo la Muqquison bado halijazibwa, wachezaji wenu wa kigeni ukiwatoa Innonga karibia wengine wote ni overrated. Usajili wenu ya...
  11. Kwanini wanawake wengi hawataki kutambulika kama 'Wife Material' siku hizi, wanajihami kwa kukosa sifa hizo?

    "A good woman is not one size, women say" "Unahitaji kukaa vizuri kama mwanamke!" "Nani atakuoa ikiwa hujui kupika?" Haya ni baadhi tu ya maagizo ambayo wasichana hupigwa navyo wanapokua. Wasichana wanakumbushwa kwamba sifa inayotamaniwa zaidi na wanaume ni aina ya 'wifey material'...
  12. Polisi wanaosimamia Sharia za kiislamu waondoka mitaani Iran baada ya waandamanaji kuchachamaa hawataki

    Sasa hivi wameondolewa mitaani sababu waandamanaji wasiotaka kuvaa ajabu wanawafanyia Fujo na kupigwa mawe nk Sasa hivi hawapo mitaani kabisa .Wako tu Askari wa kawaida wa dini hawajulikani wamepotelea wapi!! Watu sasa wanawake wengi wanatembea bila hijab mchana kweupe Source: Aljazeera
  13. D

    Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

    Land cruiser vx v8 hii gari isikie tu! Hii ni ndege ya chini! Ukionja hii gari unaweza ishauri Serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah! Nahisi ndiyo maana ilibatizwa Ushangingi maana ni kweli VXV8 ni shangingi la njia siyo uwongo! Na ukitaka...
  14. Watanzania watu wa ajabu, wanapenda maendeleo lakini hawataki kugharamia hayo maendeleo kwa kodi

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Margaret Thatcher aliwahi kusema, serikali haina duka wala biashara au shamba. Serikali inaendeshwa kwa kodi zinazotozwa kwa wananchi wake. Wananchi hawakupenda sana kauli hiyo, lakini akawaambia hivyo ndiyo ilivyo kwenye free market economy. Hivyo ndivyo ilivyo...
  15. Wanawake wengi hawataki kuitwa mama, kwanini?

    By Kelvin Kagambo Siku moja niliona mwanamke mmoja mashuhuri anagombana na watu mtandaoni kwa sababu ya kwanini watu wanamuita Rais Samia Suluhu Hassan ‘mama’. Hoja zake zikiwa, kumuita Samia Suluhu mama ni kama vile kumpunguzia majukumu makubwa ya urais aliyonayo, pia ni sawa na kumletea...
  16. Huyuk kiongozi wa Chadema ndio kusema hataki panya road kudhibiwa? Au ndio kupingapinga tu. ? Mkimbizi ni mkimbizi tu.

    Tungesikia malalamiko ya ndugu za marehemu kuwa haki haikufanyika sawa. Sasa hawa analalama nini?
  17. Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu

    Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24. Eneo la tukio na...
  18. Wazazi hawataki nioe binti kutoka Mgeta - Morogoro

    Wakuu nimekuwa kwenye mahusiano na binti kutoka Mgeta - Morogoro. Sasa wazazi hawataki kusikia kabisa hii habari.
  19. Somo zuri kutoka uchaguzi wa Kenya ambalo watawala wa Tanzania na CCM hawataki kulisikia.

    Mambo 10 yanayoutofautisha uchaguzi wa Kenya na nchi zingine Afrika 19 Agosti 2022 Na Yusuph Mazimu BBC Swahili Kenya imefanya Uchaguzi wake mkuu Agosti 9, 2022, na kumchagua William Ruto kuwa Rais wa tano wa taifa hilo, akimuangusha mwanasiasa mkongwe, Raila Odinga, aliyekuwa anagombea kwa...
  20. CHADEMA inapigania ustawi wa Tanzania, kwanini unaipinga?

    Wakati mwingine ukiangalia chuki walizo nazo baadhi ya watu dhidi ya CHADEMA, jambo unaloligundua kwa urahisi ni kwamba watu hao fikra zao na mwenendo wa maisha yao umeshazoea kugandamizwa. Ni kazi sana kwa mtu aliyezoea kuwa mtumwa na kuona "manufaa" ya kuwa mtumwa kukubaliana na mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…