hatia

Hatia is a small town and railway station in Ranchi district, Jharkhand, India. It is adjacent to Ranchi, the capital of Jharkhand. One of the premier technical institutions in the field of Metallurgical engineering, the National Institute of Foundry and Forge Technology, is situated here. Hatia developed as a suburb of Ranchi, the capital city of Jharkhand. Away from the rush in the main city, this part of Ranchi is comparatively quiet and calm. With HEC developing a huge infrastructural set up in the area, Hatia is one of the largest and most well-maintained dwelling destinations in Ranchi.
Besides NIFFT, Heavy Engineering Corporation, one of the largest engineering companies in India, is situated in Hatia.

View More On Wikipedia.org
  1. Ruto, Museveni, Kagame, na wengineo pamoja na mabaya yao, hawajawahi kuweka rekodi ya kuua halaiki ya watu wasio na hatia

    Ni kama vile kwa mtu unaesikiliza ukitembea kwenye ardhi hii ya nchi hii, mtu anayepemda Haki na mwenye HOFU ya Mungu hata wale wachawi wanasikia kabisa vilio vya nafsi za waliokufa OKTOBA 29 -MASSACRE DAY IN TANZANIA (MAUAJI YA HALAIKI) zikidai Haki hata wakiwa umautini.. ni kama vile tupo...
  2. Ukweli mchungu wa vifo vya watu wasio na hatia wakati wa maandamano nchini Tanzania

    Ni huzuni kuu inayotanda mitaani. Machozi yanayodondoka kwenye nyuso za mama waliopoteza watoto wao, kelele za huzuni za ndugu wanaojaribu kuelewa kwa nini wale waliokuwa wakidai haki leo wamelala milele. Tanzania, nchi iliyojulikana kwa amani na utulivu, leo inajikuta ikitikiswa na maswali...
  3. M

    Mauaji ya watanzania wasio na hatia

    Baadhi ya video zipo Instagram https://www.instagram.com/samia_muuaji?igsh=MWRzaGxjMDU3YW9sbw==
  4. Akubali kukatwa korodani baada ya kukutwa na hatia ya kujaribu kumbaka mtoto wa miaka 7

    Thomas Allen McCartney, mhalifu wa kingono huko Louisiana, Marekani, amekubali kupitia upasuaji wa castration (kukata korodani) kama sehemu ya makubaliano ya kukiri kosa. Haya yamejiri baada ya kukutwa na hatia ya kujaribu kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka saba. Kando na upasuaji...
  5. Pole pole anachofanya ameamua kumuua mende kwa Nyundo , taratibu sisi Ccm hatuna hatia.!

    Pole pole ameamua kuia Ccm kifo cha Asili , taratibu polepole usifanye hivyo tafadhari.
  6. Ukifungwa halafu ukabainika huna hatia je. Unalipwa fidia

    Salami wakuu, Kuna swali nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu Hivi ikitokea ukapelekwa gerezani kwa tuhuma labda hata ya wizi au ubakaji then baada ya kukaa gerezani Kama mwaka ikaja kubainika kuwa wewe sio mhusika kwa maana nyingine ulibambikiwa kesi Je. Kuna fidia yoyote unayopewa ukizingatia...
  7. Iran yamnyonga aliyekutwa na hatia ya kuwa jasusi wa Israel

    Iran imetekeleza Jumatano hukumu ya kifo kwa kumnyonga mtu mmoja aliyepatikana na hatia ya kufanya ujasusi na kutoa taarifa kwa Israel. Taarifa hizo ziliwezesha mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia aliyeuawa mwezi Juni wakati wa mashambulizi ya Israel dhidi ya Jamhuri hiyo ya Kiislamu. Hayo...
  8. GE2025 Tundu Lissu: Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, wanaoomba huruma ni wenye hatia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu amesema "Mimi siombi Huruma ya Mahakama, Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, nachotaka na ambacho nakisimamia utaratibu wa Mahakama usichezewe"
  9. Tuombe aman huku Iran akiwa katulizwa Israel aendelee kuuwa waarabu wasio na hatia huko Palestine, waarabu wa Sudan nao waendelea kuchinjana

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU Hapa ndo utauona umaana wa Iran sema tu Iran hana msaada lakini ni mtetezi wa watu wa Palestine Bahati mbaya naye kapigwa kama mtoto mdogo, mda huu anaugulia maumivu, tumpe pole Israel anaendelea kuuwa watu wasio na hatia tokea jana usiku mpaka mda huu...
  10. Uhuru wa Kuabudu na Haki ya Askofu Gwajima Kufundisha Amri za Mungu: Usiue mtu asiye na hatia, Usiue jina zuri la mtu baki, na Usiibe mtu kwa Kumteka

    https://youtu.be/NhpB9Zh2_6Y I. Usuli Uamuzi wa serikali wa kukurupuka kufunga kanisa la ufufuo na uzima na matawi yake 2,000 nchini Tanzania, tena bila kutoa nafasi ya kujitetea kwa viongozi wake, ni ushahidi kwamba huenda viongozi wetu hawaelewi kwamba uhuru wa kuutafuta ukweli wa...
  11. Mahubiri ya Gwajima yamuibua Zitto Kabwe akichukizwa na mauaji ya watoto na raia wasio na hatia huko Gaza!

  12. Wito :Neno Tanganyika na Watanganyika litumike zaidi ili kuonesha kutokubaliana na Yale yanayoendelea nchini mwetu,

    Katika nyakati hizi ngumu, sauti zetu hazipaswi kuzimwa na woga wala hofu. Wale waliochoshwa na ukandamizaji, mauaji na utekaji unaoendelea nchini mwetu, ni wakati wa kusimama na kusema hapana. Hatutakubali kuona ndugu zetu wakipotea bila sababu, haki kupotoshwa, na sauti za wanyonge kufifia...
  13. Ningekubali hatia ya uhaini

    Mbinu moja wapo ya Watawala wachovu na waoga ni kutisha na kuogopesha umma wa unaowapinga kwa kutumia vyombo vya dola na adhabu za jela. Kwa kuwa basi kila mtu anajua kesi ya UHAINI inayomkabili Ndugu Tundu Lissu adhabu yake ni moja tu KUNYONGWA HADI KUFA kwa mujibu wa Penal Code kifungu cha...
  14. Mahakama ya Ufaransa Inamushutumu Kiongozi wa Mrengo Mkali wa kulia Le Pen na Hatia ya Ubadhirifu

    Le Pen, anakabiliwa na kesi ya kufuja Euro Milioni 3 fedha za umma kwa kuwaajiri wafanyakazi hewa wakati alipokuwa mbunge kwenye bunge la Ulaya kati ya mwaka 2004 hadi 2016. Hatua hii ni pigo kwa mwanasiasa huyo mkongwe na inafifisha ndoto zake za kuwania tena urais mwaka 2027. Viongozi wa...
  15. Baraza la Maadili lawakuta na hatia Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo, Meneja TANESCO, Diwani na Msajili Msaidizi wa Hati

    Cleophas John Mziray, Hakimu Mahakama ya Mwanzo Puge mkoani Tabora akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Cleophas amekiri hivyo Baraza...
  16. Pegasus yakutwa na hatia ya kudukua na kufuatilia mawasiliano ya watumiaji wa WhatsApp

    Kampuni ya META imeshinda kesi iliyofunguliwa mwaka 2019 iliyokuwa ikiituhumu kampuni ya NSO Group ya Israel kutumia Programu yake ya 'Pegasus' kudukua mawasiliano ya Watumiaji wa Mtandao wa WhatsApp. Uamuzi wa Mahakama umetokana na kubaini kuwa NSO ilikiuka Sheria za Mkataba wa Ulinzi wa...
  17. M

    SI KWELI Baltasar Ebang Engonga ameachiwa huru kwa kukutwa hana hatia

    Nimekutana na taarifa zinadai kuwa Baltasar Ebang Engonga ameachiwa huru na kurudi mtaani baada ya kukutwa hana hatia kwani Wanawake wale aliokuwa akifanya nao ngono kwenye zile video zaidi ya 400 ni watu wazima na walionekana kuwa wameridhia kufanya na kurekodiwa. Aidha vipimo vilionesha hana...
  18. M

    Jenerali wa Iran asema tulilenga Kambi za Jeshi za Israel zinazohusika kufanya uharamia wa kuua watu wasio na hatia!

    Jeneral Mkuu wa vikosi vya IRGC vya Iran amesema kuwa Iran ilijaribu kuwa wavumilivu baada ya Israel kubreach sovereignity yao kwa kuingia ndani na kumuua mgeni wao Ismail Hanniyeh aliyekuwa amekwenda kuhudhuria kuapishwa kwa rais mpya wa Iran. Akasema kuwa baada ya Israel kumuua Jeneral wa Iran...
  19. T

    Makanisa na misikiti mpaze sauti kuhusu utekaji na kuua watanzania wasio na hatia

    Hali ya usalama ya sasa si nzuri watu wanapotea mno makanisa nayo yamekuwa chawa hayasemi mpaka watu wanauawa No hii haiwezekani waumini wenu kupotezwa na nyiniyi mnachekelea utume wenu uko wapi. Au na nyinyi ni sehemu ya yanayofanyika!
  20. Kuzaliwa mwanaume ni hatia

    Nimekumbuka mtani kwetu miaka ya nyuma, alitokea mwizi mwanamke, alikamatwa bila kupigwa hata kibao tu walitokea watu wakazuia asipigwe. Baada ya yule dada kuhojiwa alitoa story ya simanzi pale akachangiwa sembe, mchele, sukari na vyakula vingine vingi akale na familia yake, akapewa na nauli ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…