hatia

Hatia is a small town and railway station in Ranchi district, Jharkhand, India. It is adjacent to Ranchi, the capital of Jharkhand. One of the premier technical institutions in the field of Metallurgical engineering, the National Institute of Foundry and Forge Technology, is situated here. Hatia developed as a suburb of Ranchi, the capital city of Jharkhand. Away from the rush in the main city, this part of Ranchi is comparatively quiet and calm. With HEC developing a huge infrastructural set up in the area, Hatia is one of the largest and most well-maintained dwelling destinations in Ranchi.
Besides NIFFT, Heavy Engineering Corporation, one of the largest engineering companies in India, is situated in Hatia.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Waziri Mbadi na Mwanasheria Mkuu Wapatikana na Hatia ya Kuficha Siri za Mikopo ya Kimataifa

    Mahakama Kuu imewapatia hatia ya dharau ya mahakama Waziri wa Hazina, John Mbadi, pamoja na Mwanasheria Mkuu, Dorcas Oduor, kufuatia kushindwa kutekeleza amri ya kufichua mikataba ya sovereign bonds na matumizi ya fedha zilizopatikana kupitia mikopo hiyo. Jaji Patricia Nyaundi alitoa uamuzi huo...
  2. Wakatoliki na Walutheri wanaweza kusababisha Lissu kuachiwa

    Waumini Wakatoliki na Walutheri wakigoma kwenda kanisani mwezi mmoja tu mfululizo viongozi Wakatoliki na Walutheri serikalini watasababisha Lissu aachiwe, Dini bado ina nguvu na ushawishi mkubwa sana kwa wanasiasa wa Tanzania na inaweza kutumika kama nyenzo ya mabadiliko raia wakijua kutumia vizuri
  3. Mahakama imethibitisha LISU hahusiki na mauaji

    tangu mwanzo tunajua lisu hana hatia tunajua aliyefanya mauaji kwa hiyo bado tunataka uwajibikaji kwa wauaji kwa sababu wanajulikana.wauaji laana yenu ipo palepale mtalipia SAMUYA and co.
  4. Paschal Mayala na wadau wa sheria hii imekaaje:? Hajakutwa na hatia katika kosa aliloshtawa nalo, lakini kakutwa na hatia kwa kosa asiloshtakiwa nalo

    ABC zangu ndogo za masuala ya kisheria,zinanikumbusha kwamba mahakama zetu mara nyingi zimekaa mkao wa kupima, kujadili na kuamua kesi iliyoletwa mezani kama ilivyofunguliwa na wadai au waendesha mashtaka. Kama shtaka kwa mtuhumiwa lilikuwa kuzidisha chumvi katika mboga, majaji hawawezi kutoa...
  5. Z

    Bibi Titi na wenzake walipo kutwa na hatia kwa kesi ya uhaini, walifungwa kifungo cha maisha. Leo Lisu itakuwaje?

    Awamu ya kwanza chini ya utawala wa Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere aliwatuhumu Bibi Titi na wenzake kwa kosa la uhaini na walipo tiwa hatiani na mahakama walifungwa kifungo cha maisha gerezani. Leo Lissu itakuwaje? Kunyongwa au kifungo cha maisha gerezani?
  6. Kila siku Wakristo wanachinjwa nigeria, watu wasio na hatia wanauliwa Sudan, n.k, sasa unajiuliza tofauti na kutoa matamko kazi maalum ya AU ni ipi?

    Mtaji wa masikini ni nguvu yake mwenyewe. Ukitaka kuharibu siku yako nenda uangalie damu zinavyomwagika sudan na nigeria.
  7. B

    Hivi mnaelewa kweli kinachoendelea siku hizi kwenye migogoro ya ndoa? Talk is so easy

    Hivi mnaelewa kweli kinachoendelea siku hizi kwenye migogoro ya ndoa? Talk is so easy. Kuna jambo ambalo nimekuwa nikilitafakari sana. Mimi siungi mkono kuumizana kwa hali yoyote ile. Mtu akimdhuru mwenzake, hasa kwa kiwango cha kuchukua uhai, hakuna sababu ya kuhalalisha jambo hilo. Lakini...
  8. Kituko kesi ya uhaini wa Tundu Lissu: Nassoro Katuga asema, kama TAL hana hatia ya uhaini wa hukumu ya kifo, basi mahakama imfunge jela miaka kadhaa!

    Hii ndiyo nia ya hawa hayawani. Hawataki kabisa mtu huyu awe huru iwe mvua au jua. Lakini mimi nasema, Tundu Lissu si mhaini, fullstop!! ================ Kinachoendelea leo Mahakama Kuu ya Tanzania, obvious mambo si mambo kwa Jamhuri wakiongozwa na Wakili wao mkuu, Nassoro Katuga. DPP na...
  9. Ikitokea Lissu akashinda Kesi basi ulinzi wake uongezeke sana. Kuna watu hadi sasa washajipambanua wanaomba akutwe na Hatia

    Hivi na nyie hua mnajiuliza ile kauli ya Kingai? Ujue hii Nchi hata samia anaweza kupindisha pindisha kusema kua Lissu yupo mahakaman na akasema atahukumiwa kwa haki,..japo tunajua kesi kuanzia mwanzo hadi sasa ina maelekezo yake. So Samia atazuga zuga kuonyesha uhuru vile, Ila hadi sasa...
  10. K

    Mkuu WA JWTZ , IGP na mwenyewe Kingai ni wateule WA rais je kauli ya kusema wote wanataka Lisu akutwe na hatia haiwezi athiri hukumu?

    Wadau habari zenu, HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari Wanasheria na wadau...
  11. S

    Mtazamo: Kwa kilichotokea mahakamani leo, Lissu hatokutwa na hatia huku akiwa amelinda heshima yake. Kuwaita CDF, IGP na DCI, alicheza kama pele

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Lissu angekubali kirahisi hao mashahidii kutohijiwa kwa cross examination iwapo wangekataa kuwa upande wake.. Kingine kilichonishangaza, ni DCI Kingai kuwasemea mashahidi wenzake na Lissu kukubali kirahisi tu kwani ni hatari kwake iwapo cross examination ya hao...
  12. Kama Ramadhani Kingai amesema anaombea na atashangilia iwapo Lisu atakutwa na hatia, basi wananchi wanashaongilia vifo vya viongozi wapo sawa

    Now this is the real war. Sina neno
  13. Kwa hiyo mkuu wa Majeshi CDF atafurahi ikiwa Lissu atakutwa na hatia? Asee

    Ameongea Kingai na huu ni mfano wa watumishi wetu wa umma. Mahakama imedharauliwa na jeshi letu limechafuliwa na Kingai. Sifikirii kama maneno hayo ameyatoa kwa niaba ya CDF ama amejitungia. The only
  14. Lisu kulipwa zaidi ya bilioni 50 kama itaonekana hana hatia.

    Kama hii kesi Lisu atashinda na kuonekana hana hatia yoyote Basi serikali itaenda kufilisiwa vibaya sana. Kwa makadirio sio chini ya bilioni 50 kama Lisu hatokutwa na hatia yoyote Hivyo Lisu ataenda kufilisi serikali rasmi ikionekana hana hatia yoyote. Halafu huyoooooooo anatimkia zaidi...
  15. Baada ya Miaka 30 Huyu Hapa Ahukumiwa Kwenda Jela Mauaji ya Mwanamuziki 2Pac

    Baada ya takriban miaka 30 ya sintofahamu kuhusu kifo cha rapa maarufu Tupac Shakur, kiongozi wa zamani wa kundi la “South Side Compton Crips”, Duane “Keffe D.” Davis, amepatikana na hatia ya mauaji yake. Kifo cha Tupac mwaka 1996 katika shambulio la risasi lililofanywa na watu waliokuwa ndani...
  16. R

    Wasira: CCM kama chama haiwezi kukutwa na hatia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mzee Stephen Wasira, akizungumza leo Agosti 19, 2026, katika mahojiano na UTV "CCM haiwezi kukutwa na hatia. Mtu mmoja mwana-CCM anaweza kukutwa, na hiyo sio CCM. CCM kama chama haiwezi kukutwa na hatia. Lakini mwana-CCM mmoja...
  17. Umekutwa na hatia bado unaingia na bangi kituoni uunao ni usela au..?

    Katika purukushani za maisha huku na kule, kuna kipindi nilishawahi kukamatwa na kuwekwa ndani Kesi yangu ilikuwa bado inaendelea, lakini ndani ya moyo wangu nilikuwa naamini kwamba, kwa namna yoyote ile, ipo siku nitatoka. Changamoto kubwa ilikuwa hata kuwafikishia wazazi taarifa kwamba...
  18. kwanini the most dirty minded people huwa na sura zisizo na hatia

    hawa watu wanaweza ongea neno ukajiuliza mara mbilimbili ni yeye au limetoka kwenye kinywa cha mtu mwingine mtazame sura sasa so innocent lazima atawaacha midomo wazi na kushikilia mbavu Akili zao na sura zao zisizo na hatia huwa havishabihani hata kidogo pia ni hatari zaidi kwenye kufanya...
  19. J

    Mtu anayetungisha mimba wenye chupa maabara ana hatia mbele ya Mungu au la

    Mtu anayetungisha mimba wenye chupa maabara ana hatia mbele ya Mungu au la Kwanza ni muhimu kufahamu nini maana ya watoto wa kwenye chupa. Ikitokea mama anakuwa ana mayai lakini anapata shida kushika mimba, huwa kuna uwezekano wa kuyatoa mayai yake kutoka kwenye uzazi na kuyaweka kwenye kifaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…