hatarini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Infantino Kwenye Hatarini! UEFA Yamtangaza Mpinzani Wake Mpya Kugombea Urais wa FIFA

    Mbio za Urais wa FIFA zimeingia hatua ya mwisho kabisa, na Rais wa sasa Gianni Infantino ambaye amekuwa madarakani tangu 2016, sasa anakabiliwa na upinzani mkubwa zaidi kuwahi kutokea katika kipindi chake chote cha uongozi. Leo Jumatano, Novemba 18 ni siku ya mwisho ya kuwasilisha majina ya...
  2. Inasikitisha sana kuona Afande Sele anayaweka Maisha yake hatarini..

    Anaelewa kila kinachoendelea nchini. He wants to be a hero! Binafsi siko Tayari Baya limkute.. ila linaweza likamkuta lolote. Hilo tamasha la Bongo 30, limeandaliwa makusudikaly kufuta memories na chuki ambaxo watu walishajenga dhidi ya wasanii kutokana na kuwa upande wa CCM.. Sioni sababu...
  3. Ziwa Jipe hatarini kutoweka, samaki adimu wa ‘Jipe Tilapia’ wakabiliwa na tishio la kutoweka Duniani

    Andiko la Haika Kimaro, Kilimanjaro Ziwa Jipe, lililopo mpakani mwa Tanzania na Kenya, linakabiliwa na tishio kubwa la kupoteza uhai wake wa kiikolojia kutokana na kuongezeka kwa magugu maji, kupungua kwa kina cha maji, uharibifu wa mazingira na shughuli za kibinadamu zisizozingatia misingi ya...
  4. E

    KERO: Wanafunzi wa Masters UDSM zaidi 80 hatarini kukosa mahafali ya December 2026

    1. Sisi Wanafunzi wa Masters Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Main Campus. Tunacheleweshwa kupewa matokeo yetu ya Dissertation ili tuweze ku-graduate Mahafali ya mwezi Disemba 2026. 2. Mfano Wanafunzi wa Shule kuu ya Elimu Chuoni hatujapewa matokeo yetu toka tuwasilishe dissertation mwezi...
  5. M

    Marekani Hajakurupuka ! Iran akishambuliwa huwa anajibu kwa kuzilenga Meli za Mafuta, Je, Atathubutu Kuzigusa Meli za Putin ?

    🔥 MAREKANI ANACHEZA MCHEZO GANI? IRAN ATAZIGUSA HATA MELI ZA MAFUTA ZA PUTIN? 🌍♟️ Marekani inapopambana na Iran, moja ya hatari zinazojitokeza ni Iran na washirika wake kutishia au kushambulia meli zinazohusika na usafirishaji wa mafuta katika maeneo yenye mvutano. Hali hii inapoongezeka...
  6. A

    KERO Watumiaji wa Vituo vya Mwendokasi Barabara ya Morogoro Wapo Hatarini Kugongwa Wanapovuka Barabara

    Ningependa kufikisha malalamiko kuhusu changamoto kubwa wanayokutana nayo watumiaji wa vituo vya mabasi ya mwendokasi katika njia ya Kimara, hususan wanapovuka Barabara ya Morogoro kwenda au kutoka vituoni. Baada ya upanuzi wa barabara, umbali wa kuvuka umeongezeka, lakini katika baadhi ya...
  7. Msidanganywe na misimamo inayochezwa mahakamani na jopo la majaji chini ya Ndunguru. Lissu yupo hatarini kuliko mnavyodhani

    Mmeona namna majaji wanaosikiliza kesi ya kubambikia ya Uhaini dhidi ya Tundu Lisu? Wanaendana na script ya profesaional stunt waonekane wanasimamia HAKI. Mara kadhaa wanaonekana wakikaripia upande wa mashtaka hata mashahidi wao. Lakini hakuna la maana wanalofanya. Amri zote walizotoa hakuna...
  8. Akili Mnemba (AI) yatikisa Ajira: Kazi gani ziko Hatarini?

    Kampuni zinazojihusisha na nyanja ya akili mnemba (AI) hutoa madai mapana kuhusu uwezo wa zana zao kuchukua nafasi ya nguvu kazi ya binadamu. Baadhi ya kazi zitaendeshwa kikamilifu na mifumo ya kiotomatiki, huku nyingine zikibadilishwa na kuboreshwa kwa kutumia akili mnemba. Viongozi wa...
  9. HOJA Mzee aliyedai kudhurumiwa na TANROADS asema "Maisha yangu yako hatarini, napata vitisho, nisaidieni"

    https://www.youtube.com/watch?v=srhE7f5o9d0 Mkandarasi Owden Mwalyambi wa kampuni ya Ujenzi ya Ruhama Tripple Three Junior Engineering iliyejenga barabara ya Kawajense - Ugala - Mnyamasi iliyopo mkoa wa Katavi amesema anaidai kiasi cha Tsh milioni mia nane na TANROADS na kwamba ameshazunguka...
  10. M

    Ukiwa mtumishi wa umma maisha yako yapo hatarini kwa ushirikina masaa 24 siku 365.

    Unarogwa na maadui unaofanya nao kazi kwa wivu na chuki zisizofaa kimaendeleo. Uraiani unarogwa na wananzengo ambao hata ukivaa shati na wakiona wewe una uhakika wa kura ugali dagaa wanachukia. Bado hawara na mke wako wanakuroga na kukugombania kama mpira wa kona.
  11. Mwanaume ukichepuka, mke au mpenzi akijua unajiweka hatarini

    Hizi siku mbili tatu naona kidogo niwaletee mada za mahusiano tujadili sisi watu wazima. Suala la kuchepuka kwa kawaida ni uhalifu ndiposa wanaofanya hivyo hutakiwa kufanya kwa kificho (sichochei bali nataka nitoe tahadhari kwa tafsiri yangu ya maisha niliyoshuhudia na kuona au kuhisi) Matokeo...
  12. A

    KERO Uhaba wa Ventilator: Maisha Yapo Hatarini Hospitalini, hata katika hospitali kubwa ni changamoto

    Asante. Mimi binafsi sijui hii niite kero, kitendawili au hata dudumizi ndani ya sekta ya afya nchini. Ninaandika hili si kama hadithi ya kusikia, bali kama jambo nililolipitia mwenyewe. Naamini kama mtafanyia uchunguzi wa kina, linaweza kuwa makala inayoweza kusaidia kuokoa maisha ya...
  13. O

    Uhuru wa Vyombo vya Habari hatarini: Waandishi wa Standard Media wazuiwa kwenye hafla ya Rais William Ruto

    Waandishi wa habari kutoka Standard Media Group wamezuiwa kuingia katika event ya Rais William Ruto huko Naivasha wakati wa Second National Education Conference. Kisa hiki kimeibua mjadala mkubwa kuhusu freedom of speech na haki ya wanahabari kufanya kazi yao bila vitisho au ubaguzi. Inadaiwa...
  14. Tanzania ipo hatarini. . Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa

    Ted cruz akituchongea kua kuna machafuko yakidini Tanzania Oyaaa Tanzania ipo hatarini. Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa. Mzalendo hiki sio ukweli. Ted Cruz wa Marekani ni muongo na mchonganishi. Tupambane tusichonganishwe zaidi...
  15. A

    KERO Changamoto ya Kuvuka Barabara ya Morogoro Nyakati za Asubuhi na Jioni. Madereva hawaheshimu alama za Pundamilia

    Wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao kuanzia Ubungo hadi Kimara wanakabiliwa na changamoto kubwa kila siku wanapojaribu kuvuka Barabara ya Morogoro, hasa nyakati za asubuhi na jioni. Msongamano wa magari huwa mkubwa, lakini kinachoongeza hatari ni kwamba madereva wengi hawaheshimu kabisa...
  16. O

    Meta yajiondoa, Over 1,100 Jobs ziko hatarini Wafanyakazi Sama Nairobi wapigwa na Shock!

    Wadau, hii ni noma! Kampuni ya Sama imetoa taarifa rasmi kwamba kuna mass redundancy inakuja kwa ofisi yao ya Nairobi . Sababu kubwa? Mteja wao mkubwa Meta ameamua ku-terminate contract yao. Kwa mujibu wa taarifa ya April 16, 2026, Sama walisema walijaribu ku-engage Meta ili kuokoa situation...
  17. A

    KERO Responded Afya za Wananchi Kata Nyaishozi-Karagwe zipo hatarini, wanatumia maji ya madimbwi

    Wananchi wa vitongoji vya Kikungili, Omukajiji, Rushanje na Rwandalo Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe mkoani Kagera, tunakabiliwa wanalazimika kutumia maji yasiyo safi na salama kutoka kwenye madimbwi kwa matumizi ya nyumbani, kufuatia kuharibika kwa kisima walichokuwa wakikitumia takribani...
  18. M

    Kauli ya Dkt. Dugange (Miaka 3 bila Uhamisho), Kilio cha Watumishi, Afya ya Akili na Ndoa zilizo Hatarini. Nini Kifanyike?

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange, ametoa agizo kuwa waajiriwa wote wapya wa Serikali lazima wafanye kazi kituo kimoja kwa muda usiopungua miaka mitatu (3) kabla ya kuruhusiwa kuomba uhamisho, isipokuwa kwa changamoto za kiafya zilizothibitishwa na jopo la...
  19. Benki ya Dunia yaidhinisha Tsh. Trilioni 1.422 kwa ajili ya Tanzania ili kuimarisha ajira na kusaidia kaya zilizo hatarini

    Benki ya Dunia imejitolea kutoa kiasi cha dola milioni 550 kusaidia jitihada za upatikanaji wa ajira na usaidizi wa kijamii nchini Tanzania. Benki ya Dunia imemidhinisha ufadhili mpya wa dola milioni 550 kwa ajili ya Tanzania, ukilenga kutengeneza fursa za ajira na kusaidia kaya zenye uhitaji...
  20. O

    Serikali Yashitakiwa! Billions Ziko Hatarini as Katiba Institute Storms Court

    Katiba Institute imeenda kwa Milimani High Court kujaribu kusimamisha utekelezaji wa National Infrastructure Fund Act, 2026, ikisema sheria hiyo ni unconstitutional. Petitioners wanataka court itoe conservatory orders kuzuia serikali kuimplement Act na pia kusitisha kupeleka pesa za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…