hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtu umetenguliwa hata mwezi haujapita ushaanza kukesha kwenye page za CHADEMA ndugu yangu cool down

    Ukitenguliwa tulia, jitafakari ulikosea wapi, usisahau kuwashukru waliokuamini wakakuteua, jiulize wewe ni nani mpaka Mh. RAIS akakuteua kwenye nchi yenye watu mil.60+, mshukru Mungu, toa sadaka ya pekee kwa Mungu wako acha kutapatapa mitandaoni wewe tayr ni sehemu ya national figure...
  2. Lisu anaenda kuozea Jela kisa kupigania Democrasia kwa watu wasio jitambua, Bora angepigania hata haki za Tembo kuishi

    Lisu yuko kwenye Wrong National akipigania watu very wrong na sina hakika kama Lisu hilo analitambua ama la. Ona sasa anaenda kuozea jela na maisha mataani yanaendelea, Wanao piganiwa hawana habari kabisa, life inaendelea na mbaya zaidi ni kama hakuna kilicho tokea, Lisu namlaumu sana, namlaumu...
  3. Angalia Nyumba Hussein Mwinyi kawajengea Wazanzibari, lakini Samia Suluhu kashindwa kuijengea Tanganyika japo Banda la kuku

    Ndani ya Mwaka Mmoja, Angalia Nyumba Hussein Mwinyi kawajengea Wazanzibari, lakini Samia Suluhu kashindwa kuijenga hata Banda la kuku Tanganyika. Samia Suluhu ungozi wake utakumbukwa kwa Utekaji, Mauaji kubambikia Watanganyika kesi. Kwenye uongozi wake, Watanganyika wengi wamefunguliwa kesi za...
  4. M

    Kosa la kuruhusu kuficha majina ya asili ya kiafrika limewapa wahamiaji nafasi kubwa ya kupenya serikalini, jeshini, utawala na hata kuwa majasusi

    Utaratibu wa kubadilisha majina kuwa ya kigeni ni tishio kubwa kwa usalama wa taifa. Kurasimisha mifumo ya majina ya Magharibi au Kiarabu, kama vile George Jackson David Aisha Muhammad Nurdin Uhuru Baraka Amani Judith Christopher Benard Salehe Abdul Ally kunafuta utambulisho wa asili na...
  5. M

    Umma wa Mtume wetu, Hata la Ushoga halitufanyi kukemea uongozi wa mwenzetu?

    Nafahamu, Yapo mambo mengi ambayo wenzetu huungana kuyakemea na au kuyatetea kwa nguvu zao zote ambayo mengine mengi ni kwa manufaa ya umma wote wa Watanzania bila kujali itikado zao Suala hili la ushoga kuenea kwa Kasi na kujitangaza kwa waziwazi mitandaoni limeanza kwenye utawala huu wa...
  6. Hata dunia yote ingepiga kura Trump angeshindwa pia.

    Dunia nzima inalipia gharama ya vita walivyovianzisha Trump na Netanyahu dhidi ya Iran. Gharama za maisha zimepanda duniani kote kwaajili ya Trump kumlinda Netanyahu na bahati nziri watote wamepata pigo kwenye chaguzi zao za hivi karibuni; wameshindwa kupata wingi wa wabunge na masenata. Mungu...
  7. Video: Kwa nini shilingi inaweza kushuka hata mapato ya mauzo ya nje yanapoongezeka?

    https://youtu.be/3AfHjKilsoU Fikiria mfanyabiashara anayehitaji dola 1,000 kulipia bidhaa kutoka nje. Kwa kiwango cha Sh 2,460 kwa dola, anahitaji Sh 2,460,000. Kiwango kikibadilika kuwa Sh 2,641, atahitaji Sh 2,641,000. Hiyo ni Sh 181,000 zaidi kwa bidhaa zilezile, hata kama muuzaji hajaongeza...
  8. M

    Ehhh hata leo sina kazi

    Ehhh, hata leo sina kazi, sina hata nafasi, Nimezunguka mjini, natafuta mafanikio na nafasi, CV zangu zimejaa, lakini majibu hayaji, Kila nikifungua simu, ni madeni yanayokuja wazi. Ehhh, hata leo sina kazi, maisha yamenibana, Mwenye nyumba anadai, sina pa kujificha tena, Mama anataka hela...
  9. G

    Wanawake wengi wenye magari wasio na biashara ni Malaya Grade one hata kama ni mke wa mtu fuatilia Kwa makini

    Wanawake ni watu wachungu sana kwenye kituo Hela za matumizi hata Kwa mambo yanayowahusu wao wenyewe. Hivyo ni vigumu sana kugharamia gari mafuta na maintenance za mara Kwa mara . Mshahara wake wa laki Tano umwambie atoe laki tatu Kwa ajili maintainance na mafuta ya gari ni ngumu sana Wakati...
  10. Hii Simba SC hata ukitangulia goal 4 lazima upigwe TU kila GoTi litapigwa

    Simba Bingwa 😀
  11. Kimsingi Godbless Lema hana ushawishi, hata apumzike yeye na Mbowe wahame wote Vijana hawawategemei

    Hamjambo wote! Lema anahaki ya kuongea atakachoongea. Kulingana na maoni yake yanayoendeshwa na uelewa wake, maslahi yake na na muono wake. Hiyo ni haki yake. Lakini Lema atafanya Kosa la kiufundi ikiwa atadhani anaushawishi ndani ya CHADEMA. Huo ushawishi hana. LEMA ajue Chadema ndio...
  12. Hilda huyu jamani! Hata Mnyika na Nshala hawana map^mbu? Ukimya wa Heche ni sawa na "silence means YES"

    Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu. Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa...
  13. C

    Hata "britanicca" ni mwanamtandao

    Habari wana JF, Ule unaoitwa mtandao, una kila sampuli ya memba/watu. Wapo kila mahali. Ndio maana wanafanikiwa. Wamo ndani ya vyama vya siasa vyote, wamo JF, IG, X, Fb, TikTok, threads, n.k. Wapo bongo, wapo diaspora. Ni kama team ya mpira, kuna goalkeepers, defenders, midfielders, attackers...
  14. Hata Mradi wa SGR unatushinda kweli Kuendesha?

    Wakuu, Mradi wa SGR Upande wa Ticketing ni kama tumefeli hivi, Website ya SGR ni Iko down tangu Jana na muda wote train kwa ordinary seats zimejaa zipo Zile za Bei Tu, Juzi kuna Mbunge ame raise concern kuhusu issue hio na Kuhoji kama kuna Hujuma zinaendelea Kwenye Mradi Huo lakini Majibu...
  15. N

    Tufanye nini kama taifa ili vijana wetu wawe na moyo wa kujitolea (kufanya jambo hata kama hatolipwa pesa) ndani ya jamii??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Just imagine gari yako imekwama kwenye mchanga maeneo ya Mbagala Chamazi kisha vijana watatu (3) wanakusaidia kuisukuma mpaka inafanikiwa kutoka. Baada ya hapo, badala ya vijana kusema "kaka tunakutakia safari njema" wao wanasema "kaka tuachie hata ya soda basi" Au...
  16. Watu wanne kwenye maisha yako kamwe hutakiwi kuwaamini hata kidogo

    WATU WANNE KWENYE MAISHA YAKO KAMWE HUTAKIWI KUWAAMINI HATA KIDOGO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Leo sina kelele sana. Nimechoka na vijana wanaonisumbua kwenye biashara. Hata hivyo haya hayawahusu. Watu ambao hutakiwi kuwaamini hata kidogo; 1. Wanasiasa. Hawa ndio vinara. Hawa aiseeh...
  17. F

    PostGE2025 Majeruhi wengi wa Oktoba 29, 2025 waliopelekwa hospitali za Wakatoliki wapo hai, tusirudie makosa

    Hili liwe fundisho, Ukijeruhiwa Kwa dhulma za hawa vibaka wanaojiita walinda amani, kamwe usiende au usipeleke ndugu yako hospitali hizi wanazodai zao, Siku Ile mbaya, ndugu zetu wengi walipojeruhiwa, tulipowafikisha hospitali hizo, tuliamini watakuwa salama, cha kusikitisha hata miili Yao...
  18. Q

    Raia Namba 1 hata kusema poleni Watanzania tuanze ukurasa mpya, hakuna!

    Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kuanza ukurasa mpya kupitia haya maadhimisho kuelekea Maridhiano ya Kitaifa lakini kashindwa kuitumia hii fursa. Watu mbalimbali, mashirika mengi na nchi nyingi duniani zimeungana na Watanzania kuwaenzi watu walioathirika na kupoteza maisha siku hiyo zikiwemo...
  19. M

    Kuna ukweli kiasi gani Zanzibar inasuka mpango wa muda mrefu wa kuendelea kushika mamlaka hata Rais ajae akija kutokea Tanganyika?

    Kuna ukweli kiasi gani katika madai kwamba Zanzibar inaweka mfumo wa kisiasa na kiutawala ndani ya Tanganyika unaoweza kuiwezesha kuendelea kushikilia mamlaka kwa miongo kadhaa ijayo, hata pale ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakapokuwa anatoka Tanganyika? Je, huu ni mkakati wa...
  20. PostGE2025 Sharpeville Massacre vs. Okt 29 Massacre, hata makaburu hawakuua kama sisi!

    Nikiwa sekondari, vijana tulikuwa tunaadhimisha na kulaani mauaji ya waafrika kule Afrika Kusini. Katika kitongoji cha Sharpeville, mwaka 1960 waliuwawa waafrika 69, na hata Nyerere alilaani mauaji hayo kwa miaka mingi baadaye. Sasa leo, rais anayependwa na wanananchi kwa 98%, serikali yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…