hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. Prof. Abdallah Safari: Kiswahili sio lugha Taifa kwa mujibu wa sheria, tunatumia kimazoea tu

    prof. Abdallah Safari ambae ni Profesa wa sheria na muandishi nguli wa vitabu ambae amewahi kuandika vitabu kama vile riwaya ya Joka la Mdimu katika mahojiano yake ameeleza kuwa lugha ya kiswahili sio lugha ya taifa bali tunaitumia tu kimazoea akirejelea kuwa katiba haina kifungu kinachobainisha...
  2. Askofu Josephat Gwajima: Mlipaswa kunisikiliza. Hata hivyo itakuwa vilevile kama nlivyowaeleza...!

    https://youtu.be/4ZAYXzEBXt8?si=izBx2goyWhBTHUYH RV Mahuburi ya Askofu Josephat Gwajima Jana katika mkesha wa mwaka mpya kanisa GCTC - UFUFUO NA UZIMA yalikuwa too philosophical, indirectly yakiwalenga watesi wake - CCM, Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake... Soma pia PreGE2025 - Askofu...
  3. S

    Tatizo ni kwamba, baada ya mauaji ya Oktoba 2025, hata muongee maneno mazuri kiasi gani, ICC ya The Hague inawasubiri!

    Nadhani kuna watu wanafikiri wakiongea maneno matamu matamu basi watu wa ICC kule The Hague watasahau amri za kuua walizotoa na mauaji ya kutisha ya Oktoba 2025. Hakuna kitu kama hicho. Anzeni kujipanga kwenda kwenye kesi, na hata kutangaziwa International Arrest Warrants. Ushahidi upo wa wazi...
  4. 2025 ilkuwa mwaka mbaya kuliko hata ule wa wakoloni

    Mwaka uliopita, Watu walitekwa Waliteswa Walipotezwa Walinyanyaswa Waliuawa Walitishwa Walidhalilishwa Walichekwa Walikosa na kupoteza matumaini Waliibiwa fedha, mali, na raslimali hata kura Nchi ilinajisiwa kiasi cha sifa yake kutoweka Ni mwaka wa mikosi na mateso hakuna mfano Watanzania...
  5. Hatuba ya Rais mwisho wa mwaka 2025 haina mvuto, anarudia rudia ya siku zote, hakuna creativity

    Wala salama. Za mwaka mpya sio mda wake . Bi msumi wala asingejichosha kuongea maana sijaona la.maana Zaidi ya kutukumbusha machungu ya October 29,30 and 31 October. Eti tume ya maridhiano. Umeharibu nchi ,alafu unataka kuridhiana ,swali dogo ulikuwa hujui unachofanya kwamba huko unakoelekea...
  6. N

    Kuna hawa washenzi wanaobeza hata pongezi ya Taifa Stars

    1. Aisee leo nimeshangaa sana tumefuzu kwa shida shida hivyo hivyo kuingia 16 bora bado kuna watanzania wenzetu bado wanakejeli na hawa hawa ndo tunataka wawe wanaonewa huruma wakifinywa , Wengi wanatoa sababu eti maji hakuna mara hiki hakuna , sawa kweli nchi inaweza ikawa inashughughulikia...
  7. Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa

    Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa. Hii inaenda kuandika historia tofauti Tanzania kuna watu hawatakuwa wastaafu kwa mauwaji waliyo yafanya ni wahalifu na magaidi hatutawaacha.
  8. Si Kila mtu anaweza kupiga kura za tuzo za kimataifa Sheria na vigezo huzingatiwa, mbona hata vichaa wangepiga kura

    Hizo tuzo za kidunia hizi Tunazozijua zinataratibu zake za jinzi ya kupiga kura, na watu wenye sifa za kupiga kura huwa wanaainishwa kwenye website ya tuzo husika, na ili kupiga kura lazima uwe verified kabisa na upigaji wa kura Huwa unakuwa na ratiba ambayo wanatumiwa wenye sifa tu (voting...
  9. K

    PostGE2025 Tatizo la Tanzania: Samia hataheshimiwa baada ya kuiba kura kijinga!

    Uongozi wa Samia hautakuwa kama miaka iliyopita na tusahau mambo kurudi kama zamani. Samia amepoteza heshima kwa chama chake, nchi yake na wananchi wake. Nani atamweshimu mtu fake! Yaani ni sawa na kufanyiwa operation na Dr ambaye amefeli mitihani yote na kutegemea utakuwa salama! Tukubali tu...
  10. PostGE2025 Sidhani kama kuna Mtanzania ambae aliumizwa atawasamehe askari Polisi. Ipo siku hata misiba yao watajizika wao peke yao

    Hakuna mtu anayepinga kuwa kulitokea uhalifu kipindi watu wanaukataa utawala wa Rais Samia ile oktoba 29. Lakini swali la msingi je hawa wahalifu walikuwa na siraha za kivita? Shoot to kill ikatokea na watu wengi wakapoteza maisha. Polisi wamechukiwa na wameonekana hawana mioyo ya kibinadamu...
  11. Maisha hata hayanogi tena,jamiiforum hainogi tena imepoa tuliwaambia nchi inahitaji kiongozi wakuchilimua kama JPM.

    Enzi za awamu ya tano mambo yalikuwa mchakamchaka kila siku unapata sababu ya kuishi ila siku hizi kumepoa sana hakuna wa kuchangamsha maisha, hakuna ziara za kushtukiza wala kutumbua majipu ni kama tunajilazimisha kuishi tu siku ziende.Mpaka topic za kuanzisha thread mtu unakosa. Nikiingia...
  12. Ushirikiano baina ya wakristo na waislamu ni muhimu kuliko hata vyama vya siasa

    Ni bora pasiwepo na vyama vya siasa lakini ukawapo ushirikiano wa dhati baina ya waislamu na wakristo kwani kila siku,tunashirikiana kwenye mambo mengi mno.Angalia baadhi ya mambo tunayoshirikiana japo kwa uchache: 1.Kuzikana 2.Kusafiri pamoja 3.Kufanya biashara 4.Kufanya ngono 5.Kucheza michezo...
  13. Kuna ka ukweli fulani: Wazazi wenza hata kama mmoja kafa bado mzazi mwenzake

    Mtu ambaye ashakuwa na mzazi mwenzake tambua bado wapo pamoja maana anayewaunganisha ni mtoto. Angalia hapa
  14. Ishowspeed ana miaka 20 anazunguka dunia nzima wewe una 35 hata nauli ya chalinze huna

    Hii ni aibu dogo ana 20 anazunguka duniani na Africa wewe una 36 hata nauli ya morogoro huna
  15. At least naonaga posts za wazungu huko X hata kama ni consipracy ila ina mashiko, ila humu mtu ana post vitu kuntu ukimchallenge kidg anaishia kukutus

    Ukiwa challenged haimanishi mtu amedharau tafakuri yako, lakini namna unavyo react ndivyo inavyo prove ukomavu wa fikra yako. FACTS NO FEELINGS
  16. Nchi ya haiti,polisi ndio chanzo hata ukipeleka jeshi itakuwa ngumu.

    Polisi wa kenya baada kurudi nyumbani kutoka haiti wanakwambia polisi walikosa uhaminifu ile nchi sababu ni wao. sasa wamefikia hatua kuwaua mpaka na familia zao nili nukuu BBC makala hipo. Jeshi la polisi tanzania kumbukeni mna familia na ukoo je mnavyo shindwa kuzibiti na kufanya haya kisa...
  17. Mataa ya daraja la furahisha yalikufa na Magufuli, je kigamboni Bado yanawaka? Hata kama hampendi magu, HACHENI hizo.

    Nimefika mwanza siku ya NNE sioni taa za daraja la furahisha je zilikufa na Magufuli? Je kigamboni Bado zinawaka? Hata kama hampendi magu tunzeni vitu vyake viwe kama alivyovijnga
  18. Kumbe hata "mashehe' wako kwenye biblia

    Nehemia 4:14 Nikatazama, nikaondoka, nikawaambia wakuu, na mashehe, na watu wengine waliobaki, Msiwaogope; mkumbukeni Bwana, aliye mkuu mwenye kuogofya, mkawapiganie ndugu zenu, na wana wenu, na binti zenu, na wake zenu, na nyumba zenu.
  19. Paul Makonda kuiongoza Taifa Stars AFCON 2025 nchini Morocco

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ndiye ataongoza msafara wa Tanzania katika Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Morocco kuanzia Desemba 21, mwaka huu hadi Januari 18, mwakani. Hilo limethibitishwa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
  20. Hizi ndio akili za wananchi wanaotaka mabadiliko?

    Hapo si kujichotea tuu aisee, ni kama tuu shamba la urithi ukiishiwa unakata kipande 20*20 unauza, ndugu hawana noma.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…