hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. Hata kama nikipata hela hawa mademu mastaa (wanajiita pisi) sitaki hata wazijue contacts zangu

    Yaani sijui ni mitandao na zile filter za apps.ndo zinawapa kiburi na kujiona wazuri, wajanja, watamu, matajiri. Sasa ukikutana nao show show duh, utabaki upaliwe mate kwa kucheka na mshangao....wapo kawaida hatari...ninavosema KAWAIDA naomba nieleweke vizuri..yaani wapo KAWA IDA...kiasi kwamba...
  2. Kenya ni hatari kwa kupiga pesa. Hata Wazungu wanatutambua

    Hii nchi ndogo ya Kenya inaogopwa hata na Wazungu. Wakenya kwa kutafuta pesa ni hatari sana. Sasa wanafunzi lazy wa Marekani ambao hawataki kufanya homework huwa wanatuma homework huku Kenya ili vijana wa Kenya wawasaidie kufanya homework yao. Hata mitihani pia Wakenya wanafanya kwa niaba ya...
  3. Z

    Hanipakulii chakula anataka niende jikoni mwenyewe lakini shemeji yake anamjali

    Mke wangu kaanza tabia nikitoka kazini ananiambia nikajipakulie jikoni. Muda huo anamjali sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nikienda kumpa hi mdogo wangu nakuta msosi wa kutosha.
  4. B

    Corona: Bila Barakoa Dar, Hupandi hata Daladala

    Taratibu tunasonga na uelekeo huu si mbaya. Bila barakoa tusionane kwenye usafiri wa umma yaani mabasi zikiwamo dala dala na ferry. Tusionane pia sokoni wala popote penye mikusanyiko. Hili si ombi bali rasmi ni lazima. ----- My take: Ugonjwa huu ni hatari. Hatua hizi ni muafaka pole pole...
  5. Bila Rais kuwepo uwanjani Simba haiwezi kuipiku Yanga hata ikishinda mechi.

    Sijasikia kama na Rais wetu ndiye atakuwa tena mgeni RASMI fainali ya FA Kigoma. Simba ilifungwa mbele ya mkuu wa nchi ambae hatakuwepo kwenye mechi Kigoma. Hii Itayafanya maumivu ya kufungwa yasiwe makubwa sana kama ya tarehe 3 July. Sijui kama hili wanalifikiria
  6. A

    Niliacha chuo mwaka wa tatu, je naweza kupata hata cheti?

    Niliacha chuo kikuu mwaka wa tatu kozi yenye miaka minne.Je kuna uwezekano nikapata hata cheti kwa miaka hiyo mitatu?
  7. Wananchi tumekuwa tukiingilia Uhuru wa Mahakama, tubadilike

    Kumekuwa na tabia kwa wananchi kusema katika mihimili ya serikali, kuna muhimili mmoja huwa unaingilia mamlaka za mihimili nyingine. Mihimili inayotambulika hadi sasa ni Serikali Kuu(Executive), Bunge na Mahakama. Lakini kwa kiasi kikubwa wananchi wamekuwa wakiingilia uhuru wa mahakama mara kwa...
  8. T

    Thobias Andegenye: Mechi ya Simba vs Yanga wote wavae barakoa, hata uwanja ukifurika

    Mashabiki elfu 17 pekee ndio wataruhusiwa kuingia ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma, kushuhudia mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga siku ya Jumapili. Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema wamepunguza idadi ya mashabiki kuingia ndani ya uwanja ili kuthibiti...
  9. Ujenzi wa miji na majiji bora: Tufanye nini kuboresha majiji yetu hapa Tanzania?

    Habari zenu wanaJF na wadau wa jukwaa la ujenzi. Nimesoma mada nyingi humu kuhusu ujenzi wa makazi. Makazi yakizidi tunajikuta na miji na hatimaye majiji. Kama ilivyo kwa nyumba abayo ikipangiliwa vibaya 'livability' yake inakuwa ngumu, basi miji na majiji ni hivyo hivyo. Kama mkazi wa Dar na...
  10. Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

    Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi...
  11. S

    Power Tiller GT Shakti 880 hata mwezi bado ila tayari imevunjika diff

    POWER TILLER GT SHAKTI 880 hp 13 Diesel Usithubutu kununua haka ka Power Tiller nimekanunua majuzi tu sh 2,200,000 HP 13 Diesel tayari kamevunja diff, na spare hawana Naombeni msaada wa kupata hiyo Tube Housing ya Differential
  12. S

    Mapolisi msiikumbatie CCM, fuateni sheria na weledi mliofundishwa -Wananchi watawaelewa hata mkifukuzwa kazi

    Polisi muache kujipitisha kwa kuikumbatia CCM hata mnafika kuvunja sheria ,mkae mkijua kikinuka Miccm haitawasaidia kitu na watakaa mbali sana na nyinyi,mnamuona Sabaya? Mnawaona wale mapolisi ambao miezi michache walitesa watu kule Zanzibar na kuwagaragaza ,waliokuwa wakilindwa (CCM) wote...
  13. Hata kama unatumika, basi tumia akili unapotumika

    Watu walio karibu na huyu mchambuzi uchwara wamshauri zaidi,atumike akiwa anatumia akili na kunena kweli. Haiwezekani watu wakutumie kwa vyovyote. Maana hata kuna malaya unaweza kuchukua lakini akawa akakupa angalizo humruki ukuta. Huyu manamba wa GSM anamezesha watu uongo Simba Sc hajawahi...
  14. T

    CCM ifanye nini ili hata isipoondoka madarakani iwe ni sawa tu?

    Kuna kila dalili kwamba CCM itaendelea kututawala watanzania kwa namna yoyote kwa miaka mingi ijayo, na ukizingatia kwamba mtaani njaa ni kali sana. Hata kama ingekua ni wewe ndugu yangu, katika mazingira kama ya Tanzania ambapo chama tawala kinahodhi kila kitu serikalini, ungeacha kutumia...
  15. Wababa wanalalamika sana kutengwa na watoto wao kimawasliano hata kiuchumi. Je, shida ni nini? Wamama mnaliongeleaje hili? Watoto mnafanya haya kweli?

    Kumekua na malalamiko mengi kwenye jamii za kitanzania na kiafrika kwa ujumla mara watoto wanapokua na kuanza kujitegemea na umri wa wazazi kusogea, wototo huwa wanakua karibu na mama zao zaidi ya baba zao. Wababa wengi huumizwa na jambo hili na kujiona kutengwa na watoto wao baada ya watoto...
  16. Hata wana CCM tunashituka: Katiba ya kuwapa viongozi immunity!

    Ni wazi sasa hivi kwamba Katiba imekuwa ikifanyiwa maraekebisho ya mara kwa mara, kwa convenience ya watu na siyo manufaa ya moja kwa moja ya nchi. Serikali ilipitisha miswaada na kupitisha Bungeni merekebisho ya Katiba hivi karibuni ili viongozi wa juu kabisa akiwemo Rais, Makamu wa Rais...
  17. Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

    Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45. Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa...
  18. Sheria haiwezi leta haki hata kidogo: Mtu kakiri kuua lakini mahakama Kenya yamuona hana hatia

    Serial Killer Acquitted: Phillip Onyancha, who confessed to killing 17 people in 2010, has been acquitted of a murder charge by High Court. Onyancha led police to different towns where he committed heinous acts, decomposing bodies were found. -- A suspected serial killer facing three murder...
  19. J

    Warioba: Wananchi tunaowaita Wanyonge ndio wenye nchi, Katiba ni kipaumbele hata kwenye marekebisho Bungeni

    Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Katiba mpya Jaji Warioba amesema wananchi hawa wanaoitwa " Wanyonge" ndio wenye nchi. Warioba amesema Rais Samia amesimama imara kwenye utendaji wake baada ya kifo cha hayati Magufuli na amekubali kushughulikia suala la katiba mpya. Jaji Warioba amesema kuna...
  20. CCM msipumbazike na kula, kunywa na kushiba hata mkalewa msioone hatari iliyoko mbele yenu

    Nimetoa mada "Rais Samia Suluhu Hassan, alama ya mwisho ya anguko la utawala wa siasa za CCM Tanzania...." Wengi hawajanielewa na kusema it's a delusional.... Dunia hii ina historia pevu sana inayoweza kutufundisha na kutujuza tulikotoka. Tunaweza kutumia matukio yaliyopita (historia) ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…