hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Tatizo siyo Ndugai kumkosoa mama hata Nancy Pelosi, Spika wa US alichana hotuba ya Trump mbele yake. Tumeanza kukopa juzi na jana Ndugai akiwa Spika

    Ukubwa wa deni haujaanza leo, Spika hajaanza kuwa Spika awamu hii leo, Madeni ya serikali yapo hata katika bunge la leo, malipo ya hovyo yanafanyila hata katika bunge la leo. Kwa nini Spika akemee leo?
  2. B

    Spika wa hawezi kuishtakiwa mahakamani, hata akimtukana au kumwondoa Rais kinga itamlinda?

    Kwa kuwa Spika ashtakiwi, akitaka kumwondoa Rais aliyepo madarakani aidha kupitia Bunge au kupitia mbinu chafu zozote akabainika atafanywa nini?
  3. S

    Wanasiasa ambao Mama hawezi kuwafukuza, wanafunguka, anaoweza kuwafukuza wako kimya, na hata hawamtetei wala kummunga mkono?Unagundua nini?

    Hilo ndio swali ambalo kila mwenye kufikiri sawa sawa anapaswa kujiuliza. Ninachokoona mini ni kuwa, Mama ni kama yuko peke yake na ndio maana hata wasaidizi wake (wateule wake), hawatoki hadharani kupambana na kina Polepole na sasa Ndugai. Hawajitokezi kumtetea, wala kuwapinga wanaompinga...
  4. F

    Legacy ya Magufuli Haiwezi Kufutika kwa Siasa Uchwara

    Haya ni maoni yangu na mtu yeyote halazimishwi kuyapokea. Sihitaji kurudia mazuri ya Magufuli. Tunajua alikuwa Rais wa watu aliyeongoza kwa ajili ya watu wa chini kabisa. Wazalendo wa Nchi hii hatuwezi kubabaishwa na kelele za wachache waliomchukia kwa sababu tunazozijua (e.g. u-puppet...
  5. Hata Hayati Magufuli alinusurika kuuawa mara kadhaa wahuni si watu

    Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa. Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI. Tuungane kukemea wahuni.
  6. S

    Karma: Ipo siku Mama atakuja shuhudia mwanae, mjukuu au hata Mwenza wake akienda Jela au Mahabusu

    Kwasababu malipo ni hapa hapa duniani, basi hilo litakuja kutimia huku Mama akishuhudia na wakati huo akiwa hana tena Mamlaka na nguvu alizonazo leo hii. Kama si Mama, basi ni wale walio nyuma ya dhambi hii kwa kutumia nafasi zao. Ukweli ambao wengi hamkuwahi hata kuufikiri ni kuwa, bora watu...
  7. S

    Kumlipa Clinical Officer laki 6 sio haki hata kidogo

    Clinical officers wanafanya kazi kubwa sana kunusuru Maisha ya watu, kumlipa laki 6 ambayo ni sawa na Tsh elfu 20 kwa siku tena hapo bado makato sio haki hata kidogo. Tukianza na sekondari, huyu alilipa ada kubwa tofauti na wanafunzi wengine wanaosoma michepuo ya biashara na sanaa. Pia...
  8. S

    Mwaka sasa unaisha lakini Serikali haijamalizia hata mradi mkubwa mmoja

    Kwa uchunguzi wangu miradi mingi ya ujenzi ya serkali iko nyuma sana tokea utawala huu wa mama Samia uingie! Natoa mifano ifatayo! Ujenzi wa barabara ya Kumara mpaka kibaha ulikuwa umekamilika kwa zaidi ya asilimia 94 lakini mpaka sasa hakuna umaliziaji wa barabara hiyo. Ujenziwa daraja...
  9. Nashauri Rais Samia apate mapumziko, amefanya kazi kubwa sana, tangu mwezi march hajapumzika

    Afya ya Rais ni muhimu. Kazi ya Urais ni ngumu, kiongozi wa nchi halali isipokuwa masaa mchahe sana, wakati mwingine analala akiwa safarini, wakati wote kiongozi anapokea taarifa mpya kutoka ndania na nje ya nchi, Wakati wote atatakiwa kutatua changamoto au kutoa maelekezo, yamkini asipate muda...
  10. M

    Jinsi ya kupakua tamthilia za ki-Mexico, ki-Brazil na hata ki-Filipino

    Habarini wana jamvi Kwa anayefahamu sana sana tamthilia za ki mexico na za wa brazil jinsi ya kuzi download anifahamishe
  11. Prof JOYCE NDALICHAKO haya yakufikie hata kama yatakuuma, lakini ndio ukweli wenyewe

    Nakusalimu kwa jina la jamuhuri. Katika hali ambayo ni ya kawaida, umezuka mjadala juu ya uwezo wako wa kujieleza kwa kutumia lugha ambayo kwa asilimia 90 ndio iliyokutunuku kiwango cha elimu ulicho nacho (prof) na watanzania wengi wameenda mbali na kusema kuwa elimu yako ni ya ubabaishaji...
  12. Kenya yazindua eneo la kupaki meli, ambalo ndio eneo kubwa kuzidi yote Kusini mwa jangwa la Sahara, tumewazidi hata SA

    Inawezekana isiwe rahisi kumeza, ila ndio ukwel wenyewe................. Kenya has unveiled a modern shipyard at the Mtongwe Navy base in Mombasa, making her the first country in sub-Saharan Africa with such a facility. Kenya Shipyards Ltd (KSL) has the capacity to handle vessels of more than...
  13. HATA DIAMOND KASHINDWA KUFIKISHA VIEWS MILION NDANI YA SIKU!! MABANDO YATAZIKA UMAARUFU WA SANAA YETU AFRICA.

    Mods tafadhalini msiwe mnaunganisha uganisha thread zetu kwenye nyuzi za zamani, Kiutani utani sanaa yetu naenda kufutika katika ramani ya Africa, Sanaa yetu ya muziki ilikuwa inapaa kwa kasi ila kwa sasa haya mabando yamekata mbawa. Hata hizo tuzo za bet, views zilikuwa na nafasi yake kumpa...
  14. Hata kabla ya taifa letu kupata uhuru mikutano ya kisiasa haijawahi kuzuia watu kufanya kazi. CCM isipotoshe na kutuoenea wapinzani.

    Upinzani ni kioo cha jamii maana hukosoa na kuwaambia watawala makosa wanayofanya. Upinzani kufanya mikutano ya kisiasa na kueleza sera na mikakati ya kukamata dola sio sababu ya kuzuia wananchi kufanya kazi zao. Mbona hata kabla hatujapata uhuru TANU ilikuwa inafanya mikutano ya hadhara na...
  15. Hata mfurahie madhila yaliyompata Polepole, Watanzania wenye nia njema na Taifa hili wapo pamoja nae

    Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi. Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya...
  16. S

    Mnaoidharau TMA someni hapa, ndio mjue bila TMA, hata ujio wa ndege za kimataifa ungekuwa wa mashaka na hata Watalii kuwapata ingekuwa mtihani

    Nimesoma thread moja hapa JamiiForums watu wanaiponda TM. Nachowaambia hawa watu waachei kudhrau kazi za watu bila kufanya utafiti wa kutosha. Tambueni, mbali na huduma zingine, unaporuka na kutua salama kwa ndege hapa nchini, TMA inahusika pakubwa. Soma hii: Habari Imewekwa: Jan, 16 2021...
  17. L

    Wanairaimba: Dkt. Mwigulu hatununuliagi hata pombe

    Baada ya kuwa Mwanza kwa takriban miezi mitatu, juma lililopita nikarejea na kuamua kukusanya ndengu Jimbo la Iramba na hivyo kunilazimu kutembelea vijiji ambavyo wanalima ndengu. Ndengu ni mojawapo ya zao tunalolima sana Iramba, ukiacha alzeti na zamani vitunguu. Katika pitapita zangu huko...
  18. S

    Zitto: Hata kesi ya Mbowe ni jumba bovu kwa awamu ya 6. IFUTWE!

  19. Comrades, msiwe na wasi Bandari ya Bagamoyo haitajengwa hata kama Serikali ikitaka hivyo

    Huo ndio ukweli comrades, ni kama tu Mji wa Kigamboni na USA, hata Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na sababu ni KUU ni Moja, hakuna PESA za huo mradi, China hawafund tena miradi mikubwa kama hiyo kwa sababu wana economic crisis inakuja. Hivyo comrades, tulieni hakuna kitakachofanyika, wataweka...
  20. A

    Hata mkague mabegi hamtakuta tena ARV’s, kuna sindano siku hizi

    Maendeleo ya tiba ni kuwa unaweza kuchomwa sindano itakayo dhibiti wadudu humo mwilini na huhitaji kubugia yale madonge kila siku. Taarifa hii imetolewa rasmi siku ya lile gonjwa 01/12/ ya kila mwaka. Maendeleo haya yako kule wanakotutumia ARV’s kwa msaada.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…