hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Hata mbuyu ulianza kama mchicha

    Bora niitwe baba mwenye nyumba na baba mwenye gari kwa kuanza kujenga chumba kimoja.
  2. YouTube Hali ni Mbaya! Viewers kwa Wasanii Zimeshuka Kinoma

    TUNAFAHAMU kwamba katika ukanda wa Afrika, nchi ya Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kuwa na bei rahisi za mabando ya simu kuliko nchi yoyote hapa Afrika (Sub Saharan). Jambo hili liligeuka kuwa silaha kwa tasnia yetu ya muziki wa Bongo Fleva katika sura ya Bara la Afrika, ilikuwa rahisi...
  3. S

    Ndege ya Rais haifai hata kwa safari za humu ndani ya nchi?

    Nimeshangaa sana kuona Mama katua Dodoma leo na mojawapo ya zile ndege kubwa (Airbus) za ATCL badala ya kutumia ndege maalalumu ya Raisi(5H-ONE) ambayo ilikuwa ni lazima inunuliwe hata kama watanzania tungekula majani. Swali ni je, ndege ile haifai tena kwa safari za Raisi hata za humu nchini...
  4. Tungeamua Kutumia akili hata Kidogo...

    Hawa Ma PhD holders/ Ma Prof wangebakizwa Vyuoni. Wangelipwa vizuri huko na wangetumika kama wataalamu. Wangeweza kuandika mapendekezo mbalimbali ya kitaalamu na Serikali ikawa na utaratibu wa kuyatumia na yanapofanikiwa wanapewa malipo mazuri. Wangeendelea kufundisha vijana na kuwalea wengine...
  5. Mlitaka kumuacha Sako, kwa maoni yangu hata kumuacha Duncan Nyoni mmekurupuka

    Zilitoka taarifa kuwa kuna hatihati ya kumuacha Papi Sako na wengine kadhaa, hatimaye tukaona ameachwa Duncan Nyoni. Sioni kama Uongozi na benchi la ufundi Simba wamefanya uamuzi mzuri. Kwa muda mfupi aliopata nafasi Nyoni nimeona ameonesha kitu ambacho alihitaji muda zaidi wa kuonesha kile...
  6. Ukweli umefahamika kuhusiana na huyu Mchezaji wa Simba. Watu wasiri sana, hata hamsemi?

    Ni Mtanzania mwenye Asili ya Mbeya kule Tukuyu. Anaitwa Pope Ousmane Mwalusakho. Sema kule Senegal wakamwita Sakho. Ukimtizama ana Unyakyusa Flani hivi mwingi sana. Ni Mnyakyusa wa Tukuyu ndiyo asili yake. Akina Mwalusakho. Simba walidhani hatutajua asili ya huyu mchezaji. Mimi nlihisi toka...
  7. B

    Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze 2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji 3. Jafo Mbunge wa Kisarawe 4. Kipanga Mbunge wa Mafia 5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa...
  8. Tukiacha ushabiki wa kivyama na Unafiki, Hoja ya Spika haijajibiwa

    Tukiacha ushabiki wa kivyama na kujipendekeza (unafiki), Licha ya kila mtu kujitokeza kujaribu kujibu hoja ya Spika Ndugai ama kuizungumzia hoja hiyo, na hata Serikali (Rais) ameitisha mkutano wa kidola nikidhani anajibu hoja, badala yake wamejikuta wanamjadili Ndugai ama kumdhihaki ama...
  9. S

    Mwisho wa CCM umefika na hata 2025 Rais Samia hatokuwa Mgombea wa CCM

    Yanayoendelea ndani ya CCM ni mapigo ya mwenyezi Mungu kwa CCM na viongozi wake. Wataendelea kuvurugana na mwisho wa siku chama kitapasuka mapende kadhaa. Mama hatoweza kuihimili na hata dola haitafua dafu kutuliza yatayotokea ndani ya CCM kuelekea 2025.Mama atalazimika kuachia ngazi 2025...
  10. B

    Serikali Mpya iko Mlangoni, Hata wa kujiuzuru Hamna?

    Mh. Job Ndugai kesha vunja ukimya. Majibu ya mama yamesikika. Wapi kasimama Ndugai kama yeye na washirika wake kinafahamika. Mama kasema kuna watuhumiwa wa uchaguzi wa 2025. Kwamba hao wote hawatakuwamo kwenye serikali yake mpya. Kutokuwepo kwa hata mmoja wa kujiuzuru ni dalili mbaya kisiasa...
  11. S

    Mama na uzanzibari wake ataweza kupambana na midume hii ya bara?

    Mama Samia amejengwa na utamaduni wa wazanzibari wa "muhali". Huku bara hakuna kitu kama hicho. Jitu likikuamulia kila uchwao linaongeza mbinu za kukuangamiza. Kingine ni kwamba mijitu ya huku bara inaweza kuwa inakuchekea usoni lkn moyoni ina chuki ya kukuua Mama amejiandaa kwa yote haya...
  12. Kwa wahitimu wa Mechanical Engineering.

    Kwanza nawapongeze wote mliosoma course yenye fursa nyingi popote dunian kama kama hii. Lakini course hii inahitaji watu wenye nia ya kujifunza na kujua vitu vingi sana vilivyo ndani yake. Bahati mbaya wahitimu wengi wamekuwa wahanga wa kutembeza vyeti kutafuta kazi ingali wanavitu vichwani...
  13. Mtu anaye/aliyevunja Katiba,dawa yake ni kuondoka hata kwa kufanyiwa alichofanya

    Dear Members, Heri ya Mwaka Mpya 2022, Leo nikiwa nafanya ibada ya asubuhi nikiombea Nchi yetu pamoja na viongozi wake, Neno la Bwana likanijia kwa sauti ya upole likisema ..ewe Mwanadamu, andika hivi " Kwa kuwa mshahara wa Dhambi ni MAUTI na kwa kuwa kila KOSA lazima liadhibiwe na kwa...
  14. Shaka aambiwe hata kukosolewa Rais Samia ni uhuru wa maoni binafsi

    Huu upuuzi wa eti akikosolewa fulani ni kosa na hali ikiwa vilevile kwa mwingine eti ni uhuru wa maoni si sawasawa kabisa. Jana amenukuliwa Shaka msemaji wa CCM akisema wale wote walio mshambulia Ndugai eti wametoa maoni yao binafsi na ni uhuru wao. Ajabu kupitia huohuo uhuru wa maoni binafsi...
  15. I

    Zitto huwa haeleweki yeye ni maslahi tu hata ACT akiona haina maslahi tena atasepa

    Bahati nzuri ikulu imemuumbua kwamba yeye anatetea hata kitu Cha kijinga ilimradi kina maslahi ndani yake. Hilo swala la figure kukosewa yeye ameshakuwa msemaji wa serikali na kuona ndo ukweli wenyewe. Hayuko tofauti sana na Pascal mayala
  16. Sisi wana JF tunaomba Pasco Mayala ateuliwe hata afisa mtendaji kata. Hatujapenda

    Pasco mayala ni kaka yetu na nguli mtabe wa habari kutokupata teuzi huku anazeeka hatujapenda kwakweli. Superbug
  17. Benki ya Kilimo Tanzania haina faida yoyote kwa Mkulima

    Wadau wenzangu wakilimo hiki kinachoitwa benki ya kilimo naona Kama hakina tija yoyote kwa mkulima halisi,najua mkulima yupo kijijini Lyazumbi, Katonto,Muze,Mtowisa,Chikumbulu huku au Ngulugulu huko Ileje ndani na vijiji vyote vinavyohusika na kilimo hawana taarifa na namna ya kunufaika na benki...
  18. K

    Mhe. Majaliwa amesema viongozi wanatoka Kwa Mungu, najiuliza hata akina Sabaya walipewa mamlaka na Mungu? Vipi kuhusu viongozi wa uchafuzi 2020?

    Kwa sisi Mawakili wasomi kuhoji ni jadi yetu. Nimesikia Mhe. Waziri Mkuu akizungumzia kuhusu madaraka yanatoka Kwa Mungu. Nikajiuliza tunao wabunge wa bunge la Sasa ambapo wapo waliopita bila kupingwa na wengine walipitishwa na tume kuipitia uchafuzi, je hawa wote wanatoka kwa Mungu? Tuna...
  19. D

    Msitu umejaa wawindaji. Miruzi mingi humpoteza mbwa, hata kwa Ndugai tutahama kama ilivyokuwa kwa Polepole.

    Nitarudi baadae, kama wengine hawajanielewa. Nasongea kuangalia Mayele, Fei na wataalamu wa mpira wa Yanga.
  20. T

    Tatizo siyo Ndugai kumkosoa mama hata Nancy Pelosi, Spika wa US alichana hotuba ya Trump mbele yake. Tumeanza kukopa juzi na jana Ndugai akiwa Spika

    Ukubwa wa deni haujaanza leo, Spika hajaanza kuwa Spika awamu hii leo, Madeni ya serikali yapo hata katika bunge la leo, malipo ya hovyo yanafanyila hata katika bunge la leo. Kwa nini Spika akemee leo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…