hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Ukiacha ubunge wa Halima Mdee na wenzake, hivi hata wabunge wa CCM ni halali na serikali hii pia ni halali?

    Sometimes tunapohiji uhalali wa kisheria wa ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18, huwa najiuliza ina maana wabunge wa CCM waliopo Bungeni ni halali? Mimi naamini 2020 hatukuwa na uchaguzi, hivyo hata wabunge wa CCM na serikali nzima si vyombo au taasisi halali, kwahiyo kutegemea Spika atasema...
  2. Kumuomba mwanamke msamaha sio kosa hata kama hujamkosea

    Nawashauri wanaume wenzangu tuwaombe wake zetu msamaha hata kama wao ndio wamekosa. Ikibidi mfulie nguo zote na uoshe vyombo mbele ya jamii kama mmepanga.
  3. S

    Kama hali ndio hii huko Ngorongoro, basi Serikali ijitafakari upya kwani tunaweza pata hata laana kama Taifa

    Inaumiza, inasikitisha unless sio kweli. Jionee:
  4. Hata Simba wakizidi Mbugani hupunguzwa, Wamaasai wa Ngorongoro wapunguzwe na iundwe sheria

    Kwema Wakuu! Mimi sina mengi ya kuzungumza. Nilikuwa naishauri serikali, iweke utaratibu muhimu na wakudumu. Iunde sheria ya idadi ya watu wanaotakiwa kuishi hifadhi ya Ngorongoro kulingana na Ecosystem ya pale. Kisha idadi inayozidi wawe wanahamishwa. Maasai ni Watanzania wenzatu hivyo...
  5. C

    FCC hata kama wamejitoa tunataka majibu ya uchunguzi ya ule udhamini feki

    FCC malalamiko yalifikishwa kwenu sikuy nyingi hawa jamaa wakanusa hatari ya ripoti yenu wakakimbia haraka kama nguchiro na mkia katikati ya miguu yao. TUNATAKA MAJIBU YAWEKWE HADHARANI ili iwe onyo isijirudie tena siku nyingine kwa matapeli ya soka mengine kujitokeza yakishirikiana na TFF...
  6. S

    Hata songwe Hela Uviko zimepigwa, mkurugenzi wake yupo kimya

    Nimemskia madam president jana akisikitishwa sana wakurugenzi wanne walioshindwa kusimamia pesa ya uviko kuagiza mamlaka zinazohusika kutengua ukurugenzi wao. Nashauri pia Mhe Rais apate taarifa rasmi za wilaya zote ikiwa pamoja wilaya ya Songwe. Kwani kuna ubadhirifu mkubwa ulifanywa na...
  7. Ni mada gani ya debate hata iweje lazima umshinde mpinzani wako?

    Kuna mada mbalimbali ambazo kwa namna moja au nyingine ukikutana nayo mbele yako hakuna atakaye weza kukupindua. Ni mada gani? Nikiri kuwa 'mabishano/majibizano ya hoja' ni sanaa na katika sanaa hii kuna watu wanakipaji haswa katika hilo. Kuna watu hawezi kuwsshinda inapokuja jambo. Na kuna...
  8. N

    Humphrey Polepole hatafukuzwa CCM hata aseme matope ya aina yote!

    Ni kwa sababu anajua mengi sana na hivyo akiwa nje ya mfumo anaweza kuwa hatari zaidi ukizingatia pia umri wake. Akina Membe walifukuzwa kirahisi kwa sababu tayari uzee ulishakuwepo ndani yao. Polepole bado ana nafasi ya kufanya makubwa na hivyo akiwa nje ya chama na mfumo anaweza kuleta nguvu...
  9. Nikiifikiria dunia, naona bora hata nisingekuwepo tu

    Yaani ukifikiria jinsi mtu unavyo hangaika mpaka jasho la meno Ili upate chappa uishi vizuri. Halafu ufikirie kufa unaona yani kama unapoteza wakati vile maana utavitafuta weee alafu hata hauenjoy yan paaap umedanja wanafaidi wengine jasho lako Huwa inanikata moto yani nikifikiria kufa naona...
  10. B

    Unajua kwanini katika mikutano ya Rais Samia na viongozi wa dini na machinga hakuna aliyemweleza kuhusu kupanda kwa bei za vyakula?

    Upon mfumumuko mkubwa wa za bidhaa nchini, maeneo yaliyoathirika Zaidi ni nishati na chakula. Kupanda kwa bei hizi kulipaswa kuwa agenda za kujadiliwa kabla ya kujadili siasa. Mtu mwenye njaa ni mwepesi kurubuniwa akawa mwovu lakini aliyeshiba siku zote ukumbuka mkono uliomlisha na kuulinda...
  11. Ningejua haya yote hata nisinge date na wewe

    yapata miezi miwili sasa rafiki yangu watengane na mchumba wake. chanzo, mgogoro ulianza july mwaka jana mchumba wake alipoombwa waonane akadai yuko bize, akamfata mkoa alipo ili waonane mchumba wake alimjibu yuko bize anatafta hela kwasasa, alipo lalamika sana na kudai kama kapata mpenzi...
  12. M

    Yanga SC nawatahadharisha msiidharau Mbao FC leo kwani hata Wababe na Matajiri wa DTB FC hawakuamini kilichowakuta

    Najua kuanzia katika Karatasi na Jicho la Kiufundi la kila Mdau wa Soka ndani na nje ya Tanzania anawapa Yanga SC 100% ya Kushinda leo dhidi ya Mbao FC katika ASFC, ila TAHADHARI inatakiwa ichukuliwe mno na Yanga SC kwani katika Mpira wa Miguu lolote laweza Kutokea na Mifano ya hili iko mingi...
  13. L

    TRA wameanza kutisha wafanyabiashara hata kuwafungulia kesi na kuwafunga

    TRA wameanza kutisha wafanyabiashara hata kuwafungulia kesi na kuwafunga, wanafunga tena account za watu ( biashara na kuchukua pesa za watu). Hasa TRA mkoa Singida nimepata kesi kwa rafiki yangu wamefunga account yake, walichukua hela na sasa wanamsumbua kwa madai watamfunga.
  14. Sasa nimeamini kuwa wana CCM wa sasa ni kielelezo tosha cha tabia ya Unafiki iliyopo CCM na huenda hata kwa Watanzania wote

    Dada yangu Spika Mtarajiwa (na mwana Simba SC Kindakindaki Mwenzangu) Dkt. Tulia Ackson tambua ya kwamba Umezugukwa na Wabunge na wana CCM wengi Wanafiki ambao 85% yao hawakukutaka sema tu Rais na Mwenyekiti CCM Taifa Samia anakukubali, Mwanamke mwemzako na ana imani nawe. Kwa mshangao kabisa...
  15. N

    Watanzania tumekuwa wajinga wa kuwatukuza Viongozi hata pale ambapo hapastahili. Kujipendekeza tu

    Humu kuna thread inasema "Rais Samia atoa shilingi bilioni 300 kukamilisha ujenzi majengo ya Serikali Dodoma". Hii ilishamiri zaidi kuanzia awamu ya tano na hii ya sita ninaona kama inaendeleza kwa kasi sana. Utakuta hata Diwani na Mwenyekeiti wa Serikali za Mtaa anapoongelea fedha zilizotolewa...
  16. B

    Zamani jina la Mgombea kiti cha Uspika lilikuwa mjadala kusubiri Moshi mweupe, Leo hii hata CCM hawataki kujadili kama agenda wamemwachia Mwenyekiti

    Nakumbuka enzi za Pius Msekwa, Sita na hata Makinda kidogo kulikuwa na mjadala mkali na mpambano wa fikra kuhusu qualities za mtu wa kushika Nafasi hii nyeti. Ila Kwa miaka ya hivi Karibuni kiti Cha spika kimekuwa kama mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Kijiji na siyo vijiji vyote. Spika...
  17. Tafadhali namwombea Ulinzi Yule Mama aliyesema Mchoma Moto Soko la Karume ni 'Joseph na Wenzake' kwani huenda hata Mengineyo aliunguza Yeye

    Kila nikikumbuka Yule aliyekuwa Kiongozi wa Malori kama si Mabasi ya Mikoani alipotoa Kauli fulani ya 'Kibabe' na Siku Mbili baadae akaugua ghafla na Kufa ndiyo napatwa pia na Hofu juu ya huyu Mama aliyesikika katika Taarifa ya Magic FM na Kipindi chao cha Morning Magic kwa Kujiamini kabisa kuwa...
  18. Jambo la kuchekesha ulilofanya ambalo ukikumbuka hata wewe mwenyewe huwa unacheka

    Nakumbuka nilimtania Mwalimu wangu wa shule ya Msingi nikajificha nyuma ya fensi ya nyumbani kwetu Kumbe aliniona bwana. Kesho yake nafika shule tu akaanza na mimi. Nikala viboko. Wewe unakumbuka nini?? Karibu tusimuliane.
  19. J

    Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

    Prof Mpoki Mafwega amechukua fomu ya kugombea Uspika wa bunge na kuahidi atashinda na kuweka historia mpya nchini kwani bunge siyo kwa ajili ya wanasiasa pekee. Prof Mpoki amesema tokea mwaka 1954 wakati wa mkoloni hapajawahi kuwa na Spika wa bunge aliyetoka kwenye sekta ya Utumishi wa umma...
  20. CHADEMA tuna wakati mgumu Tarime, Mwita Waitara ameahidi kutushughulikia tena tusipate hata Diwani kisa tumefurahi alivyotenguliwa

    Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko Tarime.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…