haramu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wahamiaji haramu kutoka West-Bank wanaswa wakitaka kuingia Israel kinyemela!!

    Maafisa wa polisi wa mpaka wa Israeli kutoka kitengo cha Etzef Yerushalayim waliwakamata wahamiaji 8 haramu wa Kiarabu (waliovuka kutoka Ukingo wa Magharibi kuingia Israeli) wakiwa wamejificha ndani ya tanki kubwa la mafuta lililokuwa limesafirishwa katika eneo la mizigo la gari katika Tunnels...
  2. Kwa nini biashara ya dawa za kulevya haramu Tanzania na Kenya imejikita Pwani ?

    Ni kwa sababu ya uchumi mzuri ? Wateja/watumiaji wengi ? Ni rahisi kufikika ? Ni rahisi kuificha biashara yenyewe na wanaoifanya maeneo hayo ? Hapa sizungumzii bangi na mirungi.
  3. M

    Wenzako wanapiga dili haramu miaka hawadakwi, ila wewe unapiga dili moja au chache unakua mfano.

    kipindi wadogo wenzangu Kila siku walikuw wanaenda kuiba ndizi kwenye shamba la watu wanarud nazo ndoo imejaa tunakula lakini hiyo siku nilosema na Mimi niend kujarib nilidakwa wenzangu walikimbia 😂😂 nilipigwa na wakalipa wazazi wangu na nyumbani nikafika nikala za kutosha
  4. R

    Mahakama Kuu Somali yatangaza kuwa Rais wa Somalia ni haramu, hana uhalali wa kutawala

    Habari ndiyo hiyo! Malawi vipi? Linawezekana? Hata Somalia wameizidi Malawi ambayo ni kama non existent State ===== Mahakama Kuu ya Somalia imetoa uamuzi kwa Rais Hassan Sheikh Mohamud kuongeza muhula wake kinyume cha sheria, na kuzidisha mgogoro wa kisiasa na mzozo kati ya urais na mahakama...
  5. Ni suala la muda tu enyi watawala haramu mtavuna mlichopanda

    Mpaka muda huu roho yangu inaugulia maumivu makali sana ikiwa mti mbichi wameutenda kiasi hiki Tundu Lissu Itakuwaje kwa mti mkavu kwa watanganyika wasiojulikana kimataifa kama Lissu? Mmembambikia kesi ya uongo bado hata hamjali afya yake kweli Nduguru na wenzio ipo siku mtajuta kutumika, hata...
  6. KERO Shule ya Sekondari Sangara, iliyopo Chanika, Mvuti, inamichango mingi ambayo Wazazi tunahisi ni haramu

    Tunaiomba Serikali na mamlaka husika za elimu kufuatilia mwenendo wa michango katika Shule ya Sekondari Sangara, iliyopo Chanika, Mvuti, kwani sisi wazazi tunakabiliwa na mzigo mkubwa wa gharama mbalimbali zinazotozwa na shule hiyo. Nina mtoto aliyemaliza Kidato cha Nne, lakini katika kipindi...
  7. Muziki wa bongo fleva ni haramu katika dini ya Kiislamu?

    Bila shaka kila mtu atakubali kwamba wanamuziki wanaofanya vizuri zaidi katika muziki wa bongo fleva na taarabu ni wanaotoka Pwani na hasa kutoka jamii ya Kiislamu, wanaofanya vizuri katika muziki wa injili (muziki wa mungu) ni kutoka bara, mkoani Mbeya. Ambacho huwa huwa sielewei vizuri ni hii...
  8. M

    Tanga: Azawadiwa 20,000 baada ya kusalimisha kwa hiari silaha haramu aina ya gobore aliyokuwa akiimiliki kinyume cha sheria

    Mkazi wa Kijiji cha Mafisa mkoani Tanga, Juma Hamisi Msilagi (69) amezawadiwa shilingi 20,000 baada ya kusalimisha kwa hiari silaha haramu aina ya gobore aliyokuwa akiimiliki kinyume cha sheria.Msilagi amekabidhi silaha hiyo kufuatia wito wa kusalimisha silaha haramu uliotolewa na Waziri wa...
  9. Je Wajua Haramu Isipoharimishwa ni Halali? Batil Isipobatilishwa ni Halali?. Licha ya Ubatili Wote, Matokeo ni Halali, Ni Rais Halali!

    Wanabodi Japo sikusomea fani ya ualimu, lakini kwa kadri uzee unavyoninyemelea, nimeanza kujiona kama mwalimu humu, kuwafunza madogo humu mambo makubwa wasio yajua!. Somo la leo ni somo la Haramu sio tuu inavyoweza kugeuka halali, bali haramu nyingine ni baraka. Mada kuu ni Je wajua kuwa...
  10. K

    Kuna Njia ya Kuigeuza Haramu Kuwa Halali?

    Samia na wengine wote wanaomhangaikia ili serikali yake na utawala wake uonekane kuwa halali ni muhimu waelewe hili: Kwamba hakuna njia yoyote inayoweza kugeuza Haramu na kuifanya Halali.. Tume za akina Chande na Lila hazina uwezo huo; na wala kuendelea kukandamiza wapinzani na kuwafungulia...
  11. Wabunge wa Ujerumani waikomalia serikali haramu kuhusu haki, mauaji, utekaji, n.k.

    Sina haja ya kuandika mengi. Tazama video mwenyewe. Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia. Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari. Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana...
  12. Serikali Haramu yashirikiana na RC Arusha /DC na DED Ngorongoro na wamiliki wa Sheli Kuuza Petroli Elfu Sita kwa Lita kuwakomoa Wamasai !

    Wakuu, hii ni aibu na inayotia Kinyaa!!. Jamaa yangu huyu aliyepo Makao makuu ya Ngorongoro , ananipigia simu kumielezea adha wanayopitia huko Porini kwao kwa karibu mwezi mzima sasa !. Petroli ianuzwa Elfu Sita kwa Lita, huku Chama cha Mapinduzi (CCM) , Mwenyekiti wake wa Wilaya, DED, DC na...
  13. Tukiwa tunaendelea kusubiri hukumu ya kesi ya Lissu, ni mambo gani ya kisheria yanayostahili kuangaliwa

    Ngoja nikwambie kitu kimoja kuhusu kesi hii. Ukiisikiliza kwa juu juu, unaweza kudhani mjadala mkubwa ni kwamba Lissu alisema maneno gani na aliyamaanisha nini. Lakini ukiingia ndani ya sheria, utaona kwamba swali la msingi ni kwamba.. Je, Jamhuri imethibitisha kwamba maneno hayo yanatimiza...
  14. M

    Watanganyika wanatawaliwa na uongozi wasioutaka na kwao wanasema ni haramu.

    Wanasema hawampendi huyu mkuu wa nchi. Kuanzia watoto wazee mpaka vibibi. Anawatawala kwa lazima sababu tu analindwa na jeshi. Kuanzia bodaboda, wauza mkaa hadi watoto hawampendi. Hawataki awe kiongozi wao...
  15. M

    Prof Kabudi nakukumbusha kinyume cha neno haramu ni halalai. Je, rais wetu ni halali?

    Ulipaswa kujiulizwq swali hili muhimu sana. Je, alipatakina kwa uhalali?👇
  16. K

    Kabudi, Samia na seeikali yote ni Haramu

    Hawa wote ni Haramu na sio Halal
  17. S

    Naomba ufafanuzi: Kitu kisicho halali ni haramu, au kuna mazingira ya kufanya kisicho halali kisiwe haramu?

    Kuna mtu kanichanganya hapa, naomba ufafanuzi: Kitu kisicho halali ni haramu? Kuna mazingira ya kufanya kisicho halali kisiwe haramu?
  18. PostGE2025 Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio...
  19. G

    Barua kwa Waziri mkuu na wizara ya Ardhi, Upimaji Haramu wa Ardhi wilaya ya serengeti.

    Nikiwa kama mdau wa maendeo nchini napenda kujua kwa nini halmashauri ya wilaya ya serengeti mkoani Mara imeruhusu upimaji wa viwanja na Mashamba bila kutoa stakabadhi za EFD wananchi wanabaki na makaratasi ambayo serikali haiyatambui nani yuko nyuma ya hili zoezi gharama ziko juu wananchi...
  20. I

    Machozi ya Kina Mama Makwa: Pombe Haramu Inaacha Familia Zikilia Tena

    Makwa, Gatundu North, Kaunti ya Kiambu, imeingia tena kwenye mjadala wa pombe haramu baada ya mwanaume mmoja kuripotiwa kufariki baada ya kunywa pombe inayoshukiwa kuwa mbaya. Lakini safari hii, si taarifa ya vifo pekee inayovuta hisia. Ni video ya kina mama wakilia kwa uchungu baada ya taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…