hapo

High-altitude pulmonary edema (HAPE) is a life-threatening form of non-cardiogenic pulmonary edema (fluid accumulation in the lungs) that occurs in otherwise healthy people at altitudes typically above 2,500 meters (8,200 ft). However, cases have also been reported between 1,500–2,500 metres or 4,900–8,200 feet in more vulnerable subjects.
Classically, HAPE occurs in persons normally living at low altitude who travel to an altitude above 2,500 meters (8,200 feet). Re-entry HAPE is also an entity that has been described in persons who normally live at high altitude but who develop pulmonary edema after returning from a stay at low altitude, this has been called re-entry HAPE. It is severe presentation of altitude sickness.
There are many factors that can make a person more susceptible to developing HAPE, including genetic factors, but detailed understanding is lacking and currently under investigation. HAPE remains the major cause of death related to high-altitude exposure, with a high mortality rate in the absence of adequate emergency treatment.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya kutangazwa rasmi hapo Ijumaa maeneo yapo chini ya Russia ndipo upo uwezekano wa kutangaza vita rasmi

    Wengine wanaona kura za maoni kama jaribio la Kremlin kuanzisha upya vita. Ikiwa Urusi itachukua maeneo haya inaweza kupeleka mzozo katika kiwango kipya na hatari zaidi, huku Moscow ikionyesha juhudi zozote za Ukraine kuyarudisha maeneo hayo kama shambulizi dhidi ya eneo lake huru. Kuunganisha...
  2. JamiiForums Tanzania ACP Kungu Malulu kazi yako ya kutukuka hapo Temeke tumeiona na tunakushukuru

    Nakumbuka niliwaambia watu kitendo cha ACP Kungu Malulu kuteuliwa kuwa Mkuu wa Polisi Temeke hao watoto zenu wanaojiita Panya Road muwakanye huku mtaani kuna watu walinidhihaki. Sasa kamanda Kungu Malulu ambaye alikuwa Kamanda wa Kipolisi Kanda Maalum ya Rufiji, ameanza kazi rasmi na ndani ya...
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maoni ya Mike Sonko baada ya Viongozi kuonekana wamepanda basi kwenye msiba wa Malkia Elizabeth II

  4. JamiiForums Tanzania Putin alikua amekoswa koswa kuuawa mara sita, ndani ya nchi yake

    Jamaa anaishi maisha magumu sana kama kibaka, anaogopa hadi kivuli chake ndani ya nchi yake pamoja na utajiri wote ule. Anawindwa kuuawa kila siku tena ndani ya nchi yake supapawa ambapo ndiye rais. Najaribu kuwaza maisha wanayoishi wahudumu wake wakiwemo wapishi, lazima wananyimwa amani sana...
  5. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi PSSSF kikaangoni kwa kujikopesha fedha ya kujinunulia gari

    Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Ernest Khisombi Septemba 12, 2022amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili kwa tuhuma za kujipatia mkopo wa gari binafsi wenye thamani ya Shilingi 196,570,931.00 kinyume na Sheria ya Maadili ya Viongozi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kama una demu, mchumba au mke anapiga picha huku makalio ameyatazamisha kwenye kamera hapo ujue kabisa hauko peke yako.

    Mada inajieleza. Usije kusema sijakutonya. Ukiona makalio yametazamana na camera sijakuambia muachane ila nimekuambia tu kuwa wewe pia uko kwenye foleni.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mzee kwanini hataki kuzeeka?

    Anajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu. Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki. Sijui hata kama anawashauri huyu.
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia ukijisikiliza hapo huwa unajiasikiaje?!

    Tuiogopeni technology hakika!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkipanga hiki Kikosi changu MINOCYCLINE Leo Taifa Stars anashinda 3-1 au 2-0 hivyo Kazi Kwenu mlioko Kampala Uganda.

    1. Aishi Manula 2. Kibwana Shomary 3. Mohammed Hussein 4. Dickson Job 5. Kennedy Juma 6. Jonas Mkude 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum 9. Anwar Jabir 10. John Boko 11. Farid Mussa Tafadhali wanaoanza wawe hawa niliowataja na baadae waingizwe akina Lyanga, Sopu, Mwamnyeto, Kibu na Tepsi...
  10. JamiiForums Tanzania PR and journalism

    Jamani naombeni msaada kuhusu hii coz ya journalism and public relations je ni nzr kwa hapo baadae kuweza kuajiriwa na kujiajiri
  11. JamiiForums Tanzania Je, Unajua hapo kabla wananchi waliibia sana Serikali, kwa sasa Serikali inawaibia wananchi kwa kushirikiana na taasisi na mashirika ya fedha?

    Kwa miaka kadhaa iliyopita watumishi wengi wa serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali, waliibia sana serikali. Hii ilitokana na kukosa udhibiti wa miaya ya rushwa, kukosa uadilifu na kuruhusu matumizi yasiyo ya lazima. Kiongozi wa nchi aliyetangulia kabla ya huyu aliyepo sasa, alijitahidi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Man U poleni: Mechi ijayo mnacheza na Liverpool hapo jiandaeni kipigo cha tatu!

    Mbaya zaidi kipigo kinawafuata hapo Old Traford! MONDAY 22ND AUGUST Manchester United Vs Liverpool.
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya China kupiga bahari mabomu, Marekani nao waamua kwenda kufanya operetion za kivita hapo mahali

    Kama namna fulani ya kuwajibu Wachina, Marekani kwenda kupitisha vyombo hayo maeneo ya bahari karibu na Taiwan na kufanya yao ikiwemo mazoezi ya kutunisha misuli.... A senior US official said Friday the US was set to conduct "freedom of navigation" operations in the Taiwan Strait during the...
  14. JamiiForums Tanzania Singida Big Stars tunaanza Ligi na Tanzania Prisons, patamu hapo

    Watu wa Soka, Salamu kutoka Singida Big Stars. Ratiba ya Ligi Kuu imeshatoka na mechi yetu ya kwanza tumepangiwa kucheza uwanja wa nyumbani na Wajelajela Tanzania Prisons siku ya Jumanne Agosti 16, 2022. Nafahamu kwamba Mashabiki wetu, watanzania na watu kutoka mataifa mbalimbali siku hizi...
  15. JamiiForums Tanzania Napenda kujua hiyo kitu hapo inatengenezwa kwa kutumia software ipi?

    created by software ipi na hii inaitwaje!
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine waliingia mkenge: Mkataba wa kusafirisha ngano uliposainiwa walidhani Odesa haitashambuliwa, wakaficha silaha hapo!

    Hatimaye Ukraine na Urusi walifikia makubaliano ya kuruhusu ngano ya ukraine kusafirishwa kwa kutumia bandari ya Odessa. Ukraine walivyoona hivyo, wakaamua kupeleka kwenye bandari hiyo meli iliyokuwa na mitambo ya kurushia makombora ya HIMARS yaliyotoka Marekani. Walifikiri kuwa bandari ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuingia lebo ya Wasafi, Rayvanny na Harmonize walikua wapi? Walipofikia leo wangeweza bila Wasafi? Label ipi ina karibia WCB hapa Bongo?

    Hakuna kitu kinaitwa "Unyonyaji" kwenye dunia ya mabepari. Umepewa mkataba, unapewa muda ukausoma na kutafakari, ukaona unafaa, ukatia saini. Hakuna la ziada hapo. Nitaamini Wasafi ni wanyonyaji siku akitokea mtu akatae mkataba wao mwanzoni kabisa kabla ya kupata umaarufu. Kama unaona ni...
  18. JamiiForums Tanzania Libya bado ni nchi tajiri, tuache propaganda ( hizo hapo ni latest statistics)

  19. M

    JamiiForums Tanzania Marekani inaionea wivu Urusi, Pamoja na vikwazo bado inapata pesa zaidi sasa kuliko hapo kabla. Sasa inawaza kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya Urusi

    Marekani imesusia mafuta ya urusi bado urusi inapeta! Nchi za magharibi zimeiwekea urusi vikwazo vya kiuchumi zaidi ya 6,000 lakini ndo sasa inapata pesa zaidi! Marekani inaumiza kichwa kuwaza waifanyieje Urusi ili kuikomoa kiuchumi? Marekani imekuja na wazo lisilotekelezeka!! Inasema itaweka...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbe tunaochati Jamiiforums kuanzia Saa 8 hadi Saa 12 ndiyo tupo zetu 'Mamtoni' na wanaochati Nje ya hapo wapo 'Uswahilini' Bongo

    adriz, mwanausangi, Frank Wanjiru, Sky Eclat, KISIWAGA, Daudi Mchambuzi, cocastic na Bila bila kumbe nyie na 'Ujiniasi' Wenu wote mnaishi huko Uswahilini Bongo na ndiyo maana mwisho Wenu wa kuwepo ( kuchati ) hapa Jamiiforums ni Saa 12 za Jioni tu? Sasa ngoja nitafute Marafiki zangu wapya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…