hapo

High-altitude pulmonary edema (HAPE) is a life-threatening form of non-cardiogenic pulmonary edema (fluid accumulation in the lungs) that occurs in otherwise healthy people at altitudes typically above 2,500 meters (8,200 ft). However, cases have also been reported between 1,500–2,500 metres or 4,900–8,200 feet in more vulnerable subjects.
Classically, HAPE occurs in persons normally living at low altitude who travel to an altitude above 2,500 meters (8,200 feet). Re-entry HAPE is also an entity that has been described in persons who normally live at high altitude but who develop pulmonary edema after returning from a stay at low altitude, this has been called re-entry HAPE. It is severe presentation of altitude sickness.
There are many factors that can make a person more susceptible to developing HAPE, including genetic factors, but detailed understanding is lacking and currently under investigation. HAPE remains the major cause of death related to high-altitude exposure, with a high mortality rate in the absence of adequate emergency treatment.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kati ya Leeds Utd, Everton na Leicester City, timu zipi mbili hapo zitaungana na Southampton kushuka daraja?

    Pazia la EPL linaenda kufungwa jumapili hii. Bingwa ameshapatikana ambaye ni Man City. Top 4, timu zishapatikana ambazo ni Man City, Arsenal, Newcastle United na Man Utd. Kimbembe kitakuwa kule bondeni, kwa wanaoshuka daraja. Tayari, Southampton ameshashuka daraja, bado timu mbili za kuungana...
  2. JamiiForums Tanzania Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

    Katika harakati za kutongoza huwaga mwanaume anakutana na majibu mengi mojawapo ni hili la mwanamke kumwambia mwanaume wawe marafiki ukweli ni kwamba hapa umeshakataliwa tayari Kama mwanamke kavutiwa na mwanaume kamwe hawez mwambia wawe marafiki lazima atamkubali ila kama hajavutiwa na mwanaume...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nani aliwachagua kuwa viongozi wa dunia? G7 ni viongozi wa nchi 7 tu si zaidi ya hapo

    Viongozi wa G7 naona wameamua kujibatiza kama viongozi wa dunia!! Vyombo vya habari vya magharibi viko mstari wa mbele kuwatangaza kama viongozi wa dunia. Watu husema kuwa uongo ukisemwa sana, na watu wakaumezea hubadilika pole pole kuwa ukweli. Dunia lazima ikatae sasa kuwa marais wa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Tanzania hapo mbeleni

    Ndugu wapendwa JF wasalam. Hodi Jukwaani. Darubini yangu imeona dalili na Ishara ziko wazi kwamba huyu mjamaa anaandaliwa na kwakweli he has all possible qualifications for the post. Just check, uadilifu, uaminifu katika utendaji na utekelezaji mipango SUK, bidii na uchapakazi, hana makundi...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mji mkuu ni sawasawa na kichwa/uso kwa bondia, ukiona panagusika hapo kila mara jiulize mara mbilimbili katika unayoyasikia!

    Ndo hivyo wakuu, ukiona bondia anapigika usoni kirahisi ujue mambo si mambo hapo. Vivo hivyo kwa nchi zinapopigana, ukiona kila mashambulizi yanafika mji mkuu yakupasa uwe makini kweli na meeeeengi unayoyasikia......hususani kutoka upande huo wenye mji unaoshambuliwa. Yote kwa yote, vita ni...
  6. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Frame Tanzania

    Uchumi wa Frame unashika kasi sana Tanzania, ni Frame juu ya Frame, ni frame ukikata kona ni frame ukinyosha ni frame. Hii nchi na hisi uwezo wa wetu wa kufikiria nahisi usha fikia tamati yake, nchi kwa sasa iko kwenye uchumia wa frame, si Jeshi la Police, Si Jeshi la Wananchi, Si makanisa...
  7. JamiiForums Tanzania Kama unampa pesa kila mnapofanya mapenzi, hapo mimba ikiingia ni yake peke yake.

    Habari! Kama kichwa kinavyosema. Kama huwa unamlipa pesa kila mnapofanya mapenzi nj vyema ijulikane kuwa hiyo ni biashara kamili. Hata kama hakutajii kiwango rasmi au hakushikii badtola ili umlipe. Kwa jina lolote lile iwe hongo, matunzo, nauli, ya kula, ya sabuni n.k maadamu tu inalipwa kila...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ajira zilikuwa kipindi Cha jk toka hapo ajira imekuwa ni za kubeep!!

    Kuna watu wanamdiss jk lakini ukweli ni kwamba kipindi Cha jk kila kitu kilifunguja na ajira kila mahala.hata jeshi hakukuwa na haja ya kupita jkt kila mtu aliyekuwa na passion basi jeshi ilikuwa easy. Walimu na madaktari wote wanaopenda kuajiriwa serikalini walipata ajira bila kunakiza mtu. Jpm...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yanga wanastahili kufika walipo, sio miujiza bali ni investiment iliyofanyika kwa misimu 3 wakijitafuta!

    Najua maumivu waliyonayo upande wa pili ni makali sana, wivu ukijumlisha na chuki vinawafanya wawe na hali mbaya sana zikiwemo stress za kujitakia. Pamoja na hayo yote bado ukweli unaendelea kubaki vile vile ya kuwa mpira hauna cha short cut, mpira ni uwekezaji na project za maana ili upate...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Simba fanyeni usajili wa wachezaji watakaowavusha zaidi ya hapo, vinginevyo wimbo utabaki kuwa ule ule miaka yote

    Nimeona baadhi ya mashabiki wa simba na wachambuzi wakiipongeza simba kuwa pamoja na kutolewa na whydad lakini wamejitahidi. Ikumbukwe kwenye hatua ya robo fainali akunaga cha kujtahidi kinachoangaliwa ni kuvuka kwenda hatua inayofata ya nusu fainali aijalishi umevukaje, na mafanikio yako...
  11. JamiiForums Tanzania Wanamahesabu kutoa hii kitu hapo posta itagharimu hela ngapi

    Gharama zake mpaka zinafika bongo zinaenda kama hvyo, vp kuzitoa pale mchanganuo wake umekaaje
  12. JamiiForums Tanzania Najiandaa kuwa mwanachama mtiifu wa Simba SC baada ya mechi hapo Ijumaa

    Kama Simba Sc itafuzu kwenda nusu Fainali hapo Ijumaa basi mimi kwa utashi wangu mwenyewe nitaenda mitaa ya msimbazi kukabidhi kadi yangu ya YANGA (klabu yangu pendwa)na kuchukua rasmi kadi ya SIMBA SC. 1. Nitahakikisha nalipa Ada yangu ya uanachama kwa uaminifu mkubwa mno 2. Nitachangia...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu yetu yupo kwenye mtego nchi moja ya hapo Ulaya, tunamtoaje?

    Ushauri kwa ndugu yetu ambaye yupo masomoni nchi za Ulaya. Ndefu ila nafupisha kwa kadri ya uwezo. Bro.Wangu anasoma nchi moja hapo Ulaya! Huyu ni brother alienda Europe 2020 kimasomo katika fani ya afya hivyo amefanikiwa kupata chuo kizuri na kuanza kuishi maisha ya hostel. Hivyo baadae...
  14. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa hauwezi kurudi bungeni. Asia Msangi popote ulipo jiandae kwenda Bungeni 2025

    Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za Kivule na Bomba mbili hadi kwa Mkoremba watu wamevunjika migongo. Barabara chafu, hazina lami, zina mashimo, hivi unakwama wapi yaani nyie CCM! Sasa popote ulipo Asia Msangi jiandae kwenda Bungeni.
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike ambae naweza muoa hapo baadae

    Assalamu alaykum Wana jamiiforums Bila kupoteza muda, baada ya kupitia mengi katika maisha ya uhusiano sasa naona ni muda muafaka kwangu kurudi katika maisha ya kutafuta mke. Sifa. 1. Asiwe katika mahusiano 2. Dini: Awe muislamu, mchamungu, mwenye kuvaa hijab ya kisheria na mfanya ibada. 3...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Onyango, Mkude, Nyoni Wasiwe mbuzi wa kafara, uwezo wa Simba ndio umeishia hapo

    Nawashangaa sana mashabiki wasiojitambua wala kujielewa na wasioitambua sayansi ya mpira wa miguu. Simba kapigwa 3 mzuka na Raja nongwa na jumba bovu wanaangushiwa Onyango, Mkude, Manula na Nyoni, ni mpuuzi tu anaweza kuongea utumbo kama huo! Wachezaji wa Simba ndio hao hao wa siku zote na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Zama zake zimepita. Jihadhari sana na kauli au maoni yako juu yake hapo kesho

    Tuko zama za anaupiga mwingi na maridhiano. Hivyo ewe kiongozi mteuliwa kuwa mwangalifu utakapokuwa unatoa maoni kuhusu bwana yule hapo kesho, maana Zama zake zimepita na kitabu chake kimefungwa. Maoni yako yakikolezwa Sana sifa itakula kwako. Kama ikiwezekana wakwepe Sana waamdishi wa habari...
  18. JamiiForums Tanzania Kitendo Cha kutubatiza jina la wanyonge hapo ndio niliona kuwa siasa ni upuuzi mtupu

    Watu wenye Akili tunajua kuwa siasa za Tanzania ni ubabaishaji mtupu. Miaka 60 hamna Jambo la maana mmefanya zaidi ya wizi wa rasilimali zetu. Kila siku mnabatiza watu majina mara wanyonge bla blah kibao tu. Wanasiasa watanzania ni wezi mmeshikilia sectors muhimu nyie na Familia zenu, ni mtu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Profesa Wajackoya: Raila Odinga alikuwa na CHADEMA akalega lega amerudi tena

    Nchi na mataifa mbalimbali sasa wanaendeleza hamasa ya kuungana na chama chenye malengo ya kuongoza nchi kwa misingi ya amani, umoja, na upendo, na maendeleo pia na kuimarisha diplomasia. Hii ni kutokana na itikadi na misingi mizuri ya kuanzishwa kwake. Prof Wajackoya, nguli wa sheria na...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Simba hii ndiyo mbinu pekee itakayowapa ushindi kesho inje ya hapo mtapigwa vibaya (uchawi wa vipers huu hapa)

    Kesho timu ya Simba itashuka dimbani na Vipers sc ya Uganda! Hii mechi kwa simba ni ngumu endapo wakikurupuka lakini ni nyepesi mno wakifuata haya! Viper wataumiliki sana mpira dakika za Awali kuanzia mwanzoni hadi dakika ya 18 ya mchezo! Kutokana na hili SIMBA Waanze na mbinu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…