hapo

High-altitude pulmonary edema (HAPE) is a life-threatening form of non-cardiogenic pulmonary edema (fluid accumulation in the lungs) that occurs in otherwise healthy people at altitudes typically above 2,500 meters (8,200 ft). However, cases have also been reported between 1,500–2,500 metres or 4,900–8,200 feet in more vulnerable subjects.
Classically, HAPE occurs in persons normally living at low altitude who travel to an altitude above 2,500 meters (8,200 feet). Re-entry HAPE is also an entity that has been described in persons who normally live at high altitude but who develop pulmonary edema after returning from a stay at low altitude, this has been called re-entry HAPE. It is severe presentation of altitude sickness.
There are many factors that can make a person more susceptible to developing HAPE, including genetic factors, but detailed understanding is lacking and currently under investigation. HAPE remains the major cause of death related to high-altitude exposure, with a high mortality rate in the absence of adequate emergency treatment.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simba SC msitishwe na wala msidanganywe achaneni na Jean Baleke kwani hakuna Mshambuliaji hapo

    Kama kuna Striker ambaye nilikuwa Simpendi Simba SC ni huyu / huyo ila nasikitika kusikia kuwa anataka Kurejeshwa.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Korea kaskazini: Rais kim jong Un asema Africa itaendelea kunyonywa na ulayakupitia dini mpaka hapo watakapomtambua Mungu wao

    Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo. Ikumbukwe korea kaskazini wamezuia na kupiga marufuku biblia na quran kwa kusema na culture ya wazungu na waarabu tu...
  3. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni wakati muafaka na sahihi kwa David Kafulila kurejea Bungeni mwaka 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa letu,uchapa kazi wake, upendo wake kwa Wananchi. Tunafahamu vyema na kwa undani uwezo wake wa kujenga hoja...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Hakikisha unaweza kuishi miezi sita bila mshahara na usiathirike, hapo utakuwa mstaafu mzuri ajaye

    Maisha ya ajira yanafanana na ndoa , kwenye ndoa kila siku watu watu wanatamani kuingia huko mpaka kwenda kwa waganga ila wanasahau kitu kimoja ambacho ni kujiandaa kuishi ndani ya ndoa hiyo na kwenye ajira kila siku watu hutafuta kazi ila wanasahau kuwa kuna siku wataishi bila hiyo kazi...
  5. JamiiForums Tanzania Mapenzi hayana tofauti na betting

    Kwema wakuu, Lazima tukumbushane kuwa ukimpenda mtoto wa watu ambae umekutanae ukubwani lazima uwekeze moyo na pesa zako kwa kiasi sio unaweka moyo wote na pesa zote siku mambo yakiwa tofauti lazima ujikute umepigwa na kitu kizito ndo pale unasikia mauaji n.k, Kwa wakamaria hawa hawanashida...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa Fiston Mayele na Kibwana Shomary sawa Wasajilini kama Kweli, ila kwa huyu Ayuob Lyanga hakuna Mchezaji hapo na achaneni nae tafadhali

    Na uzuri pia wa Kibwana Shomary kwa Sisi wana Morogoro tunamjua kuwa ni mwana Simba SC lia lia hivyo atafaa tu.
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Hizi hapo title za kufanyia utafiti/ research kwa ajili ya wanazuoni na wadau wengine, title ambazo hazijafanyiwa kazi mpaka Sasa kwa sector zote

    Habari za Leo tena, karibu katika jamvi la story of change, jukwaa linaloibua mawazo mapya. Leo katika Uzi wangu huu, nataka wadau wote kutoka katika sector zote, tusaidie wadau na wanazuoni wanaotafuta titles za kufanyia research ambazo bado hazijawahi kufanyiwa kazi kabisa, naomba tuwe...
  8. 4

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inatoa mchakamcha usio wa kawaida kwa chama tawala CCM kwa speed ya hypersonic

    Wajf imani ikatawale popote mlipo. Andiko langu litakua fupi Chama kikuu cha upinzani Tanzania (Chadema) mpaka sasa kinatoa mchakamcha ambao sio wa kawaida kwa chama tawala CCM kwa speed ya hypersonic kiasi kwamba wafuasi na Viongozi wa chama cha ccm wanashindwa wapi pa kushika na wenda...
  9. JamiiForums Tanzania Wazee wa kuji-brand na kuji-mwambafy: Unaomba namba ya simu unambeep na kuifuta papo hapo

    Shalom, Huu sijui niite ni dharau, maringo, ubaharia au ujinga wa kitoto. Ubaharia wa kidwanzi ndio huu kuna siku nikichukua namba ya demu mmoja hapa jijini Dodoma, nikambeep Fair kabisa. Kesho yake nikampigia daah aliwasha sana moto akaniumbua sana wewe nani acha kushoboka hovyo na maneno...
  10. JamiiForums Tanzania Handeni: Dereva wa Bodaboda agonga bundi na kufariki

    Afisa mifugo wilayani Handeni mkoani Tanga (Jina lake bado halijafahamika) amefariki dunia baada ya kumgonga ndege aina ya Bundi na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili STM 0232 . Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Ijumaa, Mei 17 2024 eneo la Sindeni, Handeni jirani na kona ya...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Unadhani vyama vya siasa vibebe kauli mbiu gani tunapoelekea chaguzi chaguzi mbalimbali?

    Vyama vya kisiasa na wanasia, hasa katika nyakati za uchaguzi huibua na kuibuka na catchphrases, slogan au kauli mbiu za kusisimua wanainchi, kuwatambulisha au kuelezea hisia, uelekeo au shauku za uongozi wao na vyama vyao, endapo watapewa ridhaa kuongoza na wanainchi. vyama na wanasiasa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango tunaomba hiyo barabara uisogeze mpaka hapo Homboza Centre

    Mheshimiwa Philipo Mpango tunaishukuru Serikali kwamba hatimaye barabara ya kutoka Chanika imefika zingiziwa. Yaani imeishia getini kwako mheshimiwa. Tulikuwa tunaomba angalau basi utusaidie isogezwe ili ipitilize kidogo ifike angalau hapo Homboza center ambapo daladala za kuelekea Kariakoo...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hoja fikirishi: zikiwekwa hapo Bilioni 5 Tundu lissu afutwe uanachama kuna atakaekataa?

    Mfano.. zikiwekwa hapo Bilioni 5 Tundu lissu afutwe uanachama kuna atakaekataa? Tundu lissu amekuwa sehemu ya Tishio kwa Hoja zake na misimamo yake Amekuwa Mkweli, amekuwa sehemu ya kusimamia anachokiamini Pesa zinazoitwa za mama Abdulah zikimwaga ufipa kama zilizo habari za ndani za...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya kujenga mazoea Kwanza na demu au kumtongoza papo kwa hapo?

    Kwema wakuu Ipi Kati ya kujenga mazoea Kwanza na demu au kumtongoza bila kuwa na mazoea nae inafaa.
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kuishi Maisha Ya Kitajiri Kwa Kuanzia Hapo Ulipo Sasa

    Rafiki yangu mpendwa, Kwenye harakati za kujenga utajiri na uhuru wa kifedha, huwa ni rahisi sana kujisahau kuyaishi maisha. Ni mpaka pale mtu anapofikia lengo alilokuwa nalo ndiyo anagundua hapati furaha aliyotegemea angeipata. Tatizo siyo kwamba utajiri na uhuru a kifedha hauleti furaha...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Udereva

    Habar za muda huu Asalem aleykum, Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari ya Uber. Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi. Naomba...
  17. 5

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

    Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato? Embu tujielekeze hapa kidogo wale watu wenye taaluma fasihi, Mama kila siku anatoa kamsemo...
  18. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tuna Rais Mzanzibari anayeweza kwenda Ngorongoro na kutoa Amri kwa Wanajeshi wafukuze wamasai wote

    "Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro wapeleke Msomera Handeni, 547Km kutoka ngorongoro." "Huyu rais Mzanzibari siyo Mtanganyika...
  19. JamiiForums Tanzania Christina Shusho, colabo na Diamond hapo umeliwa!

    Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto! Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama. Christina Shusho hatakuwa wa kwanza kuingia mtego huo. Kila la heri mwimbaji wa nyimbo za Injili, ambaye sasa...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Lamadi na Bunda kuna usafiri wa basi za kwenda direct Kahama?

    Wana Lamadi na wana Bunda karibuni. Nahitaji Basi ambazo hazipiti njia ya Mwanza bali njia ya Bariadi na Maswa. Nauli bei gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…