hapo

High-altitude pulmonary edema (HAPE) is a life-threatening form of non-cardiogenic pulmonary edema (fluid accumulation in the lungs) that occurs in otherwise healthy people at altitudes typically above 2,500 meters (8,200 ft). However, cases have also been reported between 1,500–2,500 metres or 4,900–8,200 feet in more vulnerable subjects.
Classically, HAPE occurs in persons normally living at low altitude who travel to an altitude above 2,500 meters (8,200 feet). Re-entry HAPE is also an entity that has been described in persons who normally live at high altitude but who develop pulmonary edema after returning from a stay at low altitude, this has been called re-entry HAPE. It is severe presentation of altitude sickness.
There are many factors that can make a person more susceptible to developing HAPE, including genetic factors, but detailed understanding is lacking and currently under investigation. HAPE remains the major cause of death related to high-altitude exposure, with a high mortality rate in the absence of adequate emergency treatment.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chuo gani huwezi pendekeza mdogo wako aende hapo?

    Oya bongo kuna vyuo vingi kwa level ya degree, lakini je ni chuo kipi huwezi kupendekeza mdogo wako eande akasome hapo? Sababu ni nini,?
  2. JamiiForums Tanzania MwanaFA nakubaliana na wewe; ila hapo mwishoni inategemea ni ndege wa aina gani na ana dhamira gani

    Kwanza natamani kujua mwana FA alimaanisha ndege gani? Ndege kiumbe au ndege usafiri? Kama ni ndege kiumbe basi tujue tu kwamba wapo aina za ndege ambao ni waharibifu na wana madhara kwa viumbe wengine. Hivyo ni wazi kabisa mbwa mkali yoyote atambwekea tu ndege huyo. Mbwa hawezi kunyamaza...
  3. JamiiForums Tanzania Mkikutana na mpenzi wako mkafanya ngono bila kupeana chochote na wote mkatoka mmefurahi hilo ni penzi, kama mmoja akikasirika hapo hamna penzi

    KAHABA ni mtu ambaye anafanya ukahaba. UKAHABA ni kitendo cha mtu kufanya ngono ili apate malipo. Wapenzi watapendana tu bila sababu yoyote , wapenzi watapeana pesa na vitu vingine. Wapenzi hawapo kama kiatu na rami, maana kiatu mara zote ndio kinaliwa. Wapenzi watakutana mahali popote, wakiamua...
  4. JamiiForums Tanzania Je kuna kupona hapo..?

    Salama wakuu.. Kwanza awali ya yote pitia video hapo juu ambayo ina 563kb hata MB bado haijafika hivo wacha uwoga wa kufungua video.. Kipindi sina uwelewa wa mambo ya fizikia hilo jambo hapo juu la jamaa kuchukua hatua ya kuruka kutoka kwenye ndege mpaka chini ya maji nilijua ni simple sana...
  5. JamiiForums Tanzania Dini ndio zitakazo tupeleka motoni. Msingi wa Mungu ulikuwa fresh tu hadi hapo Siasa za dini zilipoingilia kati

    Nimekuja kuelewa kuwa tunamuabudu Mungu kwa misingi ilioandaliwa na wanadamu wenzetu. Tunamuenzi Mungu kwa nguzo zilizotengenezwa na wadamu wenzetu. Tunamtukuza Mungu kwa masharti ya wanadamu wenzetu. Yaani ni kama kabla ya kumfikia Mungu inabidi kwanza tutukuze misingi na nguzo za hawa...
  6. JamiiForums Tanzania Uwezo wa kufanya mapenzi katika Jamii hushuka kila uchwao...

    Jamii sasa imekumbwa na kupungufu uwezo wa kufanya mapenzi. Labda vizazi vyetu havina nguvu wala uwezo huwenda kutokana na sababu mbali mbali. Mfano moja wanawake wawili Kati ya kumi ndo huweza kufika kilele (Mshindo) Wanawake wengi wanafanya mapenzi na hawafiki kileleni. Wanaume wengi...
  7. JamiiForums Tanzania Baba Levo: Diamond Platinumz alitaka apewe Milioni 300 na Yanga SC aende Siku ya Wananchi, ila Yanga SC hawana Hela na wakashindwana hapo

    Tusichoshane nendeni Wasafi FM huko mkamsikie Wenyewe. Mnajifanya mna Hela zisizo na Kazi kumbe ni Masikini tu.
  8. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa

    Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa. Mpaka sasa, Bakhresa sidhani kama amewahi kunywa: 👉🏾 Azam Energy 👉🏾 Azam cola 👉🏾 Azam Embe 👉🏾Azam Malta Bakhressa hajawahi ku motivate vijana wa Kitanzania kupitia media...
  9. JamiiForums Tanzania Aucho aliwakosea Nini hapo TFF?

    TFF Huwa mnataza mpira mkubwa wapi Yaani kwenye league yetu hakuna kiungo mkabaji mwenye sifa zote kama Aucho Sawa mmemnyina tuzo hata kwenye majina ya walioshindania tuzo hayumo. Aucho ni mkabaji, anataka pasi elekezi, ana energy Bado mnamchukulua poa. Me naamini mna matatizo binafsi nje ya...
  10. JamiiForums Tanzania Hapo mwanzo mwanaume alichagua mwanamke wa kuishi nae,hivi sasa mwanamke ndio huchagua mwanaume wa kuishi nae.. Unadhani nini kimebadilika?.....

    Tatizo litakuwa ni nini hapa..? Hivi sasa jamii na hichi kizazi kwa ujumla mambo yamebadilika sana, haswa kwenye suala la mahusiano na haya mahusiano ndio msingi wa uchumba,ndoa mpaka kujenga familia na familia zilizo bora ndio huenda kutengeneza jamii zilizo bora. Sasa hv mwanamke hata umtoe...
  11. JamiiForums Tanzania Nitapinga Israel kuwekewa vikwazo na UN hapo baadae.

    Niaje waungwana Wakuu najua wanaJF wengi wa hili jukwaa la "International forum" watashangazwa na msimamo wangu huu, kwa vile wengi wamezoea kuniona mimi nasimamia ukweli, napinga dhuluma na uonevu na kutetea haki ya watu kujitawala kwa mujibu wa sheria za kimataifa. Pamoja na kwamba mimi...
  12. JamiiForums Tanzania Simba kukipiga na El-Qanah ya Misri, Mechi ya kwanza kirafiki hapo kesho 22.07.2024

    Ewe Mpenzi wa Soka na mfuatiliaji wa Timu kubwa Pinzani za Tanzania yaani Simba SC na Young Africans habari hizi zikufikie popopte ulipo. Timu ya Simba iliyopo kwenye maandalizi ya msimu ujao itakipiga na El-Qanah ya Misri ikiwa ni mechi yake ya kwanza ya kirafiki katika mandalizi ya Msimu...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa anayejua bambo na mtanga wanapatikana wapi hapo tabata aniambie

    Nashindwa kujua kwanini serikali haikuwapeleka hawa wasanii wawili huko Korea wakati mchango wao kwenye maigizo ya vichekesho upo wazi. Anyway mimi nataka nije dar kesho kutwa sasa natamani kweli nikutane na bambo nimnunulie bia najua kwa sasa maskani zao nahisi ni tabata bima au magengeni ila...
  14. S

    JamiiForums Tanzania CCM itakuja kugawanyika na kuzalisha chama kingine cha upinzani na hapo ndo itakua mwanzo wa upinzani imara

    90% ya watanzania wote ni ccm. ukichekiki mwenendo wa ccm watu wengi wanataka vyeo vya kuteuliwa au kuchaguliwa kwa kura. CCM kuna watu wengi sana ambao wanakosa teuzi ila wanavumilia tu.kwa machungu makada wote wa ccm wazee kwa vijana shabaha yao ni teuzi ili watafune keki ya nchi tatizo...
  15. JamiiForums Tanzania Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

    Wanabodi, Watanzania wote waliosoma enzi za mkoloni mpaka tunapata uhuru, tumekuwa na elimu ya aina 3. Shule za serikali, Government Schools, Shule za Mission, na elimu ya madras kwa ndugu zetu Waislamu. Shule za serikali zilikuwa chache na zilichukua wanafunzi wachache tena vichwa kweli...
  16. JamiiForums Tanzania Dunia itakuwaje Trump atakapoapishwa kama Rais wa Marekani hapo mwakani?

    Kabla ya mdahalo wa urais wa leo Donald Trump alikuwa ameamuacha Joe Biden kwenye kura za maoni. Lakini mdahalo wa huu umefunga kabisa maneno. Ni wazi kuwa Trump sasa njia ya ikulu ni nyeupe kabisa. Biden alikuwa na hoja nzuri na aliandaliwa vyema ila afya yake na uelewa wake sababu ya uzee...
  17. JamiiForums Tanzania Simba wakimpa thank you CHAMA ndio nitaamini wako serious na Mabadiliko, tofauti na hapo YANGA BINGWA 2024/2025

    Hizi kelele za Thank You ni kama zimemponya Mangungu, vipi ndugu zangu tuwape muda au bado libeneke liko palepale? Ngoja kwanza nicheke kikatuni Teh teh teh teh teh teh teh! Huyu mchezaji huwa anadhihakiwa sana na mashabiki kwamba kachoka na anaichomesha timu kwenye mechi muhimu! Sasa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Mpina ondoka leo na siyo kesho hapo CCM

    Kwa jicho la kuona mbali ni wakati sahihi wa bwana Mpina aondoke CCM. Ni wazi mfumo wa Serikali ya sasa umemkataa kwa sababu moja tu nayo ni wenzake wanapiga ilhali yeye hafanyi hivyo. Suluhu na salama kwake ni aondoke bila kuchelea hapo CCM.
  19. JamiiForums Tanzania Mwanza: Mlioko Huko Yasemekana Kuna Ajali Hapo Mjini Imesababisha Foleni Kubwa Sana

    Habari na picha
  20. JamiiForums Tanzania Uliyeniuzia simu hii hapo Kariakoo, niseme tu sisi ni watu na sio milima, tutakutana

    Hizi simu za Market Place ni basi tu. Baada ya makubaliano akaniambia nikachukue huo mzigo kwa bei che ya 60k. Nimefika, ile kutest kila kitu kiko poa Niko home nikasema wacha niibusti, nashangaa inafika 64% inaacha kupeleka chaji. Nikatumia hivyo hivyo, ile inafika 30%, chaji inashuka kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…