hapo

High-altitude pulmonary edema (HAPE) is a life-threatening form of non-cardiogenic pulmonary edema (fluid accumulation in the lungs) that occurs in otherwise healthy people at altitudes typically above 2,500 meters (8,200 ft). However, cases have also been reported between 1,500–2,500 metres or 4,900–8,200 feet in more vulnerable subjects.
Classically, HAPE occurs in persons normally living at low altitude who travel to an altitude above 2,500 meters (8,200 feet). Re-entry HAPE is also an entity that has been described in persons who normally live at high altitude but who develop pulmonary edema after returning from a stay at low altitude, this has been called re-entry HAPE. It is severe presentation of altitude sickness.
There are many factors that can make a person more susceptible to developing HAPE, including genetic factors, but detailed understanding is lacking and currently under investigation. HAPE remains the major cause of death related to high-altitude exposure, with a high mortality rate in the absence of adequate emergency treatment.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkuu, huyo mtoto wa mtu unayelala nae kimya kimya siku asipoamka hakuna mtu atakuelewa hapo mtaani

    Mi nakwambia ukweli kabisa Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao... Ipo siku yako nakwambia! Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti...
  2. JamiiForums Tanzania Unatafuta msaidizi wa nyumbani? Kwa Million 100 jipatie Optimus Robot kutoka kwa Elon Musk

    Tajiri mwenye ahadi nyingi Elon Musk wakati wa uzinduzi wa Tesla Robotaxi alionyesha pia humanoids robots zake zinazoitwa Optimus. Kutoka na presentation yake aliahidi kwamba Optimus inaweza kufanya chochote unachotaka. Akazidisha akasema “Optimus ni biggest product ever katika human kind” na...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa walimu tu, chagua nini kinakufaa hapo kuelekea usaili wa sekretariate ya ajira

    UNDERSTANDING THE APTITUDE TEST IN DEPTH AND ITS USE IN ASSESSING TEACHERS For detailed information on the Aptitude Test and how it can be used to evaluate teachers, click the link below: Understanding the Aptitude Test and Its Role in Teacher Interviews 2024 and Other Fields:👇👇👇👇👇👇👇...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote

    Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani. Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba...
  5. JamiiForums Tanzania Yani Syria imegeuka kuwa dampo la biashara na shughuri haramu za mataifa maana ni ngumu kuwa detected hapo.

    Iran ndipo anapompatia silaha hezbollah Iran na Russia ndipo waapopeana silaha na usaidizi mwingine USA ndipo anapopatumia ku-attack adui zake wa middle east ISIS ndipo wanapouzia artifacts za kiajemi walizoiba iraq na syria. Turkey ndipo anapo patumia kupaamabana na resistance ya wakurdi.
  6. JamiiForums Tanzania Unahisi kwanini P Diddy ametaja hayo majina yote hapo? Ukweli ni huu

    https://www.facebook.com/share/v/wXRUZzMo624yBNyF/?mibextid=Mk4v2M Majamaa waliingia nyumbani kwa Diddy na wakachukua kila kitu, ikiwemo hard disk za kamera za siri ambazo Diddy alikuwa ameweka kwa ajili ya kurekodi kila kitu kilichokuwa kinaendelea. Kamera za siri? Yaani alikuwa anarekodi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mbu akimng'ata binadamu, yeye hufa hapo hapo

    Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kuwa mbu akimng'ata binadamu basi mbu huyo anakufa hapo? imekaaje hii wakuu?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tizama picha hii ili ufahamu kuwa Rais Samia aliandaliwa na hajafika hapo alipo kwa kubahatisha

    Ndugu zangu Watanzania, Huwa nawaambieni siku zote kuwa Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu.Hajafika hapo alipo kwa kubahatisha ,hajafika hapo alipo kwa bahati mbaya ,hayupo kwenye urais kama ajali,hakusukumizwa na kufika hapo alipo kimzobemzobe . Amefika hapo kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tangu makonda arudi kwenye nafasi za kisiasa matukio ya utekaji na unyang'anyi yameongezeka! Je Kuna nini hapo?

    Huu ndiyo ukweli Wala haihitaji 🚀 science kujijua hili jambo. Kuna kazi anaziratibu? Mamlaka inamtegemea? Watanzania si wajinga. Uzi tayari.
  10. JamiiForums Tanzania Update Maandamano Sept 23: Tayari Moshi Huu Unafuka

    Ujomile musani!. Nilichokiona na kusoma mtandaoni kimepelekea kupeana taarifa jinsi gani jeshi la polisi linajiandaa hasa kwa Jumatatu ya tarehe 23. Nikiwa njia panda ya Himo hapa moshi naona bus za polisi zikiwa uelekeo wa Dar. Na kuna mdau kaposti bus za polisi zikitoka Morogoro. Hebu...
  11. JamiiForums Tanzania Kati ya Toyota spacio na Toyota raum nichukue gari gani hapo?

    Msaada wataalamu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni hivi hapo mimba itakuwepo au haipo?

    Wakuu nisaidieni hivi hapo mimba itakuwepo au haipo?
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna tetesi kuwa kuna mambo yatafanyika ili kuzima yanayojiri Sasa

    Nimesikia baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa. Hivyo basi ili...
  14. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba vs Al Ahly Tripoli itaisha sare ya 1-1 hapo Jumapili

    Kwenye ulimwengu wa wa roho Mechi ya Simba ambayo itachezwa jpili, umeisha salama, sisi wataalam wa ulimwengu wa roho yaani tunaotazama matukio kabla hayajatokea tumeitazama imeisha hivo Watakaotazama hiyo mechi watatazama marudio Simba watapata goli dakika ya 19, Kwa mkwaju wa penalt, lakini...
  15. JamiiForums Tanzania La Rocka bar ya Kawe, Dar ongezeni ulinzi watakufa wengi hapo

    Leo nilikuwa naaga jirani yangu mmoja pale Kawe. Kijana alikuwa mpambanaji sana sana. Mwisho akaenda kupata mbili tatu La Rocka bar Kawe Kufika akaja Kijana mwingine wakanza pishana maneno. Kijana akakasirika akaenda kuchukua kisu akampa ya moyo Bra bye-bye Rip soldier Bar please tujitahidi...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA KAZENI HAPO HAPO MSIRUDI NYUMA KUWATEKA NI NJIA YA KUWATOA KWENYE RELI

    Ukiona kwenye maisha hupati changamoto jua huna faida au huna athari katika jamii. Leo CHADEMA mumeishika serikali ya CCM pabaya, mumekaribia ukingoni kuitoa madarakani, mumevishika nyeti vyombo vya dola hasa polisi, leo kila kona mumewabana. Kwahyo ombi langu msilegeze kazeni hapo hapo...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Pendekeza Majina ya Wabunge wapya ambao ungependa waingie Bungeni Hapo Mwakani

    Ndugu zangu watanzania, Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Maneno huumba. kwa kuwa mwakani ni Mwaka wa uchaguzi ,na kwa kuwa kuna wabunge wengine walishatangaza kustaafu siasa na kwa kuwa kuna wabunge wengine kutokana na Umri wanaweza kustaafu ubunge na kwa kuwa wengine kutokana na sababu...
  18. JamiiForums Tanzania Tupeane updates za mwenendo wa mvua za VULI hapo ulipo

    Ni kwa yale maeneo ambayo huwa mmezoea kupata mvua mara mbili kwa mwaka mikoa ya pwani ya mashariki, pwani ya kusini, kaskazini na kanda ya ziwa hali ipoje TMA majuzi walitabiri mwaka huu zitanyesha chini ya wastani zitaanza kwq kususua.vipi zimeshaanza week la mwisho la august?kwa ujumla kupoje...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana Mbadala Wake wa kuweza kuvaa viatu vyake katika Uchaguzi hapo Mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Katika uchaguzi wa hapo Mwakani ni vyema tukaendelea kukumbushana na kuelezana ukweli tu kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia, simba wa nyika,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hana Mbadala...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Ni wakati Rais Samia aheshimiwe, kumtusi ni kumkosea sana.

    Watanzania wakati mwingine ni kama watu ambao hawajui nini hasa wanachotaka.Wakati wa utawqla wa Rais Kikwete,maneno yalikuwa mengi sana.,mlegevu,hashuguliki na masuala ya msingi ya nchi,nchi imeoza. Akaja Rais Magufuli,yeye alikuwa strick sana,alikuwa hapendi bla bla au majadiliano sana.Alikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…