hapo

High-altitude pulmonary edema (HAPE) is a life-threatening form of non-cardiogenic pulmonary edema (fluid accumulation in the lungs) that occurs in otherwise healthy people at altitudes typically above 2,500 meters (8,200 ft). However, cases have also been reported between 1,500–2,500 metres or 4,900–8,200 feet in more vulnerable subjects.
Classically, HAPE occurs in persons normally living at low altitude who travel to an altitude above 2,500 meters (8,200 feet). Re-entry HAPE is also an entity that has been described in persons who normally live at high altitude but who develop pulmonary edema after returning from a stay at low altitude, this has been called re-entry HAPE. It is severe presentation of altitude sickness.
There are many factors that can make a person more susceptible to developing HAPE, including genetic factors, but detailed understanding is lacking and currently under investigation. HAPE remains the major cause of death related to high-altitude exposure, with a high mortality rate in the absence of adequate emergency treatment.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kanuni za mchezo zimebadilika, mahusiano hayapo kama yalivyokua hapo awali

    Asili ya muingiliano wa mahusiano baina ya mwanaume na mwanamke kila upande una jukumu lake. Mwanaume ni provider na protector, mwanamke ni reciever na helper, na huu ndio ulikua msingi wa kumuweka mwanamke kando kwenye masuala magumu na muhimu. Bahati mbaya hapo karne za katikati kuna baadhi...
  2. JamiiForums Tanzania Papo Kwa hapo

  3. JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu iliyo salama hapo kariakoo

    Ni kweli tupo kwenye majonzi kama Taifa hivyo yatupasa kushikamana na kuondoa tofauti zetu na kuwa kitu kimoja katika kipindi hiki kigumu kama Taifa. Nimesikia kauli ya mheshimiwa Rais kuwa serikali itabeba gharama zote za matibabu kwa waliojeruhiwa na kwamba baada ya zoezi la uokoaji...
  4. JamiiForums Tanzania Huyo msichana mzuri hapo mbele saivi ana miaka 84, muda unapaa

    hii picha imepigwa mwaka 1960, kama huyo msichana alikua na hata na miaka 20 tu, saivi ni bibi ana miaka 84, muda unapaa
  5. JamiiForums Tanzania Uganda analipwa mara nne ya mshahara wa Daktari wa Tanzania

    Sasa udokta Tanzania umekuwa kama uuguzi au ualimu wa shule ya msingi. Unatolewa kama UPE. By the way how can you strike for your rights if literally you were unqualified to study medicine? Madaktari wenye akili waliishia kwa akina Ulimboka. Nenda page 21, schedule 6. Kama mvivu kusoma...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hapo hamjapewa nchi je mkipewa nchi itakuwaje CHADEMA

    Uongozi wa chama hiki ambacho wengi wanadai wanakiamini kila mtu mbabe, hapo ndio watanzania wajue aina ya watu wanaotaka kupewa uongozi wa nchi, Tundu Lissu ni makamu wa mwenyekiti chadema, ukisema hakukuwa na makubaliano ya nusu mkate wakati Lissu kiuongozi anafuata baada ya Mbowe utakuwa ni...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo na Waislamu wa zamani walichukulia utumwa kama jambo la kawaida ni sio uovu?

    Wakristo na Waislamu waliomiliki watumwa kabla biashara ya utumwa haijakomeshwa walikuwa watu wema wa dini zao au waovu watakaochomwa moto? Kwa nini inaonekana watu wa hizi dini kubwa mbili walikuwa wanachukulia utumwa kama jambo la kawaida tu hapo zamani? Hawakuwa na utashi(conscience)??
  8. P

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu kujidai haamini uwepo wa Mungu, halafu hapo hapo anaamini dini flani, hii inaitwaje?

    Jamaa mmoja hivi anapinga sana uwepo wa Mungu, Mishipa inamsimama kudai Mungu hayupo, na anatoa hoja za kifedhuli kweli kweli, Sasa leo ushahidi wa mazingira umeonesha kwamba jamaa ni mkiristo tena ana hasira Kweli kweli kutajwa vibaya wakristo,huyu tumuweke kundi gani?
  9. JamiiForums Tanzania Hapo ni Kariakoo Mwaka 1975

    Hapo ni Kariakoo Mwaka 1975
  10. JamiiForums Tanzania Wahenga mnakumbuka hivyo vitu vya enzi zile,dondosha komenti kipi umekitumia kati ya hivyo hapo.

    Wahenga mnakumbuka hivyo vitu vya enzi zile,dondosha komenti kipi umekitumia kati ya hivyo hapo.
  11. JamiiForums Tanzania DAKIKA 0 nitakuwa hapo bro!

    Nivumilie bro "Choppa" ipo karibu
  12. JamiiForums Tanzania Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika.

    Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika. Yaaminika bara la Afrika ndilo chimbuko la mwanadamu. Bara hili limekuwa makaazi ya falme nyingi na pia lililopoteza watu wake wengi kupitia biashara ya watumwa. Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika Yaaminika bara la Afrika ndilo chimbuko la...
  13. JamiiForums Tanzania Ajira Serikalini iwe miaka 10 tu, baada ya hapo watu wastaafishwe

    Serikali inatakiwa iwe inatoa ajira kwa miaka 10 tu baada ya hapo mfanyakazi astaafu.
  14. JamiiForums Tanzania Mashujaa wetu wa zamani bado wanathaminiwa katika kufundisha kizazi kilichopo mashuleni?

    Nataka Kujua mashujaa wa kipindi cha nyuma kama kina chifu mkwawa bado wana somwa kweli mtaala wa elimu wa sasa?
  15. JamiiForums Tanzania Watu wanaosali muda huo kisha baada ya hapo anafanya ufusika hiyo ni sahihi?

    Jamaa mmoja bwana ana swali karibia kila siku, ifikapo mchana na hata jioni uwa namuona anaswali katika msikiti mmoja, Huyu jamaa ana familia na watoto ila anachonishangaza ni, anatongoza mabinti wadogo wazuri bila kujali wameolewa au raha. Alafu mchana na jioni anaenda kuswali msikitini...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Sijaona Mchango wa Balozi Hamphrey Polepole kwa Taifa kama alivyotuaminisha hapo Mwanzo

    Habari wakuu. Kwa wale tunaomfahamu MH Balozi Humphrey Polepole tangu miaka ya 2010 tunaweza kukiri kuwa amebadilika sana. Alikuwa ni Mwanaharakati mpenda maendeleo na haki sawa kwa wote. Mpenda amani na Utawala bora. Hata hivyo ameendelea kutuonesha dalili za uwezo wake alipochaguliwa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mchengerwa! Usiishie kutoa maelekezo tu kagua barabara zinazojengwa na TARURA hapo Dar ujionee vituko

    Waziri Mchengerwa nimesikia maagizo yako kwa TARURA kuhusu ubora na viwango vya barabara wanazozijenga. Ombi langu usiishie kutoa maagizo ingia site ujionee vituko mwenyewe. Anzia na barabara za hapo Dar. Barabara zinajengwa kwa design za karne ya 18 kwenye karne ya 21. Kuna barabara mpya...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa kujaza hapo

    .
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbeya: Wafanyakazi wa Dampo la Nsalaga wageuka wafanyabiashara wa bidhaa zinazotupwa hapo

    Zoezi la kujiandikisha limeishia Sasa ni mwendo wa kuhakiki taarifa zako kama ziko sawa. Leo ndugu zangu nimekuja na jambo hili kutoka Kwa hawa watumishi wa Dampo kuu Jiji la Mbeya lililopo kata ya Nsalaga. Hawa watumishi wamekuwa siyo waadirifu kabisa katika majukumu Yao,wanakoelekea watakuja...
  20. JamiiForums Tanzania Yaani uweke Kambi yako eneo ambalo analijua na kila Siku anakuumizia hapo hapo halafu leo ujitutumue Kumfunga na Kufuta Uteja? Wadanganyeni Wehu wenu

    Mimi ninachojua tu ni kwamba leo ndiyo tunaenda Kuachwa rasmi kwa Alama Nne (4) na Wao kuwa Mabingwa tena.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…