HAMNA KUTIA HURUMA, KILA MTU ANAPAMBANA NA MAISHA YAKE!
Kuna kitu nimejifunza kupitia maisha na watu wa mitandaoni: Usidhani kila mtu anayepitia magumu anahitaji dhihaka zenu.
Leo unaweza kuwa juu, kesho ukajikuta chini. Leo unaweza kuwa na uwezo wa kumcheka mwenzako, kesho ukahitaji msaada wa...