halisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba kujuzwa bei halisi ya Vanilla kwa kilo

    Nataka nitafute masoko ya Vanilla nje ya mipaka ila kabla ya yote ningependa kujua bei ya Vanilla ni TZS ngapi kwa sasa hasa maeno inapotoka iwe Kilimanjaro, Bukoba ama Iringa. Naomba anayejua anishirikishe niweze kujua bei ya kwenye source mashambani huko au kwenye zile AMCOs
  2. T

    Kabla hujawa na matarajio makubwa, ni vizuri ukajiridhisha hali halisi ya uchumi wa nchi unayotaka kuzamia

    Kabla ya kuzamia "dream country" yako America, Asia au Ulaya jiridhishe kwanza na mwenendo wa nchi husika kiuchumi kwa kuangalia kiashiria kimojawapo ambacho ni GDP per capita kwa miaka ya 2019 na 2020 kwa mjibu wa data za Benki ya Dunia. Baadhi ya nchi data zake hakuna. NB: Ndio utaelewa kwa...
  3. C

    Serikali ieleze mnunuzi wa korosho inalipia kiasi gani ili kupata bei halisi

    Katika hali ya wakulima kulalamika juu ya bei ndogo ya kuuzia korosho, mkulima awekwe wazi kuwa kiasi kungine amelipia viatilifu, hili hesabu yake ikae sawa. Mtindo wa kugawa viatilifu bure usirudiwe tena, kwa sababu haziendani na kiasi mkulima halisi anacholipia, pia ugawaji hauzingatii...
  4. Tatizo la wajenga mabanda holela na kujiita Wamachinga Suluhu yake haitapatikana kirahisi

    Kwanza tuweke maana halisi ya Machinga, Machinga kwa asili yake ni mtu anae nadi na kuuza bidhaa zake kwa kutembeza. Ingawa hivi karibuni maana halisi ya Machinga haipo tena. Kimsingi Machinga halisi ukiachana nae dakika 20 uwezi kumpata tena. Maana ya Machinga kwa sasa ni mfanya biashara mdogo...
  5. C

    Unafiki: Mkutano wa TEHAMA Arusha ni time wastage, hali halisi ni mbaya tusidanganyane

    Yaani kuna watu kabisa wanalipana posho KWENYE UTOPOLO KAMA HUU, mnavyozungumzia watu kujiajiri na mtu akiwakuta kwenye makongamano kama haya jinsi mnavyojifanya mnaipenda teknolojia na internet huku mkitoa mifano ya nchi nyingine zinavyopiga hatua na kuzalisha ajira sababu ya internet yenye...
  6. Natamani sana kila member humu wa JamiiForums atumie jina na pamoja na picha yake halisi

    Leo nimetafakari sana juu ya hili jambo, kwa maana wanachama wa humu wa JF wakitumia majina pamoja na picha zao halisi kutaleta faida zifuatazo: 1. Kutaongeza kuheshimiana, endapo kila member humu atatumia jina pamoja na picha yake halisi kutapelekea kuheshimiana kwa kuwa member wengi humu...
  7. Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho

    Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho. Kama wewe unaponda kokoto tani 20, unatafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako kutokana na mapato uliyoyapata kwenye kazi ngumu ya kuponda kokoto. Kwa hiyo kama mpenzi wako anayumbisha...
  8. M

    Vijiji vingapi vinapata umeme hali halisi?

    Nasoma kwenye Daily News ya tar. 27 Septemba kuwab"Dodoma regional Commissioner, Mr Anthony Mtaka thanked the President for supporting the region to address a number of challenges. Others are rural electrification projects saying that out of 531 villages in the region, 461 have been connected...
  9. SoC01 Maisha halisi vs maisha ya hadithi

    Naam, tuanze kwa kupeana shule kidogo. Kuna aina mbili za maisha. Maisha ya hadithi na maisha halisi. Maisha ya hadithi ndio yale uliyoambiwa na wale kipindi uko chuo wanapokuelezea jinsi kilimo cha matikiti kinavyolipa. Wanakwambia, ukiwa na milioni moja tu unalima ekari ya matikiti, ukivuna...
  10. E

    Corona ni ugonjwa halisi

    Corona, au uviko ni ugonjwa halisi na upo duniani kote hadi sasa umeingia hadi Alaska nchi zenye baridi sana. Magonjwa yote yatokanayo na virusi hukabiliwa(huzuiwa) na Chanjo (vaccine) tangu enzi za Nuhu. hakunaga anti-virus kama vile Anti-biotics ambazo huuwa Bacteria. Baadhi ya magonjwa...
  11. Kuna sura halisi na sura bandia

    Wanaonekana “wagonjwa” watatu wa uviko (Ramona Khoury, Fawaz Dandan na Osama Ahmad) wakieleza hali mbaya waliyopitia kwenye ugonjwa huu. Walidaiwa kuwa wako Concord Hodpital, kule Sidney, Australia. Kwa “masikitiko” wanasema wanatamani wangejua mapema, wangepata sindano. Kisha wanasema...
  12. M

    Serikali itwambie ukweli kuhusu inflation na thamani halisi ya pesa. Gharama za maisha zimepanda sana

    Siku hizi ukiwa na shilingi elfu 10, inayoyoma kama upepo, thsmani ya pesa haipo kabisa Maisha ya wananchi yanazidi kuwa juu na magumu. Wakati serikali haikuongeza stahiki za wafanyakazi kwa miaka Sita sasa, lakini imewazunguuka na kuwaongezea TOZO lukuki na kodi Lukuki na hivyo kuifanya...
  13. Hali halisi ya pato halisi (GDP) la Tanzania

    Katika kipindi cha mwaka 2001-2010 pato halisi la Tanzania(GDP) limeonyesha kiwango cha wastani wa kukua cha 7%. Ukuaji ulishuka mwaka 2009 na kuwa 6.0%, hasa kutokana na kudorora sana kwa ukuaji wa uchumi duniani. Hata hivyo ulirudia kwenye 7% mwaka 2010. Sekta zilizoonyesha viwango vya...
  14. JamiiForums: Unaweza kuwa VERIFIED, fuata hatua hizi

    Wakuu, Kumekuwa na maombi kadha wa kadha ya watu kutaka kuwa verified. Tumeona vema tuweke urahisi wa mtu kuomba kuwa verified badala ya utaratibu wa awali. Kuwa verified kwako ni kwa hiari yako. Unaweza kusoma Sera yetu ya Faragha kama una concerns zozote > Privacy policy ambayo ina ufafanuzi...
  15. C

    Je, ni kweli kwamba nchi za Magharibi zinatengeneza makundi ya kigaidi kwa makusudi?

    Mara nyingi ninapofuatilia mijadala inayohusu ugaidi, kuna kambi mbalimbali za mawazo. Wengine wanasema ( mfano"Mashehe wa Uamsho" au "Watuhumiwa halisi wa ugaidi Tanzania")"Hakuna ugaidi, ni propaganda za nchi za Magharibi tu", . Wakati utetezi huo ukisemwa, tunaona kweli vurugu na mauaji ya...
  16. Ianzishwe Simba halisi, Mo Dewji abaki na Simba yake ya ukoo

    Ni kitu kinachowezekana, hasa katika hali ya sasa, Kucha za Mo zilizojificha zinaonekana hadharani. Simba original ianzishwe kwa jina la Simba OG, timu ambayo ipo ligi kuu au imepanda inunuliwe kwa bei chee ibadilishwe jina, Mwamwedi abaki na simba yake ya kunyanyasa wafanyakazi. Kuhusi Pesa...
  17. Ushauri: Usiagize chochote nje ya nchi bila kujua gharama halisi za kodi na ushuru utakaolipia

    Moja ya changamoto kubwa wanayokutana nayo wateja wetu ni kuagiza bidhaa kwa njia ya mtandao halafu kukutana na kodi/ushuru mkubwa wa kutoa mzigo pale Bandarini, Uwanja wa Ndege au mipakani. Bei za viwandani (supplier) zinazowekwa mitandaoni huwa ni rahisi na zinavutia kuagiza. Mfano bei za...
  18. Kiama cha CCM ni halisi kitaondoka na watu

    Ni siku na wakati mwingine tena, poleni na majukumu ya kulijenga taifa hili la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waswahili walisema ni "Heri kujikwaa kidole kuliko kujikwaaa ulimi" Kuna viongozi wa kiserikali na viongozi wa CCM ambao wamepewa dhamana hawakukosea kutembea ila walitamka maneno...
  19. Rais Samia Suluhu kama utatawala kwa kutokuzingatia haki, HAKI halisi itahitimisha safari yako utawala

    Ninaposema HAKI namaanisha Mungu. Mungu hujiita haki au mwenye HAKI. Is.45:21 Sisi wananchi wanyonge tunakupenda , ila tutakapohisi haki imekiukwa mahali fulani na wewe kama kiongozi umekaa kimya kwasababu zako binafsi tutamwita mwenye haki aupime utawala wako kisha akiona kuna haki aendelee...
  20. Maendeleo halisi huletwa na mzizi

    Kwenye jamii yako Siasa ndiyo ikuongozayo yaani Mwanasiasa(Maneno), Lakini Ukweli ni kwamba "Maneno" kwa kuwa Hubadilika wakati wowote, hayawezi kisahihi kukuongoza ama kukulinda bila ya kuwa na mzizi wake ambao ni neno! Mtu makini anajua hili; "Nyuma ya Rais [sii wakati wote utamwona] ila ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…