hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wadau, msaada haraka hali hii inatesa sana muda huu

    Hapa sina amani kabisa wala furaha kuanzia mida ya saa 3 baada ya kula. Nahemea juu juu huku macho yamenitoka kama mtu aliyeshikwa ugoni, hata kumeza mate tu nashindwa hali inazidi kuwa ya hatari sana kwangu. Nimekula nyama choma, mishkaki, sausage na mtura. Hivyo vyote toka mchana leo nlikuwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana hali mbaya kuelekea 2025, Wana-CCM wanatamani wapinzani wapewe nchi. Anaweza asipate hata 30% ya kura

    Tangu nianze kufuatilia siass za nchi hii, sijawahi ona kiongozi wa CCM alie madarakani akikataliwa, kupingwa na kuongezewa vivyo sivyo kama Mama yetu wa leo. Kwanini hali hii? 1. Mama kulinganishwa na Mwendazake Mama kulinganishwa na Mwendazake na hapa ndipo hata baadhi ya wana-CCM...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kurukwa na akili naombeni kujua uzoefu wenu na namna mlivyoweza kurudi Kwenye normal state

    Salaam Kwenu wakuu! kama Kuna members walishawahi kupitia changamoto ya kurukwa na akili naomba wanisaidie uzoefu wao. Nifanye Nini natamani sana kujua yafuatayo kutoka kwao. 1. Ukirukwa na akili maisha unakuwa unayatafsiri katika namna ipi katika angle ya Pesa, na mapenzi? 2. Mtu akikuita...
  4. JamiiForums Tanzania Mwekezaji Mo Dewji please Say something hali si Shwari ndani ya Simba SC kama tunavyolazimishwa Kuamini

    Nimedokezwa na Mtu wa Ndani ambaye pia ni 'Credible Source' wangu kuwa hili la Dejan Mzungu ni cha Mtoto, ila kuna Fukuto Kubwa ndani kwa ndani ila linazimwa kwa Nguvu ya Soda tu. Nawaona taratibu sana Yanga SC wanaanza Kutoka katika Upuuzi uliopo na unaoendelea Kukomaa ndani ya Klabu yangu...
  5. JamiiForums Tanzania Hali hii ya Kimahusiano hutukuta Wavulana

    Katika kumpenda mtu huwa kuna vitu vingi sanaaa na tunatofautiana. Kuna Wavulana wanaona mwanamke mwenye makalio makubwa ndiye anabamba sana na Wapo wengine hupenda wanawake modell au Wembamba.. mwengine hivo vyote haangalii unakuta anachojali ni Kukutana na mwanamke fundiiii, yani kitandani...
  6. JamiiForums Tanzania Nchi ambazo huwa zinabana polisi hali ya usalama huwa mbaya sana

    Wanasema barabara ya kuzimu imesakafiwa kwa nia njema. Watu wanaopinga mauaji yanayofanywa na polisi kwa washukiwa wa uhalifu wana nia njema sana. Na ni kweli kuna polisi waovu na wanatakiwa kudhibitiwa na kushughulikiwa. Lakini hili ni suala la kuangalia kwa makini sana. Ukishaanza kuwabana...
  7. JamiiForums Tanzania Una hali ngumu ya kipesa? Nakupa hii mbinu bure kabisa, kuanzia sasa usilale njaa tena

    Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana. Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi? Turudi kwenye mada. Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa...
  8. JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Mungu nisingeumba dunia yenye hali ya sasa

    Kila nikitafakari changamoto ambazo baadhi ya watu wanapitia huwa naishia kusema ningekuwa Mungu nisingeiumba dunia hii jinsi ilivyo sasa. Hapa ninamaanisha ningeiumba bila uwezekano wa kuishia katika hali ya sasa. Ulemavu, magonjwa, vilio, mauaji, vita, ugaidi, ubakaji, rushwa n.k, vinaifanya...
  9. JamiiForums Tanzania Dini hizi. Kwa hiyo King Charles atakuwa mkuu wa Anglikana na hali alitalikiana na kuoa tena?

    Hili litakaaje kwa waanglikana. Kwa kawaida mfalme au malkia wa Uingereza ndiye mkuu wa kanisa la Anglikana. Sasa huyu ndoa yake aliyopo leo haina baraka za kanisa. Atakuwaje kiongozi wa kanisa hilo?
  10. JamiiForums Tanzania Wapambanaji wenzangu, Ungewezaje kui-handle hali hii?

    Habari yenu wakuu, Huu uzi kama unavyojieleza hapo ni kwaajili ya wapambanaji wenzangu katika maisha, hivi katika hali ya kawaida upo kwenye 20-30yrs and still maisha hujayapatia kivile kwa kuwa una uwezo wa kujilisha wewe pekee yako hivyo basi hauna mke wala mtoto kwa wakati huo, Ila unakuta...
  11. JamiiForums Tanzania Afrika kila Rais akiingia madarakani anasema amekuta hali ya uchumi ni mbaya. Je, ni lini uchumi wetu utaimarika?

    Naibu Rais, Rigathi Gachagua amesema Serikali ya Awamu ya 5 imerithi Uchumi mbaya kutoka awamu iliyopita na wanatafuta suluhu ya kudumu. Amewataka Wananchi kuwa na subira maana Ndani ya Siku 90 hadi 100 Uchumi utaimarika.
  12. JamiiForums Tanzania Kwa maneno ya Coach Nabi na kwa hii hali kama Zalan wangeshinda ningeamini Uchawi Upo. Tuwaombee tu.

    Kwa haya maneno nimemwelewa mno Coach wetu Nabi. Nimemwelewa kwa lugha nyingine anachomaanisha. Hawa jamaa hata pesa ya kula ilikuwa changamoto. Ilibidi sisi Yanga tuwasaidie. Hili ndo gari walikuwa wanalitumia hapa Dar. Imagine mwenyewe.
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inahisiwa China imemtengenezea tetemeko Taiwan hali mbaya

    Unaambiwa muda huu hakukariki huko Taiwan na hali ya hatari ilishatangazwa tayari. Inasemekana China kaunda Tetemeko la Sunami kuiangamiza Taiwan! Inasemekana lakini.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii, Mmarekani hana mpinzani wadau: jiandaeni tu kuolewa!

    Yanayoendelea huko Ukraine na Russia nilifikiri ni mihemko na ujuaji mwingi tu wa wabongo.......kumbe ni kweli mzee mzima putin anakutana na wakati mgumu; Vyombo vyote ninavyoangalia sasa, hata vile visivyo rafiki wa marekani, vinatangaza tu sasa kuyumba kwa urusi. Nikikumbuka jinsi dunia...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke wazee wetu waliotangilia lakini tuwekeze fikra kwa hali ya sasa na ijayo

    Tanzania kumekuwa na utamaduni wa kupenda kufikiria vitu kwa kindoto zaidi kuliko hali halisi Hata kwenye groups zingine kuna wanaofikiria wakati wa Nyerere na Mwinyi maisha yalikuwa rahisi kuliko sasa kitu ambacho sio kweli. Au uchumi ulikuwa mkubwa zaidi kitu ambacho sio kweli. Hata wengine...
  16. JamiiForums Tanzania Panya Road - Mtanzania wa hali ya chini ni mhanga mkubwa!

    Ndugu zangu, Baada la tukio la mauaji ya mwanafunzi kawe, nimeona leo nililete hili! Ukiangalia matukio haya ya Panya Road sehemu ambazo huwa zinatajwa kuathirika mara kwa mara ni maeneo ambayo sisi kitanzania tunaita "uswahilini". Huku uswahilini ndipo wanaishi wananchi wa hali za chini sana...
  17. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mwarobaini wa kutibu hali ya ubakwaji/kulawitiwa kwa watoto kwenye jamii yetu ya Watanzania

    MWALUBAINI WA KUTIBU HALI YA UBAKWAJI AU KULAWTIWA KWA WATOTO KATIKA JAMII YETU YA KITANZANIA. Ubakaji maana yake ni ile ya mwanaume kumuingilia mwanamke bila ridhaa yake pasipo kujali ameingiliwa kwa kutumia kitu gani. Kulawitiwa ni ile hali ya mwanaume au mwanaume kuingilia kinyume na...
  18. JamiiForums Tanzania Kuendekeza "Undugulisation" kumeifanya serikali ya Awamu ya 6 imepwaya Mapema sana. Possibly, hali ikawa Mbaya zaidi.

    -Teuzi zimejaa Wakwe, mashemeji was Mitala kina Mchengerwa ambao hata waboronge vipi hawatatumbuliwa. - Teuzi za watoto was vigogo kina Nape, Makamba, ambao kiuhalisia hawanq jipya tRNA zaidi ya kutafuna nchi na kuumiza watu. - Mwugulu akili hana kabisa na hajawahi kuwa na jambo lolote LA...
  19. JamiiForums Tanzania Simba Sports Club na ubunifu wa hali ya juu usio na tija

    Simba wamejaribu kufanya jambo tofauti lakini lisilo na tija. Nadhani ni wakati sahihi wa kufocus kwenye kubuni jezi kali ambazo zitashindana na za @yangasc1935
  20. JamiiForums Tanzania Nimekunywa haya maji katika kijiji changu, baada ya kumaliza chuo nakuta hali ni ileile!

    Nimemaliza chuo narudi kijijini nakutana na yaleyale, nikaacha kazi na kuingia kwenye tech nikiamini tech itatatua matatizo haya mpaka kilimo, nakutana na tech Ecosystems yenye maneno mengi, nikafeli, nikaamua kurudi kijijini. Nikakuta matatizo ni yaleyale, nimekaa vijijini na kushuhudia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…