hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Umekutana na hali kama hii kwenye usafiri wa umma, utampisha nani?

    Kwako mdau, vuta picha upo kwenye usafiri wa umma na hali ndiyo hiyo. Je, utampisha nani?
  2. JamiiForums Tanzania Naweza vipi kukabiliana na hali ya kujisikia hatia (guilty conscience)?

    Nimefanya mambo fulani ambayo yameniletea aibu na bado najisikia hatia na kukosa kujiamini. How do i move on... Vitu kama ulevi wa kupindukia, kutukana watu, kupoteza pesa nyingi nk.
  3. JamiiForums Tanzania Hali halisi ya ajira ya Ualimu Tanzania

    KUMBUKUMBU Ni heri kukumbuka kwa kuwa tunao ubongo, mwezi march 2013 ndipo ilianza safari, ni safari ya Abunuasi ya kusubir kustaafu! Naacha ndugu zangu, na mali zao za thamaniiii, mashamba na vinyungu nikiwa ni mwenye nguvu. Siendi tena site kwenye kazi zangu za ujenzi kwa Santona naachana na...
  4. JamiiForums Tanzania Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

    Blog yangu ina miaka miwili lakini hamna lolote; Hamna hela Hamna viewer Hamna comment Hamna faida yeyote Wakuu niliingia kwa kukurupuka kwa kuwasikiliza Motivation speaker. Naambulia kulipia tu domain
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii kuna haja ya kukaribia ballot box kweli 2025?

    Ni taarifa za kushangaza, za kutisha, za kukera na kuogofya sana. Nimeongea na viongozi wengi wa ngazi zote, za chini, za kati na za juu. Wote wanakubaliana katika jambo moja: wananchi hawasaidiki, kwa hiyo waachwe kama walivyo, wasijaliwe na watawala "wafanye yao." Hali ilivyo sasa ni kwamba...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mfungo wa Ramadhani umeanza, mahali ulipo sukari imeshuka bei? Hali ikoje kwa bidhaa nyingine?

    Wakuu kwema? Waziri Bashe aliahidi sukari ingeshuka bei mfungo wa Ramadhani ukianza. Mfungo umeanza, bei ya sukari imeshuka mahali ulipo? Bidhaa nyingine vipi, kuanzia maharange, mchele, sembe, mihogo, magimbi, nk?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hali ya Rushwa ya Ngono Nchini

    Rushwa ya Ngono inahusisha Dhuluma na Unyanyasaji, na inakiuka Haki za Binadamu na Heshima ya Watu. Aina hii ya Rushwa hutumia nguvu ya Kisaikolojia kumshawishi Mtu kutoa Mwili wake Kingono ili kupata Upendeleo kama Safari za Kikazi, Matokeo mazuri Chuoni, Unafuu wa Kazi, Kupanda Cheo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu utabiri wa hali ya hewa

    Naomba nielemishwe kuhusu utabiri unaotolewa na Watalaam. Anaposema kuwa eneo fulani watapata mvua ya WASTANI na juu ya WASTANI ana maana gani?.
  9. JamiiForums Tanzania Hali gani ilikufanya ujiulize uwepo wa Mungu?

    Najua wengi tunapitia changamoto mbali mbali zinazopelekea kujiuliza kama kweli Mungu yupo. Binafsi kuna changamoto nazipitia ambazo mara kadhaa zimenifanya nijiulize hili swali. Lakini kitendo cha kwamba bado naishi na sijapata hata nguvu za kuumaliza uhai wangu mwenyewe naamini kweli Mungu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete alikuwa akikimbia nchi kila inapopata skendo, Rais Samia anarudi nchini kila hali inapotaka kuwa ngumu

    Mfumo wa Utawala wa JK ulikuwa wa safari nyingi nje. Nyingi ya safari zake zililenga zaidi kukimbia presha ya kisiasa ndani ya nchi sambamba na ugumu wa maisha. Pale alipobaini patatokea hoja ngumu ya yeye kusimama kama mwenye nchi kuamua alifafanya vyovyote iwezekanavyo awe nje ya nchi kupisha...
  11. JamiiForums Tanzania Naumwa na mwili unachoka lakini hospitali hawaoni kitu, inaweza kuwa kitu gani?

    Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa. Sina kachanga sina presha ni nini? Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ni katika hali gani Askari anaruhusiwa kutumia bunduki?

    Sijawai kuwa Askari ila naona kuna matumizi yasiyo sahihi ya nguvu na risasi kwa wahalifu au watuhumiwa. Kwa kisa hiki kilichomsababishia majeraha makubwa binti wa miaka 16 kwa kupigwa risasi na askari utaona kabisa hapa kuna kitu hakijakaa sawa. Risasi zinazopigwa hovyo hovyo zimegharimu...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ya Haiti yatangaza hali ya Hatari na Marufuku ya Kutoka Nje Usiku

    Serikali imetangaza hali ya dharura na amri ya kukaa ndani (kuanzia Saa 12 Jioni - 11 Asubuhi) hadi Machi 6, 2024 kwa Wakazi wa eneo la Ouest linalojumuisha Mji Mkuu katika jitihada za kukabiliana vurugu kwenye Magereza Mawili zilizowawezesha Maelfu ya wafungwa kutoroka Machi 3, 2024 Vurugu...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Asilimia 80 ya maji ya kopo Dar es Salaam ni feki na machafu, hayafai. Kwa hali hii usalama wetu uko wapi?

    Kujali afya ya binadamu mwenzio hata kama unafanya biashara na unatafuta hela ni muhimu sana. Wafanyabiashara mnatuua bila huruma sisi waja wema. Nimefika Mbezi mwisho barabara inayokwenda Kinyerezi kuna ofisi maalumu ambayo wanakusanya makopo na kupakia maji machafu yasiyofaa hata kidogo...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hali ya kiwango cha Rushwa nchini Tanzania

    Kuna vigezo kadhaa vinavyotumiwa kuangalia kiwango cha rushwa katika nchi. Hizi ni pamoja na: Transparency: Kiwango cha uwazi katika shughuli za serikali na taasisi za umma ni kigezo muhimu cha kuangalia rushwa. Nchi ambazo zina mfumo mzuri wa kufanya maamuzi kwa uwazi na kuchapisha taarifa za...
  16. JamiiForums Tanzania Mamlaka hali ya hewa, husikeni zaidi kwenye Ziara ya Viongozi wa Juu!!!

    Naona viongozi wanajifanyia fanyia tu Ziara , matokeo yake ,Mikutano mingi ya Viongozi imeenda Kombo kisa MVUA. Au hatuna hakika na tabiri zetu ?
  17. JamiiForums Tanzania Watoto kufanya ukahaba jijini Dar es salaam. Tatizo ni nini?

    Kumekuwa na idadi kubwa sana ya watoto wa kike wanao jihusisha na biashara ya ukahaba. Wengi wao kimuonekano wanapaswa kuwa wanafunzi wa sekondari. Je tatizo linaweza kuwa nini na nini kifanyike kuokoa kizazi? Au hatujui madhara ya kuwa na kizazi cha makahaba. Ukahaba ni roho moja chafu...
  18. JamiiForums Tanzania KERO Hali mbaya ya huduma Hospitali ya mkoa Temeke

    Hali ya huduma Hospitali ya Mkoa Temeke ni mbaya sana Nimekuja na mgonjwa ni zaidi ya dakika arobaini hakuna huduma yoyote, vyumba vya madaktari viko wazi, Waliopo wanadai kila mmoja sio zamu yake. Wagonjwa tuliopo hapa hata hatuwaelewi, wengine hawajui wanasaidiwa na nani na...
  19. JamiiForums Tanzania Umewahi kusikia dhana gani kuhusu hali ya Ujauzito ambayo ungependa kufahamu undani wake?

    Kuna dhana nyingi ambazo watu huishi wakiamini kuhusu hali ya ujauzito. Dhana hizo hutofautiana kati ya jamii moja hadi nyingine. Je, mdau wetu wa JamiiCheck unafahamu dhana zipi kuhusu hali ya ujauzito? Zitaje upate undani wake
  20. P

    JamiiForums Tanzania Hali ya vyoo kwenye shule anayosoma mtoto wako ikoje?

    Wakuu kwema? Katika mambo ambayo wazazi huzingatia kuuliza yakoje shuleni, vyoo huwa havimo na kama kuna wazazi wanauliza basi ni 1%. Katika sehemu zinazoongoza kwa uchafu katika mazingira ya shuleni vyoo ni namba moja ikifuatiwa na canteen. Jamani kuna baadhiya shule vyoo ni vichafu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…