hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nifanyeje kuweza kufanya cheku-up ya figo na ini kwa bima wakati sina tatizo au dalili yoyote ya ugonjwa?

    Habari za asubuhi, Nimesafiri kuja mkoa fulani kuna Taasisi kubwa ya afya nzuri Sana mimi ni mla pombe wa kiwango cha 5G Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kuziacha na nadhani huu ndo muda sahihi ingawa sijaona bado Madhara ya kiafya zaidi ya kiuchumi na kijamii pekee.. So ili niache Kwa amani...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Nawashwa uume nikishiriki mapenzi

    Naomba msaada wa mawazo au hata tiba. Inakuwaje pale ninapoingiza uume kwenye uke naanza kuwashwa mpaka naahirisha tendo la ndoa? Maana hali ni mbaya.
  3. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ifuatilieni hali ya ukuta wa kiwanda cha SIMTANK cha Tabata TIOT

    Naomba kuwapa taarifa kuwa kuna ukuta wa kiwanda cha SIMTANK kilichopo maeneo ya Tabata TIOT kinachopakana na Asas. Ukuta huu huenda ukaanguka muda wowote hivyo msisubiri ukuta huu ulete maafa ndio muanze kumtafuta mchawi.
  4. JamiiForums Tanzania Hali ya umeme haijatengemaa maana kuna zima washa nyingi. Huku ndio kule kuajiriwa kwa kujuana

    Nilibaki nimebung'aa jana baada ya umeme kurejea mida ya usiku. Nilitegemea itakuwa one test au on or off ila cha ajabu usiku manane bado ilikuwa ni off on mara uwashwe mara uzime. Nikajiuliza inakuaje unafanyia majaribio kazi yako kwenye nyumba milioni za watanzania. Hakuna chumba cha...
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO Barabara ya Kigoma-Kibondo-Busunzu hali ni tete

    Kutokana na mvua zinanyesha barabara ya kigoma-kibondo-busunzu imemomonyoka na inekuwa usumbufu na hatarishi kwa watumiaji wa barabara hiyo. Mamlaka irekebishe barabara hii ili huduma iendelee kwa watumiaji. ========= UFAFANUZI WA TANROADS Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kigoma, Mhandisi Narcis...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii Afrika kuja kujitegemea ni ngumu sana

    Prof. Michael Hudson Mchumi kutoka Marekani anasema kuwa sababu zinazopelekea deni la Afrika kuwa tofauti na la Marekani ni kwasababu deni la Marekani lipo katika sarafu yake (Dola) Hivyo Marekani inaweza kujichapishia fedha zake na kulipa deni lakini Afrika deni lake halipo katika sarafu...
  7. JamiiForums Tanzania Picha: athari ya mvua Huko mtaani kwako Hali ipoje?

    Mitaa yetu pamoja na mvua kuathiri maeneo yote ikiwemo miundombinu bado kuna baadhi ya wahuni wanafurahia Hali hiyo ya mvua maana ni fursa kwao
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Miundombinu ya Mkuranga ni mibovu, mvua inaongeza tatizo, Wananchi wa hali ya chini ndio tunaoteseka

    Mwanzoni Miaka ya 2000 kila mvua iliponyesha wakati wa kuvuka Barabara tulikuwa tunalazimika kuvua viatu na kukunja nguo kisha tunavuka. Miaka zaidi ya 20 baadaye hali tuliyoizoea kuvuka kwenye maji kila mvua inaponyesha ndio ileile. Miundombinu yetu wakazi wa Mkuranga kwa asilimia kubwa ni...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa hali inavyoonyesha CHADEMA kwa sasa

    Bila kuungana na vyama vingine dhidi ya CCM madhubuti sana kwa sasa, watapata aibu kubwa sana kwa kushindwa kwa fedheha sana, kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024, kakini pia watashindwa vibaya mno uchaguzi mkuu2025. Kama hiyo haitoshi, ubinafsi, kutokuaminiana, uchu na...
  10. JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda: Wazazi wana haki ya kuzuia Watoto kwenda Shule nyakati za Mvua kubwa

    Wizara ya Elimu imezipongeza shule zilizochukua hatua ya kuwapumzisha wanafunzi wake kwa muda kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huku ikisema inaendelea kuwasiliana na Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) ili kuona kama kuna umuhimu wakuchukua hatua zaidi. Hayo yamesemwa leo Jumatano Aprili...
  11. G

    JamiiForums Tanzania FIFA wanaua soka, Kila timu inayoshiriki kombe la dunia la vilabu kupewa takribani shilingi bilioni 130, Mpira wa Afrika unaenda kuwa farmers league

    Hasa hapa kwetu Afrika kwenye timu ambazo hazifiki hata asilimia kumi ya hicho kiasi Unazipa timu bilioni 130 kwa kushiriki kombe la mwezi, inakuwa ngumu sana kwa timu zenye bajeti za bilioni 8 kushindana na hao wanaopewa mizigo mizito. Vuta Picha leo hii hata Mtibwa kavuta hicho kiasi, Yanga...
  12. JamiiForums Tanzania Hali ni Tete

  13. JamiiForums Tanzania Hali ya Mazingira na Miundombinu ikoje katika eneo lako kutokana na Mvua zinazoendelea?

    Ripoti mbalimbali zinaonesha maeneo mengi ya Nchi yanakabiliwa na Mvua zinazoendelea kunyesha na kuathiri shughuli mbalimbali za kila siku ikiwemo Miundombinu Hali ikoje katika eneo lako na je, kuna usalama?
  14. JamiiForums Tanzania Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

    Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu. Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga Afrika imeisulubu Simba jumla ya magoli 7-2 kama inavyoonekana kwenye bango hapo.. Vipi maoni yako? Je...
  15. JamiiForums Tanzania TMA wakitoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa shule zifungwe kwa kipindi hicho, tusisubiri wengine wazame tena

    Wakuu, salama huko ulipo? Wataalam wa hali ya hewa wakitoa tahadhari ya mvua kubwa kunyesha shule zifungwe kufuatia matangazo hayo, kama tangazo hili lililotolewa juzi. Wote tunajua ni hatari kipindi hiki, kwanini shule hazichukui iniative kuongeza usalama kwa watoto. Halafu cha kushangaza...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kwenye soka Mhhindi hawezi kushindana na Muarabu. Kwa hali hii Yanga mpaka 2030

    Muhindi anachungulia sana pochi na akiweka mzigo mkubwa ujue ni malengo ya kibiashara mfano kuinunua timu moja kwa moja. Hebu ona haya klabu maaruufu waarabu wanaweka mizigo ya maana, wana mapenzi makubwa na pira.
  17. JamiiForums Tanzania Hali ilivyo soko la mabibo inasikitisha sana serikali fanyeni jambo hapa

    hii hali sio nzuri na haipendezi kabisa hapo mabibo ni mjini kabisa ila mvua kidogo tu hali uwa kama hivi hapo tunahatarisha maisha ya watu wengi sana maana hilo soko linategemewa karibu na dar zima..
  18. JamiiForums Tanzania Barabara za Mtaa Kibaha Maili Moja hali ni mbaya, Mbunge kaingia mitini, DC na RC wameuchuna tu

    Haya ndio Maisha yetu watu wa Kibaha Maili Moja, hii ni sehemu tu ya mfano mdogo jinsi changamoto ya Barabara ilivyo hasa mvua zinaponyesha. Watu wameshapiga kelele sana kuhusu hii Barabara inayoanzia Kituo cha Sheli kuelekea Muheza hadi Mpiji, sasa hivi magari hayapiti kwa urahisi, yakipita ni...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kukutana na hii hali?

    Habari za muda huu,ndugu zangu simba fans tujipe pole najua Wengi haijawaumiza kihivyo sabu kushinda mbele ya yanga hii ilivyo sasa lilikua jambo la kubahatisha..all in all timu imecheza vizuri,makosa ya mchezo wa mpira ndo yameamua mechi. Twende Kwenye mada: Kwenye Maisha yako ushawahi...
  20. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya hali ya hewa kuhusu swala la mvua na mafuriko

    MJADALA WA MAWAZO : Kuongezeka kwa kiwango cha mvua kinaweza kusababisha mafuriko kutokana na sababu kadhaa, zikiwemo: Mvua kubwa na ya muda mrefu. Kuongezeka kwa kiwango cha mvua kunaweza kusababisha mvua kubwa na ya muda mrefu ambayo inaweza kuzidi uwezo wa mifereji ya maji ya asili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…