hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Hali ya Kusikitisha ya Misitu ya Aberdare Yazua Hofu na Mshangao Mkubwa Miongoni mwa Wakenya

    Wakenya wengi wameachwa na mshangao mkubwa baada ya video kuibuka ikionesha hali halisi na ya kusikitisha ya uharibifu wa misitu katika eneo la Aberdare. Picha na video kutoka eneo la tukio zinasambaa kwa kasi mtandaoni, zikionyesha eneo kubwa lililokatwa miti vibaya na kuacha nyufa tupu zenye...
  2. Mamelod Sundows hali tete

    dk 90 1-1 na Wailete toka Angola, Huenda akashindwa kufuzu Makundi
  3. tunaelekea 2027 ila hali ya vyoo vya maeneo ya umma vinakupa ujumbe gani

    Jamani, tunaishi mwaka 2026, dunia inazungumzia AI, robots na safari za kwenda Mars, lakini ukiingia kwenye baadhi ya vyoo vya maeneo ya umma unajiuliza kama bado tuko kwenye zama za mawe tena nahisi hata zama za mawe vyoo vyao vilikuwa sio vichafu kama sasa huenda walikuwa wanakwenda porini...
  4. T

    Mbeya hali ni tete baada ya kuanza utekelezaji wa agizo la mkuu wa mkoa

    Nimeona mitandaoni na nikajaribu kuwapigia jamaa zangu waliopo mbeya ni kwamba kuna taharuki kubwa na kuna maandamano na migomo inafukuta kwa nguvu sana chini kwa chini kufuatia agizo la mkuu wa mkoa kuhusu hamisha hamisha ya machinga bajaji na bodaboda hasa maeneo ya mwanjelwa.
  5. Kama kuna vipimo basi awahiwe kabla hali haijawa mbaya

    Kama kuna Rushwa Serikalini ni Viongozi wa Dini ndio wameshindwa kuthibiti Rushwa kwa kushindwa kuwaombea waumini wao waache Rushwa” - MAKONDA My Take Nchi hii ipo kinyume sana katika uongozi, watu wanaongea pumba ndio wanapewa majukwaa makubwa.
  6. Picha: Hali ya Gaza kabla na baada ya Vita

    Moja kwa moja...... Mji wa Gaza ulikuwa mzuri sana , makosa na ujinga wa Hamas kuingia mkenge kufanya shambulio la kikatili kukazaa Unyama mkubwa zaidi katika zama hizi chini ya IDF 1. 2. 3. 4. #UziUnaendelea
  7. Q

    TMA: Hali ya El Nino inaweza kuendelea hadi mwaka 2027

    Hahaaa hii inaitwa force kingi hadi mtaelewa tu, nani kakaona kekundu, narudia tena ukiweka hapa na hapa unaliwa kekundu haka hapa. 😎😎😎😎 ============= Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Ladislaus Chang’a, amesema hali ya El Niño inaweza kuendelea hadi mwanzoni mwa...
  8. Naomba ushauri kuhusu hii ndoto

    Nimeota zaidi ya Mala tano kwamba nimekufa,hii ndoto inanipa mawazo sana naomba ushauri wenu,je ina maana gani?@mshana
  9. Hivi Bwana mdogo Mohamed Hussen jana alikuwa na hali gani baada ya kipigo? Yule dogo anakeraga sana.

    Huyu bwana mdogo huwa anajitahidi sana kuhakikisha simba inafeli, waliokaribu naye waseme yupoje kwa sasa?
  10. Nataka kuhamisha makazi Tunduma, wenyeji wa huko hali ikoje kwa ufugaji wa ngamia

    Wadau wa Tunduma nipeni muongozo
  11. E

    Kifo hakina muda maalumu

    Aliyeangalia kifo cha mwanadada baby love nchini haiti aliyeuawa kikatili kwa mapanga na nice B nipe mrejesho hali ikoje baada ya kuitazama video
  12. M

    Baba yangu alilazimisha sana nimpe namba ya simu ya mchumba wangu, sasa anampigia simu hadi mara 10 kwa siku kumjulia hali

    Wakuu kwema, Hii stori inamuhusu mtu wa karibu na mimi naileta kwa niaba yake, kanitumia anahitaji ushauri, nimeandika kwa kutumia uhusika wangu. Nimekua na mahusiano na mchumba wangu kwa muda wa maika 6, na sasa nikaona imefika wakati wa kumuoa, nikaamua kwenda kumtambulisha nyumbani kwetu...
  13. Ushauri wanaopewa vibali vya kumiliki silaha wapimwe akili kila mwaka pls..else tutazika wengi kwa hali hii..pls n pls

    KUTOKANA NA MAMBO YANAYOENDELEA KILA SIKU MARA MUME.KAMUUA.MKE NA SILAHA MARA MKE KAMUUA MWENZIE NA SILAHA TUNASHAURI HAWA WATU MNAOWAPA SILAHA WAMILIKI WAPEWE MITIHANI YA KUANGALIAA AKILI ZAO KILA MWAKA TAFADHALI MKUMBUKE MNAVYOWAPA WENGINE WANAKUWA NA FURAHA KWENYE NDOA ZAO LAKIJI...
  14. A

    KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

    Chuo kimepitisha waraka mpya unaoainisha kuongezeka kwa gharama za kuishi hostel, kulipia mitihani na mambo mengine hadi kufikia zaidi ya laki tano na hii ni njee ya ADA hivyo inatuthiri sisi wanafunzi tuliokuwa tunategemea BOOM ili kulipa ADA ambapo hatukupata asilimia mia moja lakini na muda...
  15. A

    KERO Wakazi wa Kipunguni Hali ya Hewa (Banana) hatujamaliziwa kulipwa fidia ya kupisha Barabara

    Wakazi wa eneo la Kipunguni Hali ya Hewa (Banana), Wilaya ya Ilala, Jimbo la Segerea, Dar es Salaam, tulioathiriwa na zoezi la kupisha makazi kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara. Eneo letu lilikuwa sehemu ya mradi unaohusiana na viwanja vya ndege, ambapo baadhi ya wakazi walipewa viwanja...
  16. M

    Tetesi: Chivayo, aliewahi kufungwa jela kwa utapeli na forgery kakimbia na vibubu kabla ya marejesho, kafoji ajali kuanza maisha mapya ughaibuni

    Baada ya kuangalia video hii nimejiuliza maswai mengi Kila mtu anasema kwa mwili ule hakika ni yeye, nguo alizojirekodi akiwa kenye helikopta zinafanana WHAT IF hata ile video iliyoanza kusambazwa haraka mara baada ya taarifa kuna mtaalam wa kupoteza watu alipewa bilioni 1 kuondoa viulizo...
  17. K

    Kwa hali ya nchi ilivyo sasa; madereva waliogoma wajiandae kisaikolojia

    Mgomo wa mabasi ya abiria na maroli umeitikisa nchi. Umewaonyesha viongozi wa serikali kwamba nchi inaweza kusimama kwa muda na mambo yasiende wanavyotaka wao. Pongezi sana kwa ujasiri huu wa madereva Hata hivyo, pamoja na pongezi hizi bado nina mashaka sana na usalama wa madereva wote...
  18. Unakuta unashuhudia mchezaji anaanza kucheza soka (debut) hadi unashuhudia akistaafu soka wewe bado uko vile vile unaishi na mandoo ndoo unamo lala

    Hali hii ni mushkeli aisee, Wenzangu wa "uchumi wa mandoo ndoo" mmeamkaje?
  19. Video: Mzee Zorro hali yake ki afya haiko sawa

    Mwanamukuziki mkongwe mzee Ally zero tumwombee hali yake ki afya haiko sawa. Hata kama famimia yake haijasema lakini kimwonekano hali yake ki afya haiko sawa. Katika pita pita zangu huko mitandao mingine nimeona video yake kusema ukweli afya yake haiko sawa tumeombee.
  20. Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Hali ni mbayaaaa kwelikweli !!.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…