hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. Mlioezeka paa contemporary mvua zimeanza hali ikoje kwako?

    Vipi hali huko kwako/kwenu? Maji ya mvua yanaingia ndani au?
  2. Hali ya uchafu wa Mazingira Manispaa ya Moshi Kilimanjaro

    Sikiliza
  3. Izzo Bizness: Matukio ya Vifo na kutekwa na kupotea nchini, hali imekuwa ya kutisha zaidi

    Rapa Izzo Bizness ameelezea hofu yake kuhusu matukio ya hivi karibuni ya vifo na kutekwa kwa watu, akisema hali imekuwa ya kutisha zaidi. Kupitia mtandao wa X (zamani Twitter), Izzo ameonyesha wasiwasi kuhusu ongezeko la matukio ya kutoweka kwa watu nchini, huku akisema kuwa hali hiyo...
  4. Z

    Uzee huwa unaambatana na changamoto lukuki, ikiwemo kupoteza busara, kumbukumbu na kurudi kwenye hali ya utoto

    Kama kuna kipindi tunatakiwa kuwa karibu na wazee wetu ni kipindi wanapo kuwa na umri mkubwa. Wazee wetu wanapo kuwa na umri mkubwa huwa wanakumbwa na changamoto lukuki, ikiwemo kupoteza maarifa na busara, akili zao hurudi nyuma na kuwa za kitoto. Nashauri vijana wenzangu ambao wazee wao bado...
  5. Vijana na mishangazi hali ikoje huko dar

    Hili jina linatrend sana hapa jijini ni nilikuja jambo hili kugundua jambo hili ni kubwa baada ya kuona makamu wa rais naye kuwaonya wasipende mashangazi kwanini vijana wanapenda watu wazima wamama hawa asilimia kubwa wanakuwa wabovu + je vijana hawalijui jambo hili hata mabinti nao kwa sasa...
  6. Kwa hali ilivyo ikitoka amri kuingia 2025 uwe na tsh 500,000 wengi tubaki

    Sijui uko wenzwetu uku kwetu mambo yamekuwa magumu balaaa sijui ndio ukiona ugumu kuna neema mbele inakuja.maana hapa ata wakisema kuingia 2025 uwe na laki 2 naona bado kuna kubaki 2924
  7. M

    DOKEZO Responded Hali ya vyoo Hospitali ya Sokoine, Manispaa ya Singida inatisha, viboreshwe

    Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wa huku tumezoea kukiita Hospitali ya Sokoine, kilichopo katika Manispaa ya Singida ni taasisi kongwe Mkoani hapa Kwa ukongwe wake Hospitali hiyo ilitakiwa iwe na mazingira mazuri haswaa, kuzingatia afya na usalama wa wagonjwa /wauguzaji pamoja na...
  8. Hali ya mitaa ya Mwanza ilivyo baada ya mvua ya leo Desemba 2, 2024

    Hivi ndivyo hali ilivyo upande wa mitaa ya Mwanza kutokana na mvua iliyonyesha leo Desemba 2, 2024 ambapo maji yamejaa katikamaeneo mengi iliwemo kufunika Barabara. Hii ni mitaa ya Furahisa – Kirumba.
  9. Mchezaji wa Fiorentina aanguka uwanjani. Hali yake mbaya.

    Mchezaji wa Fiorentina aitwae Edoardo Bove ameanguka uwanjani na kupoteza fahamu wakati wa mchezo kati ya timu yake na Inter Milan kwenye Ligi kuu ya Italia. Tukio hilo limetokea ghafla dakika chache baada ya mchezo huo kuanza. Kapelekwa Hospital.
  10. Z

    Ndoa yangu ina hali tete

    Habari wakuu, Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu. Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno. Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa. MKE...
  11. Kwanini zinaonekana Hali ya kuwa nime-block

    Msaada wataalam... Kwanini nikiblock namba fulani ya Simu Ila nikija kutazama kwenye setting kipengele Cha block sms and block call Huwa naziona sms zote nilizochat na hiyo namba hata kama nilifuta meseji zote kabla ya kublock.. Wakuu naomba mnisaidie hapa,, naweza kuona kama nimeficha privacy...
  12. Wananchi wa Mlolongo huko Nairobi wamlazimisha kiongozi wao kutembea kwenye maji machafu kuonyesha hali mbaya ya miundombinu

    Wakuu, Inaonekana kama Wakenya wameshachoshwa na ahadi za uongo kwa hivyo wameamua kuchukua sheria mkononi. Wakazi wa eneo la Mlolongo mjini Nairobi wameamua kumpitisha kwenye dimbwi la maji mchafu, kiongozi wa Kaunti yao Daniel Mutinda ili kumuonesha changamoto wanazozipitia kila siku. Video...
  13. LGE2024 Waziri Mchengerwa: Taarifa nilizonazo hadi sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaendelea Vizuri na kwa Hali ya Amani nchi nzima

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewaelekeza wasimamizi wa vituo vya Uchaguzi kuwasaidia wapiga kura kusoma orodha ya majina vizuri ili wote waliojiandikisha wapate fursa ya kupiga kura. Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya...
  14. LGE2024 Hali ilivyo Upigaji Kura Meatu na Itilima Mkoani Simiyu, leo Novemba 27, 2024

    Wananchi wa Wilaya za Itilima na Meatu Mkoani Simiyu wakiendelea na zoezia la kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.
  15. LGE2024 Dkt. Mollel: Hii sio kodi yenu, ni CCM ndio imeleta hela

    Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel akizungumza wakati akiwa katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhamasisha Wananchi wa jimbo hilo kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wa nafasi za uenyekiti wa mitaa kupitia chama hicho.
  16. LGE2024 Uchaguzi Manispaa ya Songea: Vituo 210, Wagombea 987 tayari kwa kinyang’anyiro

    Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Songea, Wakili Bashir Mhoja, ametoa taarifa kuhusu maandalizi ya uchaguzi ulio karibu kufanyika. Akizungumza na waandishi wa habari, Mhoja amesema kuwa hali ya utulivu inaendelea kutawala katika mji huo na kwamba kampeni za uchaguzi zinaendelea kama...
  17. G

    Mwaka unakaribia kuisha nimepata mualiko moja tu wa harusi, hali kwenu ipoje?

    Mwaka unaisha hivyo ni harusi moja pekee niliyoalikwa, ni tofauti na miaka ya nyuma. Labda pengine mlolongo wa matukio kadhaa umefanya mwaka huu kutokuwa kwenye mipango ya kuoa kwa vijana mabachela naowajua, maana kama ni michango ipo. Pengine nikadhani labda tatizo ni uchumi ila nimekataa...
  18. Baadhi ya watumishi hawajawekewa mshahara hali ya kuwa wenzao wa kada/idara moja wamewekewa

    Serikali itoe ufafanuzi kwanini baadhi ya watumishi wamekosa mshahara na wengine wamepata? Je, Hazina imekauka?
  19. N

    DOKEZO Ukosefu wa madarasa shule ya msingi Mkululu

    Hali ni mbaya sana yule ya msingi Mkululu watoto wanasomea chini ya miti kwasababu ya kukosa madarasa. Shule ipo kata ya Mkululu wilaya Masasi mkoa wa Mtwara. Raisi tunaomba msaada wako.
  20. Kazi ngumu aliyonayo Marekani kwa sasa ni kupambana kwa kila hali na China

    Moja ya kazi ngumu inayomkabili marekani sasa ni kupambana kila awezavyo ili kumdhibiti China. Hii ni kazi ngumu sana kwa sababu inahusu maeneo mengi yakiwemo - Ushindani wa kiuchumi, marekani anahitaji kufanya kila namna kudhibiti ukuaji wa uchumi wa kwa miaka mingi ijayo ili isizidi kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…