haki za binadamu

  1. Amnesty International waanza Kumlilia upya Balozi Humphrey polepole

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, kupitia ofisi yake ya Afrika, limetoa wito wa kutaka haki kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania, Humphrey Polepole, aliyeripotiwa kutoweka Oktoba 6, 2025, huku likiingiza suala lake katika kampeni ya kimataifa ya #Write4Rights...
  2. Haki za binadamu Tunahaki ya kuzisimamia kama nchi ndani bila kuingiliwa na nchi au vyombo vya kimataifa.

    Ila uchumi MIKOPO TOKA NJE SAWA EU, WORLD BANK, PEPFAR , US , CHINA, UAE 🤭🤭🤭
  3. Q

    Leo Umoja wa Mataifa UN utaijadili Tanzania kuhusu haki za binadamu.

    The United Republic of Tanzania's 53rd Session of the Universal Periodic Review (UPR) is taking place today, 5 November 2026, in Geneva, Switzerland. The UPR is a United Nations process in which member countries examine one another's human rights records. Tanzania will face questions and...
  4. Ulega: Haki za Binadamu na Demokrasia Huhitaji Kuheshimiwa kwa Utawala wa Sheria na Uhuru wa Mahakama

    Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega, amesema kuwa haki za binadamu, demokrasia na amani hustawi pale utawala wa sheria na uhuru wa mahakama vinapoheshimiwa na kila mtu, wakiwemo viongozi, wanasiasa, wananchi na washirika wa kimataifa. Ulega ameyasema hayo leo, Novemba 5, 2026, katika...
  5. K

    Ushindi Wa wademocrats unamaana gani Kwa watetezi wa demokrasia na haki za binadamu duniani, Trump alikuwa anaangalia zaidi maslahi yake

    Habari wadau, Tutarajie nini kutokana na ushindi Wa wademocrats hasa katika eneo la haki za binadamu na demokrasia duniani Watapata sapoti zaidi au mambo yatakuwa yale yale. Karibuni Kwa maoni
  6. Novemba 5, 2026 Tanzania kujitetea mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa

    Hali ya haki za binadamu nchini Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itachunguzwa kwa mara ya nne na Kikundi Kazi cha Mapitio ya Jumla ya Hali ya Haki za Binadamu (Universal Periodic Review – UPR) cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, siku ya Alhamisi, Novemba 5, 2026, kuanzia saa 14:30...
  7. C

    Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu linaanza kufanya tathmini ya hali ya haki za binadamu katika nchi 14 duniani ikiwemo Tanzania

    Rekodi za haki za binadamu za nchi 14 zinatarajiwa kuchunguzwa wakati wa kikao cha 53 cha Kikundi Kazi cha Mapitio ya Mara kwa Mara ya Hali ya Haki za Binadamu (UPR) cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, kitakachofanyika Geneva kuanzia Novemba 2 hadi 13, 2026. UPR ni utaratibu wa...
  8. R

    Rais Samia: Nchi zinazofanya vizuri wakati mwingine husingiziwa kuvunja haki za binadamu

    Akizungumza leo Novemba 2, 2026, Ikulu Chamwino, katika uapisho wa Viongozi aliowateua hivi karibuni, akiwemo Omar Ali Omar kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, na Jaji Mstaafu Wilfred Peter Dyansobera kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi pamoja na...
  9. ACT: Tanzania ipo katika mkwamo wa Kisiasa, sababu ya ukiukwaji wa Demokrasia, Utawala Bora na Haki za Binadamu

    TAARIFA KWA UMMA HAKUNA MARIDHIANO BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI Leo, Novemba 1, 2026. Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kuwa Tanzania ipo katika mkwamo mkubwa wa kisiasa unaotokana na ukiukwaji wa misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu, na kusisitiza kuwa hakuna maridhiano...
  10. Wanaharakati wa haki za binadamu, Mombasa walaani vikali kutekwa kwa Mwanaharakati wa Upinzani Tanzania, Twaha Mwaipaya

    Wanaharakati wa haki za binadamu mjini Mombasa wamelaani vikali tukio lililoripotiwa la kutekwa nyara kwa mwanaharakati wa upinzani wa Tanzania, Twaha Mwaipaya, wakitaka mamlaka zitoe majibu kuhusu mahali alipo. Soma pia Mwanaharakati wa Tanzania Twaha Mwaipaya aripotiwa kutekwa Kamulu, Kenya
  11. Watetezi wa haki za Binadamu Kenya, wapaza sauti kutekwa kwa Mwaipaya

    Mtandao na Muungano wa Mashirika ya Kiraia, Watetezi wa Haki za Binadamu na Wanaharakati barani Afrika (The Pan-African Solidarity Network- PASNET) umelaani vikali kile ulichokieleza kuwa ni kutekwa kwa mwanaharakati wa Tanzania na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Twaha...
  12. Tundu Lisu kuamua kujidhuru na kujiangamiza mwenyewe kwa njaa kabla ya hukumu yake, ni kutafuata umaarufu na public sympathy isiyo na tija

    Kwasababu kwa kawaida, mtu mwenye changamoto ya afya ya akili ndie pekee huwaza, huamua na kutenda mambo au vitu vinavyo mdhuru, vinavyo muumiza, vinavyo muathiri na pengine vyenye uwezekano mkubwa wa kumuangamiza yeye mwenyewe. Je, mtetezi huyo wa haki za binadamu wa mchongo, anakusudia...
  13. Tundu Lisu hana record yoyote ya kuaminika kwamba ni mtetezi wa haki za binadamu iwe ni kwao Singida, Tanzania, Africa au kokote duniani.

    Na kwahivyo, hakustahili hata kuorodheshwa tu miongoni mwa watetezi wa haki za binadamu wa kuwania tuzo ya haki za binadamu ya kimataifa ya SHAKHAROV. Zaidi ya yeye tundu lisu kua mkiuka haki za binadamu na katiba ya nchi yake, kama kuna mdau yeyote wa heshima wa JF mwenye ushahidi wa records...
  14. Baada ya Tundu Lisu kukosa tuzo ya Haki za Binadamu, huenda David MccAllister akaachia ngazi kama Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Binadamu Bunge la EU

    Kwasababu ndie aliependekeza jina la Tundu Lisu na inasemekana akalichomeka kwenye orodha kinyume na utaratibu, lakini pia ndie aliempigia kampeni ya nguvu sana Tundu Lisu kwa kutumia nafasi yake kama mwenyekiti wa kamati ya haki za binadamu, lakini pia kwa kutumia rasilimali za bunge lar EU...
  15. Lissu ateuliwa kushindania tuzo ya haki za binadamu. Aibu kwa Samia na washauri wake

    Akishinda Samia na genge lake watapata aibu kubwa.👇
  16. THBUB yapokea maoni kwa Waombaji Nafasi ya Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Makamishna na Makamishna Wasaidizi

    TANGAZO LA KUPOKEA MAONI KUHUSU WAOMBAJI WA NAFASI YA MWENYEKITI, MAKAMU MWENYEKITI, MAKAMISHNA NA MAKAMISHNA WASAIDIZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA Kamati ya Uteuzi iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 129 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ilitangaza kupitia...
  17. Wakili Mpoki: Katiba mpya ni msingi wa kulinda haki za binadamu

    Wakili Mpale Mpoki, ambaye amekuwa katika taaluma ya sheria kwa zaidi ya miongo mitatu, amesema mabadiliko ya Katiba ni muhimu katika kujenga mfumo imara wa kulinda haki za binadamu nchini Tanzania. Mpoki, ambaye ameshiriki katika kesi mbalimbali zilizogusa haki za binadamu, uhuru wa kujumuika...
  18. Rasimu ya Muswada wa Sheria ya Kulinda "Mafundisho ya Taifa Kuhusu Jamii" ya Watanzania

    Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi, akiongoza KIkao cha Baraza la Mawaziri =================================================================== JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS – TUME YA MIPANGO Kumb. Na: CEA.50/212/01/A 25 Septemba, 2026 Katibu Mkuu Kiongozi...
  19. R

    Mwabukusi: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imeng'olewa Meno

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini imeshindwa kuwa huru na kutekeleza wajibu wake kikamilifu. "Tume ya Haki za Binadamu kwa kweli haina meno. Imeng'olewa meno, sasa tunaipa kuwa itafune, haitaweza."...
  20. World Whistleblower Award: David Kafulila kiongozi pekee aliyewahi kupewa Tuzo ya Mtetezi wa Haki za Binadamu kwa mapambano yake dhidi ya ufisadi

    == David Zacharia Kafulila was introduced by TICD to Tanzanians as the Executive Director of the Public Private Partnership Center in Tanzania. He is a highly accomplished Tanzanian professional with an extensive background in governance and public administration. His wealth of experience has...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…