hakainde hichilema

Hakainde Hichilema (born 4 June 1962) is a Zambian businessman and politician who has been President of the United Party for National Development, an opposition political party, since 2006.
He is a perennial presidential candidate, having contested five times and lost all: in 2006, 2008, 2011, 2015 and 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Hakainde Hichilema ashinda urais Zambia. Wapinzani wabambikiwa kesi za uhaini

    Anaandika Malisa GJ Tume ya Uchaguzi nchini Zambia (ECZ) imemtangaza Hakainde Hichilema wa chama cha UPND kuwa mshindi wa kiti cha Urais wa nchi hiyo kwa kura 2,965,326 sawa na 60.1%, akifuatiwa na Brian Mundubike wa NRPUP aliyepata kura 1,856,217 sawa na 38.6% ya kura zote zilizopigwa...
  2. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Zambia 2026: Hakainde Hichilema ashinda Urais kwa muhula wa pili

    Hakainde Hichilema ashinda Urais kwa muhula wa pili Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, ameshinda uchaguzi na kupata muhula wa pili wa miaka mitano, baada ya kupata asilimia 61.4 ya kura dhidi ya asilimia 38 alizopata mpinzani wake mkuu, Brian Mundubile. Tume ya Uchaguzi ya Zambia imemtangaza...
  3. JamiiForums Tanzania Hakainde Hichilema atashinda uchaguzi mkuu wa Zambia na hapatakua na Re-Run elections.

    Ni wazi mpaka sasa, mh.Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia anaongoza kwa kura za kutosha kutangazwa mshindi wa uchaguzi huo, dhidi ya wagombea urais wa miungano ya vyama na vyama ya siasa vingine nchini Zambia. Kwa muelekeo wa matokeo ulivyo mpaka sasa, Mh.Hakainde Hichilema atapata ushindi wa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Rais Zambia kufanyika kesho Agosti 13, 2026, Je, Ugomvi wa Hichilema na Lungu utawapa Upinzani nguvu ya kushinda?

    Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Zambia (ECZ), kesho Agosti 13, Wananchi Milioni 8, 786, 300 wa Zambia wanatarajia kushiriki katika moja ya haki yao muhimu zaidi katika demokrasia, haki ya kuwachagua viongozi wao watakaowakilisha katika Bunge na Rais wa nchi, watakaodumu kwa muhula wa miaka...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mchuano Mkali Zambia: Je, Hichilema atatoboa tena au Upinzani utachukua dola?

    Wazambia wanatarajiwa kupiga kura August 13 katika uchaguzi mkuu wa urais unaotajwa kuwa kipimo kikubwa cha mageuzi ya kiuchumi ya serikali iliyopo madarakani dhidi ya ugumu wa maisha unaowakabili raia wa kawaida. Rais Hakainde Hichilema (UPND), aliyeingia madarakani mwaka 2021 na kusifiwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Sehemu ya hotuba ya Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema katika UAPISHO wa Rais Samia

    Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, akizungumza jana wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Rais wa Tanzania, amesema kuwa njia pekee ya kuwalinda vijana wa kizazi cha Gen Z ni kuwapatia elimu, ujuzi, pamoja na fursa za ajira na biashara. Aidha, amempongeza Rais kwa ushindi wake na kwa kuendelea...
  7. JamiiForums Tanzania Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia na role model wa ACT amepatwa na nini mpaka kuwadharau wapigania haki?

    Huyu rais wa Zambia aliyeingia madarakani kama mwanademokrasia wa mfano kwa nini sasa hivi amebadilika sana na kuwa mtu asiyejali tena demokrasia wala haki?! Kuna wakati alikataa hata kwenda kwenye uapisho wa Mugabe kwa sababu uchaguzi uliibwa na haukuwa wa demokrasia ila kwa sasa anawaona...
  8. JamiiForums Tanzania Zambia: Familia ya Hayati Lungu yasema aliacha maelekezo Rais Hichilema asihudhurie msiba wala kusogea popote ulipo mwili wake

    Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu, ambaye alifariki wiki iliyopita akiwa nchini Afrika Kusini, imedai kuwa marehemu aliacha maelekezo mahsusi akitaka Rais wa sasa, Hakainde Hichilema, asijihusishe kwa namna yoyote na shughuli za msiba wake wala kuwa karibu na mwili wake. Kwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Hakainde Hichilema alimpigia magoti Edgar Lungu enzi za utawala wake

    Wakuu nimekutana na taarifa mdau mmoja amechapisha picha ya mtu akiwa amempigia magoti aliyekuwa Rais wa Zambia , Edgar Lungu kuwa alikuwa ni hakainde Hichelema.
  10. JamiiForums Tanzania Anayejua maendeleo yaliyofanywa na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema atujuze

    Salaam wakuu, Kuna usemi kwamba siasa za Afrika zinafanana. Hakainde Hichilema Namfananisha na mpinzani flani wa nchi flani ya waliolala. Je, kuna mambo makubwa yapi amefanya mpaka sasa kuliko maraisi waliopita hapo Zambia?
  11. JamiiForums Tanzania Balozi wa Zambia nchini Afrika Kusini afukuzwa kazi baada ya kuamuru Wafanyakazi wake wa Kiume wamnyoe nywele sehemu za siri

    Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amemfuta kazi Balozi anayeiwakilisha Nchi hiyo Afrika kusini Bi. Mazuba Monze baada ya kutoa maagizo kwa Wafanyakazi wake wa kiume wamnyoe sehemu zake za Siri. Inaelezwa kuwa Balozi huyo alitoa maagizo hayo ambayo siyo ya kidiplomasia kwa Wafanyakazi wake wa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Hakainde Hichilema awafuta kazi Majaji watatu waliowahi kutupilia mbali ombi lake Mahakamani dhidi ya Edgar Lungu

    ZAMBIA: Rais Hakainde Hichilema amewafuta kazi Majaji watatu ambao awali aliwasimamisha kazi kwa madai ya Kukiuka Maadili ya Mahakama, hali iliyoibua shutuma kuwa Rais anaingilia Kisiasa kwenye masuala ya Mahakama. Kwa mujibu wa taarifa, inaelezwa kuwa Majaji hao walishiriki katika uamuzi wenye...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Hakainde Hichilema aifuta kazi Bodi yote Tume ya Kupambana na Rushwa kwa tuhuma za kupokea Rushwa

    Zambia's President Hakinde Hichilema has taken the extraordinary step of firing the entire board of the country's corruption-busting body, after they themselves were accused of corruption, which they deny. It comes days after the head of the Anti-Corruption Commission (ACC), Thom Shamakamba...
  14. JamiiForums Tanzania Zambia: Rais Hichilema aagiza magari ya kifahari yauzwe ili kulinda uchumi wa nchi

    Rais Hichelema ameagiza magari yote ya kifahari nchi humo yauzwe ili kulinda uchumi na kuwataka viongozi waishi maisha ya kawaida kama binadamu wengine huku wakikabiliana na hali ngumu ya uchumi. Hawa ndio wako serious kuendana na hali ya uchumi wa dunia wameamua na kutenda, magari haya ni...
  15. JamiiForums Tanzania Hakainde Hichilema!

    This is the kind of the leader I admire! The one who needs people's views towards development and not based on people's statuses(level of education, family status, personalities etc) . What matters is people perception, plans, strategies and techniques on how to make changes! Na sisi je, lini...
  16. JamiiForums Tanzania Hakainde Hichilema kama hatakengeuka na kubadilika atakuwa Rais bora wa karne

    Kama hatalevywa na madaraka akakengeuka na kubadilika kuelekea upande hasi basi atakuwa Rais bora wa karne ya 21. Hakainde Hichilema(HH)
  17. JamiiForums Tanzania Zambia: Rais Hakainde Hichilema awataka Watumishi wa Serikali wanaotaka VX wajinunulie kwa pesa zao

    Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewataka Watumishi wa Serikali wanaotaka wapewe magari ya kifahari aina ya Toyota Land Cruiser VX kwa ajili ya kuyatumia kwenye kazi wasahau hilo na kama wanaona yana umuhimu sana basi wajinunulie wao lakini sio kwa pesa za Serikali. Hichilema amehoji “Kwanini...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Marais wengine wa Afrika Wana aina hii ya 'Uzalendo' aliyonayo Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema?

    Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani. Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii. Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu...
  19. JamiiForums Tanzania Licha ya Tanzania kuwa na ndege 11, Rais Samia anatumia ndege za abiria

    Rais Hakainde Hichilema kutoka Zambia na Rais Samia Suluhu Hassan kutoka Tanzania ndio marais pekee kutoka Africa wanaokwenda ng'ambo kwa kutumia ndege za abiria|Umma. Rais Samia Suluhu wa Tanzania pamoja na kuwa na ndege mpya 11 zikiwemo zenye uwezo wa kuruka moja kwa moja kwa zaidi ya masaa...
  20. JamiiForums Tanzania IGP wa Zambia ashindwa kumaliza kiapo kwa kutetemeka, nawaza angekuwa hayati Magufuli

    Nchi ya Zambia baada ya mabadiliko ya chama tawala na Rais, wameamua kulifumua Jeshi la Polisi ikiwa ni kutekeleza ahadi ya Rais wakati akiomba kura. Katika hali ya kustaajabisha, IGP Remmy Kajoba alishindwa kumaliza kiapo baada ya mtetemo kuzidi wakati akiapa. Rais Hakainde Hichilema alitoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…