Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.
Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.
Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu...