habari

  1. GE2020 Swali kwa Rais Magufuli: Hofu ya nini juu ya Vyombo vya Habari?

    Hofu yote hii ni ya nini? Mmeondoa "local chanels" kwenye ving'amuzi vyote ikiwemo Dstv l, mmebakiza TBC tu. Mmelazimisha nchi nzima itizame TBC. Hamjaridhika, sasa mmehamia kwenye radio. Mnatunga kanuni za kuzuia watu kusikiliza radio za nje? Lengo ni nini? Yani sasa hivi Dira ya Dunia ya BBC...
  2. J

    Waziri Mwakyembe: Hakuna Chombo cha Habari cha Kimataifa kilichofungiwa na Serikali

    Waziri wa habari Mhe. Mwakyembe amesema hakuna Media yoyote ya kimataifa iliyoxuiwa kufanya kazi nchini. Kadhalika hakuna kanuni yoyote inayomtaka mtangazaji wa media hizo kuandamana na askari kila anapoenda kufanya mahojiano na wanasiasa. Waziri Mwakyembe amesema hayo katika mahojiano na...
  3. Tundu Lissu ameongea na Radio Citizen Kenya asubuhi ya leo, ameleezea hali ya usalama nchini pamoja na suala la Corona

    Hii ndio taarifa mpya inayozagaa mitandaoni kwa sasa. wote mnakaribishwa === Mgombea wa Urais, kupitia Chama cha Upinzania CHADEMA Tundu Lissu, alivyohojiwa na Citizen Online Radio Station, kutoka Nairobi Kenyan Tundu Lissu aongea mengi kuhusu mustakabali wa Tanzania, ambae anagombania...
  4. T

    GE2020 Kutokana na kunyongewa Vyombo vya Habari, Tundu Lissu kampeni zaidi ya nyumba kwa nyumba inahitajika

    Kwa kinyongo cha Serikali hii hadi kuvitishia na ama kuvizuia Vyombo vya Habari kutangaza habari za za Tundu Lissu inabidi CHADEMA wabadili upepo wao wakati wa kampeni. Helkopta itumike kidogo - lakini basi la Nyalandu na gari ndogo zinazoweza kupenya vijijini kwenda nyumba kwa nyumba ndiyo...
  5. A

    Vyombo vya Habari ifike wakati mseme sasa basi

    Ukandamizaji wa vyombo vya habari nchini haujaanza katika utawala wa Rais Magufuli. Nakumbuka kipindi cha Rais Kikwete, mnamo mwaka 2012, gazeti la Mwanahalisi lilifungiwa, na halijafunguliwa mpaka leo hii. Mwaka 2013, Magazeti mawili makubwa, Mwananchi na Mtanzania yalifungiwa kwa muda kwa siku...
  6. Vituo vya utangazaji vyatakiwa kuomba kibali TCRA kurusha matangazo ya Vyombo vya Habari vya Nje

    Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa, Mhandisi Francis Mihayo amevitaka Vituo vya Utangazaji (Radio, Televisheni, Blogs na Online Tv) kuzingatia Kanuni mpya za Maudhui Mtandaoni 2020 na Kanuni Mpya za Redio na Televisheni 2020. Mihayo ameyasema hayo wakati wa kikao kati...
  7. Vyombo vya Habari vinacheza Mdumange wa CCM, vyapigwa marufuku kuripoti mapokezi ya Lissu Jimboni

    MALISA GJ Baada ya Lissu kunusurika risasi 37 na waliompiga, ama kutojulikna , na baadaye kupokwa ubunge wake, na pia kunyimwa matibabu na mafao yake, na watu ambao wana majina ya watakatifu , "Yoana Nduguwai" na "Yohana Alcohol Padlock" huku wakimtakia kifo, Mungu kamtende miujiza kaibuka...
  8. M

    Kampeni kususia Vyombo vya Habari ianze

    Napendekeza campaign Ianzishwe kususia vyombo vya habari vinavyoonyesha ubaguzi kwa chama vya upinzani. Hii style imefanikiwa sana siku za nyuma dhidi ya TBC. Hii inatokana na ukweli kwamba, hawa watu wanaonyesha waziwazi hujuma zao dhidi ya vyama kama CHADEMA Majuzi, Mwananchi Digital ilifanya...
  9. GE2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

    Kutoka maeneo mbalimbali kwenye viunga vya mji wa Dodoma, Tundu Lissu leo anachukua Fomu ya Urais. === Tundu Lissu leo kwa Mara ya kwanza anarejea katika mji wa Dodoma akienda kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais. Ikumbukwe Tundu Lissu mara ya mwisho kuondoka katika mkoa huu ni baada...
  10. Askofu Mwamakula: Ni nani wa kuionya TBC kuacha upendeleo?

    NI NANI WA KUIONYA TBC KUACHA UPENDELEO?! TBC inaongozwa na AYUBU RYOBA,huyu ni mhafidhina aliyegeuka kuwa mwimba kwaya. ameharibu sana TBC na kimekuwa chombo cha chama badala ya UMMA. Kumbuka amekuwa akimdanganya mkuu kwamba TBC hakuna matatizo na pia amekuwa akifanya ujanja ujanja ili JPM...
  11. Vyombo vya Habari Tanzania acheni upendeleo kwa chama tawala, Mtaligawa taifa? Hivi hamuelewi?

    Nimejaribu kufuatilia jinsi coverage unavyofanywa na hizi local media zetu kuhusu matukio mbali mbali yanayofanywa na chama tawala CCM, hakika inasikitisha. Hakuna balance kabisa kwenye matukio ya kisiasa kati ya chama tawala na Upinzani. Hivi vyombo vimeamua kua upande wa Chama Tawala hata...
  12. Je, chombo cha Habari cha Umma cha TBC kinapewa maelekezo na watawala wetu wa CCM ya nini cha kutangaza na kipi si cha kutangaza?

    Tupo katika kipindi muhimu sana cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, mwishoni mwa mwaka huu. Ni matarajio ya Watanzania wote kuwa vyombo vyetu vya habari vya Umma vitatekeleza wajibu wao kwa usawa bila kupendelea chama chochote cha siasa. Tumeshuhudia chombo cha habari cha television ya Taifa...
  13. Hello wadau wa JF

    Habari zenu wadau wa JF. Naitwa Cain Constantine Chuhira kutoka Kigamboni Dar es Salaam.
  14. GE2020 Hivi upinzani ukichukua nchi Vyombo vya Habari na Wasanii wa Tanzania watakimbizia wapi nyuso zao?

    Sasa imekuwa rasmi wasanii hasa wanamuziki na tasnia karibu zote nchini wanamuunga mkono Rais. Hii sio dhambi, lakini pale msanii anapoimba nyimbo kupondea upinzani kana kwamba upinzani umeletwa nchini na shetani inashangaza sana. Vyombo vya Habari munadhani CCM itatawala milele? Kwa bahati...
  15. B

    Kwanini TBC wanatulazimisha kusikiliza kila dakika Habari ya Libya na Iraq?

    Kuna nini? Kwanini TBC1 wana tangazo moja tu la Historia ya Libya na Iraq, kuna nini huku kwetu, wanatengeneza mazingira au ni kampeni, mwenye uelewa atujulishe maana, kwangu binafsi sina Histora yoyote ya ACT wala CHADEMA kuwateka wanachama wa CCM na kuwaua sina kabisa, huenda wengine wana...
  16. B

    Vyombo vya habari kwanini mnawakimbia CHADEMA na ACT Wazalendo?

    Leo CHADEMA wameanza mchakato wa kumpata Mgombea Urais ila vyombo vya habari vikubwa nchini havikuripoti live tukio ilo. Kura zimepigwa bado hawakutaka kuripoti, hata ITV ambao Wana breaking news hawakuwa habari yoyote kuonyesha Kuna Jambo linaendelea. Mgombea amepitishwa bado vipo kimya, hata...
  17. Je, Watanzania tunataka uhuru wa habari?

    Katika ulimwengu wa sheria na mamlaka huwa kuna haki vs wajibu Kila haki ina wajibu. Vivyo hivyo, uhuru wowote una mipaka. Leo ntaka nilete mjadala juu ya uhuru wa habari na iwapo kama taifa tunahitaji media yetu kuwa censored. Mimi sio guru wa maswala ya media ila naamini kwamba Uhuru lazima...
  18. Ugomvi na Chuki (BIFU) zinazoendelea kwenye Media zetu zina athari gani kwenye Tasnia ya Habari kwa Tanzania yetu?

    Kwa wadau wote wa Tasnia ya hapabari hapa nchini mnaweza mkalitazama hili na kulijadili kwa mapana huenda likawa na matokeo fulani hasi ama chanya kwenye sekta ya habari hapa nchini. Tumeona matukio mengi tu na niseme labda ni tabia inayochipuka kwa kasi kubwa kwenye sekta ya habari kwa hiki...
  19. Natafuta Cement Mixer

    Habari natafuta ''cement mixer'' kwa ambaye anauza au unajua mahali zinapouzwa tuwasiliane 0654553163
  20. Sijawahi kuwasiliana na Naibu Waziri wa Habari (Juliana) tangu March 2013 na sina mpango wa kuwasiliana naye hata kwa kufoji mawasiliano

    Taarifa nyingi zinazozagaa kuwa Nina mawasiliano na huyu Naibu Waziri si za kweli na wala sijawahi kuonana naye tangu nilipotoka CHADEMA Desemba 2012. Sina MASLAHI naye na hivyo niwasiliane naye kwa masilahi gani? Na shida gani? Ninauwezo wa kujisimamia kuliko Wabunge wote na Mawaziri wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…