habari

  1. Askari DEREK CHAUVIN akutwa na hatia ya mauaji ya George Floyd

    Wazee wa baraza katika kesi ya mauaji ya mwafrika mmarekani George Floyd wanatarajiwa kurejea mchana huu na majibu ya hatia kwa mashtaka yote matatu. Derek Chauvin ambae alikuwa askari polisi alimwekea goti shingoni George Floyd kwa dakika tisa na sekunde 29 alipokuwa akimkamata na kusababisha...
  2. Waandishi wa hababari wamekuwa wabaguzi kuripoti habari za uvunjifu wa haki za binadamu. Ila wao yakiwakuta ndio midomo juu

    Kuna habari inatembea kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwandishi wa gazeti la mwananchi huko Zanzibar amepigwa na kudhalilishwa na wana usalama huko Zanzibar. Inadaiwa maafande wa KMKM walimvamia na kumpa kichapo kisha kumtesa na kumlazimisha avunje simu yake aliyotumia kuwapiga picha wakati...
  3. Tanzania imeendelea kushuka katika utetezi wa Uhuru wa Habari. Yashika nafasi ya 124 kwa mwaka 2020

    Reporters Without Borders (RSF) imeitaja Tanzania kushika nafasi ya 124 kati ya Nchi 180 Duniani katika kuimarisha Uhuru wa Vyombo vya Habari ili kutetea Haki ya kupata taarifa kwa Jamii. Tanzania imeendelea kushuka katika utetezi wa Uhuru wa Habari ambapo mwaka 2019 ilishika nafasi ya 118 huku...
  4. BAWACHA kuongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma

    Taarifa inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika kwenye ofisi za Kanda ya Kati Jijini Dodoma kesho Tarehe 21/4/2021, kuanzia saa 5 kamili asubuhi . Wote Mnakaribishwa . Muhimu : Zingatia mwongozo wa WHO kuhusu janga la corona =========
  5. Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

    Habari JF, Itakumbukwa siku za mwishoni za kuishi za mpendwa wetu, shujaa wa Afrika na mzee wa kuacha alama (legacy) katika kila alilokuwa anafanya hapa nchini watu wengi sana waliibuka kumpinga vikali juu ya uwepo wa second version ya covid 19 hapa nchini na duniani kote Tanzia nyingi...
  6. JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

    “Tunasikitika kufuta mikataba ya vijana 854 wa JKT kutokana na kufanya vitendo vya uasi.”Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania - Jenerali Venance Mabey ---------- Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jen. Venance Mabeyo amesema wamefuta mikataba ya Vijana 854 wa JKT ambao ni miongoni mwa walioahidiwa...
  7. Vigogo wa Gazeti la Tanzania Daima wafika ofisi za Wizara ya Habari na Michezo kwa Majadiliano kuhusu hatima ya gazeti hilo

    Baada ya Rais mpya kuamuru vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki na husda vifunguliwe , baadhi ya vyombo hivyo vimaeanza kufika wizarani ili kufahamu hatma zao . Leo ilikuwa zamu ya Tanzania Daima kuonana na Waziri Bashungwa ili kutatua utata kuhusiana na Gazeti hilo kufutiwa leseni...
  8. Wizara ya habari kuchunguza tukio la DED wa Temeke kuwaweka chini ya ulinzi waandishi kwa kufika kwenye kikao chake bila mwaliko

    Wanahabari Christopher James wa ITV&RADIO ONE na Dickson Billikwija wa Island TV waliwekwa chini ya ulinzi kwa saa 3 kwa maagizo ya Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Lusabilo Mwakabibi, baada ya wanahabari hao kufika kwenye kikao cha wafanyabiashara wa soko la Mbagala Rangi Tatu na Mkurugenzi huyo...
  9. J

    Mkurugenzi wa Temeke, Mwakabibi awasweka ndani waandishi wa habari ili wasihudhurie kikao chake na wafanyabiashara

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Dkt. Mwakibibi leo aliwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kuripoti yanayojiri katika kikao cha mkurugenzi huyo na wafanyabiashara. Waandishi hao walifika ili kupata ukweli wa madai ya wafamyabiashara hao kwamba Dkt. Mwakibibi...
  10. I

    Naomba kujua dawa ya kipele kigumu ambacho hakiumi ila nilikichokonoa kinatoa damu mara kwa mara

    Habari zenu wana jamvi. Naomba kujua dawa ya kipele fulani kigumu ambacho hakiumi ila nilikikwangua kinatoa damu mara kwa mara ingawa hakiumi kabisa. Kipo kwenye kidole gumba cha mkono kushoto.
  11. Waandishi wa habari waache kuidhalilisha dini safi ya Uislam. Aliyeiba nguruwe sio "Imam" kwa maana alichokifanya ni kinyume na miongozo ya dini yake

    Habari zenu jamiiforums Kwa wale msiomfahamu vema Infantry Soldier ni kwamba, mimi ni mkristo tena mkatoliki ila ninafahamu fika ya kuwa uislamu si ugaidi na si dini ya wizi na wala waislamu si magaidi na wala sio wezi bali wahalifu wachache hujificha katika kivuli cha uislamu ili kutenda...
  12. ISIS Msumbiji kwisha habari yao

    Zimbabwe imethibitisha kupeleka makomandoo wake Msumbiji kulisambaratisha kundi tishio la kigaidi. Hao Zimbabweans special force ni hatari katika mbinu za kimedani attacki, counter terror and offensive. ISIS Msumbiji kwishney. Saguda47
  13. J

    Rais Samia awasili Kampala Uganda vyombo vya habari duniani ikiwemo TBC viko mubashara.

    Rais Samia Sukuhu Hassan amewasili Kampala nchini Uganda na kupoke!ewa na Rais Yoweri Museveni. Watu wote akiwemo Rais Samia wamevalia barakoa Tukio liko mubashara TBC!
  14. Hatimaye Watanzania waanza tena kufuatilia taarifa za habari za TV Majumbani mwao

    Hili ni jambo lililonishangaza sana! Raia wa Tanzania ambao waliachana na masuala ya kuangalia Taarifa za Habari za local TV zote na kuamua kuangalia tamthilia mbalimbali ikiwemo ile ya Sultan, sasa hivi angalau wametenga muda wa kuangalia na kufuatilia Taarifa za habari za TV za ndani...
  15. Saed Kubenea afika Wizara ya Habari Kuonana na Waziri Bashungwa kuitikia wito wa Rais wa kufungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa kibabe

    Leo Saed Kubenea ameonana na Waziri wa Habari kama ilivyoelekezwa na Wizara baada ya Tamko la Mh Rais Samia Suluhu la kuagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kizushi yakiwemo magazeti vifunguliwe . Tuendelee kusubiri yatakayojiri baada ya kikao hiki kufanyika huku tukisubiri Wahariri wengine...
  16. M

    Yanga SC kuwasomea ' Albadiri ' Waandishi wa Habari za Michezo wanaoiandikia, kuisemea na kuihujumu

    Hivi Klabu inawezaje Kuwatishia Waandishi wa Habari za Michezo hasa kuwataka wawe tu Wanaandika na Wanatangaza Mema (Mazuri) tu ya Yanga SC ila yale mabaya Wawe wanayaficha kwa Umma wa Wanamichezo? Haya sasa kwa taarifa ( zisizo rasmi bado japo nimezikisikia hivi punde kutoka Clouds FM Kipindi...
  17. 2

    Mkanganyiko wa kauli ya Rais na hofu ya serikali dhidi ya vyombo vya habari

    Ukifatilia kwa makini mjadala unaoendelea wa kauli ya Rais dhidi ya vyombo vyahabali utajiuliza nini hofu ya serikali dhidi ya vyombo habari, hii nikwasababu haihitaji mtu uwe na PHD kuelewa kuwa Rais alitoa agizo vyombo vyote vya habari vilivyofungwa vifunguliwe. Kwa mfano kwanini eti aseme ni...
  18. J

    CAG aongea na waandishi wa habari - Aprili 8, 2021

    CAG Kicheere anaongea na waandishi wa habari muda huu. Updates; ======== CAG: NILIBAINI WAKALA NNE ZA SERIKALI ZILIKUWA ZINADAIWA BILIONI 783.39 TANROADS ilikuwa na deni kubwa lenye thamani ya bilioni 770.1 kutoka kwa wakandarasi na wahandisi washauri kutokana na kuchelewa kupata fedha za...
  19. K

    Kwa aina hii ya viongozi wa Wizara ya Habari, Katibu Mkuu Kiongozi ataweza kutekeleza ahadi yake ya kuunganisha Serikali?

    Ngoma aliyopiga Mhe Rais kuhusu Uhuru wa vyombo vya habari imewachanganya wachezaji na kila mmoja anacheza kwa style yake Kama ifuatavyo; 1. Gerson Msigwa alileta barua ndeefu inayotamka vyombo vilivyofungiwa vifunguliwe, Mkurugenzi Ikulu 2. Baadaye kidogo Dr. Abbass akaja na kauli kwamba...
  20. Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

    UFAFANUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria. Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…