habari

  1. CHADEMA ya LISSU, Fanyeni mnavyoweza, Kuutangazia na Kuusambazia Umma Habari za Utabiri wa SHEIKH YAHYA kuhusu UPINZAN KUCHUKUA NCHI !!

    Mtakuja Kunishukuru sana !!. Kama Kuna video ambayo Sheikh Yahya anatabiri kuanzia Ujio wa Hayati Dkt JPM, Kisha Rais Dkt Samia, na kwamba Baadae Upinzani unachukua Nchi. Tumieni Kila kitu mlichonacho kuhakikisha Huo unakua Wimbo Mtaani kuanzia Mijini mpaka Vijijin. Kwa wanaoona Mbali kama...
  2. Je,Una Mapengo kinywani na hujui wapi utapata Suluhisho la kudumu !?

    Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa Mapengo . husababisha Meno mengine Kutoka .Meno Kuoza .Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia -Kutafuna Chakula Vizuri...
  3. Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 31, 2025

  4. Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 30, 2025

  5. Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 28, 2025

  6. PreGE2025 Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha. Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
  7. Utalii wa Mikutano ndio habari ya mjini!

    1. Kama Taifa tunaelekea pazuri kwenye Utalii wa Mikutano ya Kimataifa. 2. Waziri wa Utalii na Mambo ya nje hawapaswi kulala kusaka hizi fursa za watalii wenye pesa kwa mfano hawa Energy summit waandaliwe trip ya kwenda Zanzibar, Bagamoyo, Ngorongoro.
  8. Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 27, 2025

  9. Uchambuzi wa Hali ya Huduma za Afya: Aga Khan Hospital kuhudumia wageni wa mkutano wa Nishati Afria badala ya Muhimbili Hospital

    Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini. Hali hii inatia wasiwasi, hasa pale ambapo hospitali hiyo imekuwa ikihudumia wageni katika mkutano wa Nishati Afrika...
  10. Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 26, 2025

  11. Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 25, 2025

  12. B

    Kozi ya Nursing and Midwife

    Habari waungwana. Samahani wapendwa naomba mnisaidie binti yangu amepata Division IV ya point 27. Kwa ufaulu huu Civics D, His F, Eng D, Chem D Biol C Kisw C Marh F Mtoto anapenda kusomea Mambo ya Nursing and Midwife. Kwa ufaulu huo anaweza akapata chuo km sivyo ni kozi gani nyingine ya...
  13. Habari mimi ni mpya humu

    Eti naulizia, chumvi ni shingapi huko kwenu imepanda kwa shingi 50.
  14. B

    Baada ya kufatilia kwa muda mrefu nimegundua Waandishi wa Habari wa Kitaifa na Kimataifa wanajisikia furaha wakimhoji/kuzungumza na Tundu Lissu

    Nimefatilia sana nikaona Saikolojia ya Waandishi wa Habari yaani vile wanavyojisikia pindi wawapo na mazingumzo au mahojiano na Mwenyekiti Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu Antiphas Lissu. Wanaonekana ni watu wenye furaha, wanajisikia huru na wacheshi wanapokuwa pamoja. Kwenye...
  15. Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 24, 2025

  16. Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 23, 2025

  17. I

    Habari

    Jaman mm na one ya point 9 PCB nasoma education, Nataka niache (kwa sababu nazo zijua ) education ni apply mwezi wa saba tena kozi nyingne (nursing), hivi naweza kufanikiwa kuchaguliwa kweli wakuu Naombeni maoni yenu na mitazamo yenu
  18. Ni Mkutano kisiasa wa CCM , ila Waandishi wa habari wanamuhoji WEMA SEPETU masuala ya yeye Kutokuzaa, na masuala ya Mbwa wake "Manunu"

    Wakuu hivi hii Generation ya Waandishi wa habari imetokea wapi 🤣🤣 https://youtu.be/aS5a0j4pvTk?si=S4cjS7qxzOIZSn8N
  19. Habari ndg sorry naomba ushauri nasumbuliwa na mbaa/matangotango

    Polen na majukumu na week end ya jpili nilikuwa nauliza ni dawa gan nzuri kati ya sindano na vidonge nasumbuliwa na mbaa matangotango. Plz naomba ushauri wenu ndg zangu nipote ili tatzo n muda...
  20. R

    Mkutano wa CCM Dodoma ulikuwa na ulazima wakujaza wasanii na waandishi wa habari?

    Waandishi wa habari na wasanii wameondoa kabisa seriousness ya Mkutano mkuu wa CCM Dodoma. Ni vigumu kwa compositions hii watu wakafuatilia mkutano unavyokwenda kwa sababu waandishi wa habari wapo katika comedy style kuliko kuripoti mambo ya msingi Vyombo vya habari vinaripoti magari ya CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…