habari

  1. T

    DOKEZO Waandishi wa habari wa vyombo rasmi niwaombe mtembelee kuripoti mateso kwenye ofisi za NIDA Ukonga, Mombasa

    Kiukweli sijajua kama tatizo ni mfumo ama watendaji wa serikali au ni kitu gani lkn itoshe kusema hali katika ofisi za nida hapa ukonga Mombasa ni ya kuchosha, kufedhehesha na ya kukatisha tamaa. Kama hatutapaza sauti tutaendelea na huu utaratibu ambao sielewi kama kweli kama nchi tumeshindwa...
  2. Rais wa TLS anazungumza na Waandishi wa Habari, akosoa Polisi, amtaja Muliro

    https://www.youtube.com/live/jAy-Wo-SPR8
  3. A

    Ninatafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku.

    Habari zenu wanaJF nipo Dsm natafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku. Iwe saidia fundi, bandarini, kiwandani au kazi yoyote ya halali. Elimu yangu ni shule ya msingi. Napatikaa Mbezi makabe. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  4. Democrasia iliopo Kenya hasa uhuru wa habari sio wa levo hizi za Africa ni beyond Africa labda Ulaya huko nako pia nina wasiwasi.

    Democrasia iliopo Kenya sisi hata robo yake hatutarajii kuifikia , kwa kizazi hiki cha kipumbavu. Jamaa wako mbali sana kwenye uhuru. Angalia hii habari na piga picha ndio Bongo hii. Hii je? Kenya uhuru wa Habari ni beyond, Tanzania kuna wajinga wanadanganywa kwamba kuna uhuru wa Habari...
  5. Habari za hasubuhi wafanyakazi, wafanya biashara na wajasiliamali naomba anae jua biashara ya kujenga frem za kupangisha anipe maelekezo

    Wana JAMII FORUM naomba anae jua biashara ya frem za kupangisha anipe maelekezo nahitaji kuwekeza kwenye hii sector
  6. Waziri Kabudi: Waandishi wa habari msilemazwe na kufubaa na teknolojia, ya akili mnemba

    "Nawaonea wivu kwasababu sisi tulikuwa tunatuma habari kwa simu. Baadaye zikaja teknolojia nyingine. Ninyi mmepiga hatua lakini hata nyie msilemazwe na kufubaa na teknolojia, hata hii akili mnemba imeundwa na binadamu na inachukua maudhui kutoka kwa watu. Nawashukuru wadau wote na mliotoka nje...
  7. Najenga mashimo ya choo ya kisasa yasio jaa walakutoa halufu kali Pia tunatoa ushaui

  8. Kitabu: Masimulizi juu ya Wazaramo.

    Na R. Mwaruka. Unaweza kukisoma free ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo playstore. SURA YA 1 PAZI KILAMA KATIKA UZARAMO WAZARAMO ni jumla ya mchanganyiko wa makabila ya Kibantu. Sehemu kubwa ya mchanganyiko huo ni Wakutu na watu wengine wenye asili ya Mwambao. Neno hili 'Uzaramo' linatokana...
  9. Baadhi ya Waandishi wa Habari wazuiwa kuingia Mahakama ya Kisutu, wengine wakamatwa, leo Aprili 24, 2025

    Baadhi ya waandishi wa habari wamedai kuzuiliwa kuingia eneo la Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi zinazomkabiki Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, leo AprilI 23, 2025. Chanzo cha kuaminika kutoka eneo hilo kimeeleza kuwa wamezuiliwa kuingia Mahakamani na Askari ambao wanazunguka eneo la...
  10. Kwani kesi ya Lissu haiwezi kurushwa na vyombo vya habari?

    Sheria inasemaje? Kesi kurushwa live... Mahakama haiwezi kuingiza mamia ya watu ila wakii-stream kesi hata tulioko vijijini tunaangalia. Sijui sheria inasemaje? Au vyombo vya habari havijawahi kuona umuhimu wa kurusha kesi! Au sheria inaruhusu wanahabari wanahofia kuwa blackmailed na dola...
  11. Ni miaka sasa niliacha kutazama habari kwa tv

    Siasa Imeacha nisiangalie habari yyt kwa tv. Kuna mengi sana dhuluma na ufisadi. Kutowajibika kwa watendaji wa umma
  12. Habari Njema kwa Wakulima, Wafugaji na Wadau wa Kilimo!

    Tatizo la soko sasa limepata suluhisho rahisi na la moja kwa moja! Sasa kupitia Blog yetu ya Tanzania na Kilimo 👉 TANZANIA NA KILIMO Unaweza kUUZA au kUNUNUA bidhaa na zana mbalimbali za kilimo na ufugaji bila kutumia dalali! Faida za kutumia Soko letu: Mteja atakupigia moja kwa moja – hakuna...
  13. Vyombo vya habari Tanzania - Bado ni BASTOLA ya Wananchi au zimegeuka kuwa SILAHA za Watawala?

    Katika jamii yoyote huru na inayothamini demokrasia, vyombo vya habari ni uti wa mgongo wa haki na uwajibikaji. Habari ni daraja kati ya wananchi na watawala. Waandishi wa habari ni walinzi wa ukweli, si mashabiki wa nguvu. Lakini leo hii, nchini Tanzania, swali kubwa linazidi kuibuka: Je...
  14. Vyombo vya habari vya siku hizi vimegeuka tabia za kusifia mabosi wao kukashifu watu mfano Baba levo

    Kupitia wasafi FM baba levo naona amekuwa kero sana yani mnawezaje kumpa mambo ya uchumbuzi kuanzia uchumi,michezo mpaka kimataifa wakati sio taaluma zake. Uwezi kukashifu watu na kutaja majina yao kuwa wameshindwa kufanikiwa sababu walitoka kwa diamond. TCRA kama mna manufaa na vyombo vya...
  15. Tanzania tena kwenye habari za kimataifa!

    Labda ni hisia zangu tu ila naona kama vile Rais Samia kapunguza safari za mara kwa mara nje ya nchi. Kama kweli safari zake zimepungua, moja ya sababu yaweza kuwa ni sifa mbaya ya serikali yake kuhusu uminywaji wa demokrasia. Habari za kukamatwa kwa Tundu Lisu na zile za kutokushiri chaguzi...
  16. ITV Tanzania na kidokezo bila habari kamili

    Taarifa ya HABARI ITV SAA 2 usiku wa tarehe 14/04/2025 imenishangaza na kuniachia swali mbona kimepitishwa kidokezo pekee bila kusomwa habari ya serikali kupiga marufuku masomo kuendelea likizo?
  17. Matumizi ya Akili Mnemba kwenye taaluma ya habari

    Katika enzi ya kisasa ya kidijitali inayobadilika kwa kasi, ujumuishaji wa akili bandia (AI) katika tasnia umesababisha mabadiliko ya uandishi wa habari . Teknolojia za AI zinaunda upya jinsi habari zinavyokusanywa, kuchambuliwa na kusambazwa. Wakati maendeleo haya yana ahadi ya ufanisi zaidi...
  18. Maswali Yanayoulizwa kuhusu Matumizi ya Akili mnemba katika Taaluma ya Uandishi Wa Habari

    Maswali yanayoulizwa mara kwa mara 1. Je, AI inaweza kuchukua nafasi ya waandishi wa habari wa kibinadamu kabisa? Hapana, AI inatazamwa vyema kama zana inayoongeza uwezo wa uandishi wa habari, lakini uangalizi wa kibinadamu na uamuzi wa kimaadili unasalia kuwa muhimu kwa kudumisha ubora wa...
  19. N

    Sheria za Habari Zanzibar bado kizungumkuti

    Katika Sheria ya Usajili wa Uwakala wa Habari, Magazeti na Vitabu Namba 5 ya Mwaka 1988 iliyofanyiwa marekebisho na Sheria no 8 ya Mwaka 1997 yapo maneno kadhaa yaliyotumika ambayo yanaonekana kuwa na mapungufu na ambayo yanakwaza uhuru wa Vyombo vya Habari. Matumizi hayo ya maneno...
  20. HABARI MABOSS ZANGU : JE! UNAHITAJI RAMANI YA NYUMBA AU CHOCHOTE KATIKA UJENZI? BONYEZA 👇👇👇

    Habari! Nawakaribisha sana kwa yeyote mwenye kuhitaji ramani ya jengo aina yoyote ikiambatana na 1. JENGO LOLOTE (RESIDENCIAL AND COMERCIAL BUILDING) 2. Makadirio ya UJENZI (BOQ) 3. KUJENGEWA NYUMBA UKINUNUA MATERIALS AU KUTUKABIDHI PESA 4. USIMAMIZI WA JENGO LAKO BEI ZETU NI NAFUU SANA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…