habari

  1. Kwa nini Mwandishi wa habari wa Ki-Palestina Hassan Aslih Majeshi ya Israel yalitaka sana auliwe?

    Ni kweli kabisa Majeshi ya Israel yalijaribu mara moja kutaka kumuua Mwandishi huyo wa Kipalestina Hassan Aslih na kumjeruhi vibaya sana akalazwa Hospitali ambako jana waliamua kumfuata huko huko na kumuangamiza bila huruma yoyote. Swali linarudi kwa nini Israel ilitaka sana hasa kuwaua...
  2. Mwandishi wa habari wa Palestina Hassan Aslih aliyeandamana na Magaidi wa Hamas Oct 07,2023 kuvamia Israel aangamizwa.!!!

    Kulingana na ripoti kutoka Gaza, mwandishi wa habari wa Palestina Hassan Aslih, anayejulikana kwa kuandika shambulio la Hamas la Oktoba 7 na kuwa na uhusiano wa karibu na Hamas, aliuawa katika shambulio la anga la Israel katika Hospitali ya Nasser huko Khan Younis. Alikuwa amelazwa hospitalini...
  3. Kuomba ufafanuzi kuhusu hii habari iliyopostiwa East Africa tv

    #HABARI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu ametangaza kuanza kutumika kwa Muundo mpya wa Utumishi wa Maendeleo ya kada za Uuguzi na Ukunga ifikapo mwezi Julai mwaka huu. Sangu ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Aprili 10, 2025 Mkoani...
  4. Huku CHADEMA vs CCM, Kule Ibraah vs Harmonize, wadaku huu ni muda wa kujilia vyenu, nina hakika mapipa yenu yatajaa habari za kuwafikisha mwakani

    Huku CHADEMA vs CCM, Kule Ibraah vs Harmonize, wadaku huu ni muda wa kujilia vyenu, nina hakika mapipa yenu yatajaa habari za kuwafikisha mpaka mwakani Ebana Ibraah anadai kidogo Harmonize ambutue na mkonge wake alipomuita Chumbani
  5. P

    Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau

    Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau
  6. P

    Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau

    Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau
  7. U

    Je ni zipi sababu za msingi zinazowafanya Wasabato duniani kote wachukie na kukereka sana unapoambua au kuwaeleza habari za Msalaba?

    Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali lengo ni kuelimishana Sio kama natunga hadithi au naleta uzushi ila nachokuambia ndiyo ukweli halisi kuwa hao Ndugu zetu ukitaja tu msalabani ambao aliangikwa Yesu Kristo Huwa wanakosa Raha Naam baadhi yao hufilia hatua ya kusema kuwa...
  8. M

    Nahitaji jackhammer ya kukodi

    Napatikana dar nahitaji jackhammer ya kukodi mwenye nayo anicheki 0672704891
  9. K

    Kwa uhitaji wakung’oa visiki shambani kwakutumia kifaa maalumu.

    Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano: 0719789087
  10. Mkurugenzi LATRA: Wanahabari tumieni kalamu vizuri kuandika habari zinazohusu Uchaguzi Mkuu

    Mkurugenzi Mkuu LATRA wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), CPA Habibu Suluo amewaasa Wanahabari kutumia kalamu zao vizuri kuandika habari zinazohusu uchaguzi mkuu na kuepuka habari zinazopotosha Jamii pamoja na kuandika kwa umahiri habari zinazohusu sekta ya usafiri nchini. Amesema...
  11. Tetesi: Web Scraping na Akili Bandia (AI) katika Uandishi wa Habari za Uchunguzi Tanzania

    Utangulizi Tarehe 29 Aprili, 2025, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani jijini Arusha, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliwataka waandishi wa habari wa Tanzania kukumbatia Akili Bandia (AI) kama zana muhimu ya kuimarisha kazi zao. Kauli hii ya uthibitisho kutoka ngazi...
  12. G

    Uhuru wa vyombo vya habari Tanzania, naomba wanahabari mtujubu

    Juzi nimesikia kelele na ngonjera za kusifia uhuru wa vyombo vya habari hapa nchni. Jana bunge la ulaya lilijadili hali ya haki za binadamu mchini. Hii ni habari kubwa sana kwa viwango vyovyote. Nimepitia karibu magazeti yote ya leo hakuna hata mojo lililothubutu kuandika habari hiyo. Hivi mtu...
  13. R

    Kuwa makini sana na kamdomo ishi nao kiakili, hakuna rafiki utaemwambia habari za mafanikio yako makubwa kumzidi atafurahia

    NB: Wapo marafiki wema wataofurahia kwa dhati ila wachache sana. Huwa tunapopata mafanikio ama mipango tuliyopanga kufanikiwa tunapenda kuwaambia marafiki Utafika kwa rafiki utamwambia umepata mafanikio au mpango uliowahi kumwambia umetiki, hapa sizungumzii mafanikio ya kawaida, ni yale...
  14. Nyuma ya Pazia: Jinsi ya Kutumia Web Scraping na AI katika Uandishi wa Habari za Uchunguzi

    ingawa kazi ya waandishi wa habari za uchunguzi wakati mwingine inahusisha kuwasiliana na vyanzo visivyojulikana kwa taarifa zilizofichwa au hata kufanya kazi kwa siri, nyuzi za habari kuu mara nyingi hupatikana katika vyanzo vya wazi vinavyopatikana kwa kila mtu. Kwa sababu hii, "web scraping"...
  15. Is it Logical kwa Mtu ambaye hana hata a,b,c's za Journalism kujifanya Kuwafunda Waandishi wa Habari duniani hasa Afrika?

    Yaani Mtu ana Elimu duni na alisomea Kozi dhaifu na kuwa Stenographer leo hii anadiriki Kuwafunda Waandishi wa Habari duniani (hasa Afrika) hivi hii ni Akili au Matope? Na kwanini hao hao Waandishi wa Habari duniani (hasa Afrika) wanakubali kabisa Kufundwa na Mtu ambaye ni Mdhaifu mno Kielimu...
  16. H

    PreGE2025 ZAMECO yatoa wito wa Sheria rafiki ya habari Zanzibar katika kipindi cha uchaguzi

    Na Mwandishi wa Habari Hub Kamati ya Wataalamu wa Masuala ya Habari Zanzibar (ZAMECO) imeungana na jamii ya kimataifa kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Mei 3, 2025, kwa kutoa wito wa kuwepo kwa sheria rafiki ya habari itakayochochea uchaguzi huru na wa haki Zanzibar. Kwa...
  17. Waandishi wa Habari wa miaka hii na wale wazamani waliolisusia jeshi la magereza na wizara ya mambo ya ndani

    Uchawa umeharibu professional za watu miaka ya nyuma enzi za mwinyi wizara yaambo ya ndani kupitia jeshi la magereza waliwahi kuzinguana na WAANDISHI WA HABARI. Walichokifanya WAANDISHI wale wakasusia kuandika kabisa jambo lolote linalohusiana na magereza au wizara ya MAMBO YA NDANI mbona...
  18. B

    Hongereni ITV habari, nimerudi kwenu baada ya kuhitimisha kwamba Azamtv (UTV) habari ni sawa TBC TU

    Huwezi Kuta habari kwa kina za masuala mazito yanayolikumba taifa hili UTV. Hii nchi ni yetu sote sio ya CCM pekee kuonesha habari ambazo ni za kusifia TU mama anaupiga mwingi. Kuna habari za mawakili kunyimwa ruhusa ya kuonana na kujadiliana na mteja wao Tundu Lissu kinyume na Sheria lakini...
  19. Olengurumwa: Wanahabari na Vyombo vya Habari kipindi hiki cha AI wanao wajibu wa kusaidia umma kujua habari zipi za kweli

    https://youtu.be/tI08NWYXihc?si=tjdasxeZb1GDbpgi Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema kwamba waandishi wa habari na vyombo vya habari vinao wajibu wa kusaidia umma kubaini zipi taarifa za ukweli na uongo, ambapo amesema katika...
  20. Ripoti ya BBC iliyofichua mauaji gen-z kipindi cha maandamano, waandishi wa habari 4 hawajulikani walipo mpaka sasa

    Kipindi cha maandamano ya gen-z kule Kenya mpaka kufikia kwenda bungeni na kutokea mauaji ambayo inashutumiwa KDF ambalo ni jeshi la Kenya kuhusika sasa, BBC ilitoa taarifa kupitia kipindi chake BBC EYE. Wahandishi wa habari walikuwa wamechukua matukio na kupeleka BBC mpaka sasa hawajulikani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…