habari

  1. Kwa Wamiliki wa Maduka ya Spare za Magari, Mafundi, Wamiliki wa Gereji, Wapenda Habari za Magari Hii ni Yetu Sote

    Ndugu Wajumbe, Miezi kadhaa nyuma nilileta Nyuzi fulani juu la Kiu yangu ya kukamilisha jambo hili ambalo kwa asilimia 90 limekamilika, na leo ninaleta habari njema na fursa ya kipekee kwenu nyote mnaohusika na sekta ya magari nchini! Tunayo furaha kubwa kuwatambulisha rasmi App ya Auto...
  2. Una habari? Wanasayansi "wameiona" Safina ya Nuhu wa Biblia

    Safina ya Nuhu ni moja kati ya habari maarufu zilizoandikwa kwenye Biblia na zinazochunguzwa sana na wanasayansi. Sasa baada ya karne nyingi za mijadala, kejeli, na mashaka, matokeo mapya ya kisayansi yameanza kugeuza mtazamo wa ulimwengu kuhusu Safina ya Nuhu. Katika milima mirefu mashariki...
  3. K

    Jukwaa la Wahariri Tanzania ingilieni hili, Wahariri wanadharirisha Waandishi wa Habari, watia nia wanawapuuza

    Huu ni udharirishaji mkubwa, watu ambao wanasababisha Waandishi wa Habari waishi maisha magumu ni baadhi ya Wahariri. Leo CCM wamefungua dirisha la kuchukua fomu kwa Wagombea wao, Ubunge, Udiwani na Rais. Cha ajabu Waandishi wa Habari tumeshinda kwenye Ofisi za CCM Wilaya na mikoa kwa ajili ya...
  4. Usiwe mwepesi wa kumchukia mtu kwakusikia tu habari zake bila kuuthibitisha ukweli

    Usifanye makosa ya kumchukia mtu kwa kusikia tu habari zake au kwa kumfikiria vibaya . Unaweza ukakutana na huyo mtu ukagundua yupo tofauti kabisa na ulivyosikia kuhusu yeye , ulivyoambiwa , au ulivyomfikiria. Wapo watu wana tabia ya kusambaza sumu ya uadui kwa watu wengine.
  5. S

    Kocha Fadlu umefedhehesha brand ya Simba, hukupaswa kusema Yale kwenye vyombo vya habari pengine na wewe umechangia kutuangusha

    Jana wakati anahojiwa na Media, Fahdu anasema Simba Haina wachezaji wenye quality kama Yanga, ina maana Israel Mwenda, Boka, Wana quality kubwa sana kushinda Kapombe na Shabalala, matatizo ya ndani ya timu kiuongozi ndio unahamisha kwenye quality ya wachezaji, kwani ulikuwa una ulazima Gani...
  6. Rais Trump avishambulia vyombo vya habari, CNN na New york times

    Maandishi yake mwenyewe....
  7. R

    Tupeane habari za mvua: Mvua maeneo ya hapo ulipo mvua ikoje

    Mwambao wa pwani, Hapa toka jana 24/6/2025 saa mbili USIKU ni mvua mpaka SASA HIVI leo. Usiku mzima ilikuwa ndogo ndogo. Since morning up to now, it has been raining cats and dogs
  8. Naomba msaada nikifungua X (Twitter) inanipa option ya ku verify na nikibofya haikubali?

    HABARI WAKUU NAOMBA MSAADA WA KUFUNGUA TWITTER KILA NIKIFUNGUA INALETA NI VERIFYING ILA NIKIJALIBU HAIKUBALI SHIDA NINI WAKUU HAPO?
  9. Habari

    https://vm.tiktok.com/ZMSHAXwhL/
  10. Rais Samia aalikwa kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika Julai 14 – 17, 2025

    Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 14 hadi 17 Julai 2025. Mkutano huo utafanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Mgeni Rasmi aliyealikwa kufungua mkutano huo wa kimataifa ni Rais wa Jamhuri ya...
  11. Mama ana changamoto ya kiafya, anahitaji mkopo wa fedha kwa dhamana ya nyumba

    Habari wanajamii Forum Natumain muhali njema na majukumu ya kila siku. Nia na madhumuni ya uzi huu ni kuwa kama mwanajamii mwenzenu nimekuja kuomba msaada wa mawazo na majibu juu ya hili. Mzazi wangu anachangmoto ya kiafya inayohitaji fedha nyingi tuu kwajili ya matibabu, kwa bahati mbaya Hana...
  12. R

    Jamani, wale vijana wa Arusha (WACHOKONOZI) waliotekwa jana kuna habari za kupatikana kwao?

    Jamani wale vijana wa Arusha wamepatikana? MWenye habari zao atujuze PRELUDE: WAMEPATIKANA WAKO SALAMA POLISI AS WE SPEAK NOW, LABDA KAMA WATAKUWA WAMETESWA HUKO HUKO POLISI
  13. Habari natafuta rafiki wa kike

    Naitwa John Umri wangu 28 Kabila msukuma Natafuta RAFIKI wakike Ambae Tunaweza kushare mambo Mbali Mbali awe na Umri kuanzia 23/35 Ambae yupo Tayari Aje PM
  14. Mods Tuanaomba habari zote za , "Wanao mdai Mama Samia "ziwekwe kwenye uzi Mmoja hapa Jf.

    Mods Tuanaomba habari zote za , "Wanao mdai Mama Samia "ziwekwe kwenye uzi Mmoja hapa Jf.
  15. Z

    Mods Tuanaomba habari zote za Vita ya Israel na Iran ziwe kwenye uzi Mmoja. Zimegeuka kero hapa JF

    Mods tunaomba hizo habari za Vita ya Israel na Iran ziunganishwe kwani zimekuwa kero na nyingi ni za uongo. Nawasilisha.
  16. Emmanuel Ntobi ateuliwa Naibu Waziri kivuli wa habari ACT Wazalendo

    Kada wa ACT Wazalendo, Emmanuel Ntobi ameteuliwa kuwa Naibu Msemaji wa Sekta ya Habari, Mawasiliano na TEHAMA kwenye Baraza Kivuli la ACT Wazalendo. Uteuzi huo umefanywa leo Juni 17, 2025 na Kiongozi wa Chama Dorothy Semu. TAARIFA KWA UMMA Kiongozi wa Chama, Ndugu Dorothy Manka Semu leo Juni...
  17. Mkutano wa John Heche na Waandishi wa Habari ni Chadema kujichanganya kisheria. Usiri wao utawagharimu

    Kuna taarifa kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche atazungumza na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam. Chadema imeamua kufanya mkutano huo kwa siri, usiri huo utawaponza hasa...
  18. K

    Israel yaweka udhibiti mkali wa taarifa kuhusu vita yake na Iran

    Kama Israel inashinda hii vita na kweli inazuia mashambulizi dhidi ya Iran, Kwanini inazuia media kutoa taarifa? Hadi channel za YouTube zimezuiliwa kurusha matangazo upande wa Israel. Hii inamaana kutakua na mchujo mkubwa wa habari. Na huwenda tutakua tunadanganywa sana upande wa Israel...
  19. HESLB na NIDA kushirikiana kuwatambua waombaji mikopo kupitia NIN

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) leo Ijumaa Mei 16, 2025, wamefanya kikao na waandishi wa habari katika ofisi za HESLB Kanda ya Mashariki zilizopo Dar es Salaam kwa lengo la kuutarifu umma kuhusu kuanza kushirikiana kuwapatia namba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…