guest house

  1. Rafiki yangu alipopata fedha aliwekeza kwenye ngono, guest house ya vyumba 10 alifanya full booking na kuanza ziara chumba cha kwanza hadi cha mwisho

    Rafiki yangu aliyejiita lambalamba alipopata fedha aliwekeza kwenye ngono, guest house ya vyumba 10 alifanya full booking na kuanza ziara chumba cha kwanza hadi cha mwisho Nimewahi kuwa na rafiki mshenzi kuliko wote ingawa sikufahamu mapema hadi siku aliponionesha video akiwa anatumbuiza...
  2. PoliceMan Arrested with Schoolgirl at Masaka Guest House

    Police in Nyendo, Masaka City, have arrested a 20-year-old man after he was allegedly found with a schoolgirl at a guest house, with authorities now investigating how the minor ended up at the lodge. The suspect was arrested together with the girl at Gofrex Guest House following a tip-off from...
  3. Ni sahihi John Heche kumuacha Dereva wake kwenda kulala Chumba cha Sh. 3,000/=?

    Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna...
  4. Naombeni kazi ya Guest house

    Kama uko na nyumba ya wageni na unahitaji mfanyakazi Niko hapa, nitafanya kazi zote, na Seriously ndani ya miaka miwili utajenga guest nyingine. Mtu seriously pekee anicheki
  5. T

    Afariki ghafla akiwa na mpenzi wake kwenye nyumba ya wageni "Guest House" huko mkoani Mara

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake. Jeshi hilo...
  6. Biashara ya lodge / guest house Tanzania

    Kwa mujibu wa World Bank (2023), ukuaji wa miji Afrika unaongeza uhitaji wa huduma za malazi, huku Tanzania National Bureau of Statistics ikionyesha kuongezeka kwa shughuli za kiuchumi mijini, hali inayochochea safari za kikazi na mahitaji ya lodging. 👉 Hii ina maana moja: Biashara ya lodge sio...
  7. Kuna wizi wa ndala kwenye guest house?

    Hizi guest za elf 15 mpaka 30 utakuta ndala ni rangi tafauti, hivi Kuna watu wanaiba ndala? Mtu kalipia guest elf 20 aibe ndala za buku 2 kweli au watu wa guest wanakuza tu mambo! Eti mjusi sharobalo?
  8. INAUZWA Dar Kimara: Guest House Vyumba 10 Kwa Mil. 100 Tu

    . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  9. Wenye Guest House na Lodge Siye Tunaochepuka na Wake za Watu – Tunaomba Muondoe Magrill Madishani!

    Wapendwa wamiliki wa Guest House na Lodge kote nchini, Kwa heshima zote, nyenyekevu, na kwa maumivu ambayo hayawezi kuelezwa kwa lugha ya kawaida, tunawaomba kwa moyo wa dhati MUONDOE MAGRILL MADIRISHANI! Hili siyo ombi la kawaida. Huu ni wito wa dharura kutoka kwa sisi watu wa vishughuli vya...
  10. Airbnb Inavyokwenda kuua Soko la Guest House na Lodge

    Katika miaka ya hivi karibuni, huduma ya Airbnb imekuwa ikiibuka kwa kasi kubwa nchini Tanzania na duniani kote. Hii ni jukwaa la kidigitali linalowawezesha watu binafsi kukodisha nyumba zao au vyumba kwa wageni kwa muda mfupi, na kuleta ushindani mkubwa kwenye sekta ya malazi ambayo hapo awali...
  11. Ni Nini tofauti kati ya Guest house, Lodge, Hoteli na Motel?

    Wakuu ebu nipeni majawabu kujifunza hakuishi. karibuni
  12. Mbona Mji wa Kahama una guest house nyingi hivi ..?

    Jamani mji wa kahama una lodge na Guests house nyingi Sana...kulikoni .. Ndo kusema ni mji wa kibiashara Sana kuliko mji wowote Kanda ya Ziwa... Na madada powa nao hawako nyuma ni wengi wa kutosha ukicheza vibaya umeondoka nao...na hivi Trump anaenda kukomesha mchakato wa Msaada wa ARV kupitia...
  13. G

    Sio vizuri kwenda guest house na mtoto mdogo! Kiroho ni mbaya sana.

    Wakuu habari. Kwa wale wapenda mambo ya kikubwa! Kwenda na mtoto wako guest house Kuna mfanya kiroho kuchukua vitu vilivyowahi kifanyika kwenye hicho chumba. Usije shangaa mtoto wako mbona nikahaba au shoga kumbe chanzo ni wewe kwenda naye kwenye nyumba za kulala wageni. Haijarishi unaenda...
  14. M

    Utaratibu wa kuachia vyumba kwenye Hotel, Lodges na Guest House ni wa udhulumaji

    Najua wengi mmeshakutana na hizi changamoto za kulazimishwa kuachia chumba huku ukiwa umepumzika kwa masaa 6 tu. Wale wasafiri wa usiku, ama wala bata hizi kero za kuamshwa asaubuhi hasa ikifika saa 4 kuwa muda wa chumba umeisha nilazima ukereke sana. Bei za chumba huwa ni kwa siku. Na wote...
  15. Naomba kujuzwa taratibu/masharti yanayoandikwa Guest House au Lodge

    Habari ya jioni wakuu. Natarajia kufungua guest house soon hivyo kuna vitu vingi kuhusu hii biashara nahitaji kuvijua.. Kwenye lodge nyingi ukiingia huwa unakuta wamebandika kikaratasi chenye kuelezea taratibu zao au marufuku ya vitu ambavyo mteja huruhusiwi kufanya. Naomba wenye guest...
  16. Hatutarajii Julius Mtatiro kufanya uzinduzi wa Guest House huko Shinyanga

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru , Julius Mtatiro amehamishiwa Shinyanga baada ya kipindi kirefu kuhudumu Tunduru. Tunamshukuru kwa Utumishi wake uliotukuka uliosaidia kupunguza watoto kuingizwa kwenye Jando na unyago. Ila tunamuomba asirudie kuzindua Vitu kama hivi.
  17. W

    House4Sale Kilasilo Guest House inauzwa

    KILASILO GUEST HOUSE INAUZWA Specifications; 9 rooms self contained zote Fence eneo lote + gate 840m² eneo Kisima (120m) maji muda wote Dawasco pia maji yapo Kutoka barabara kuu ni 600M LOC: MADALE MWISHO Bei 135M (Maongezi Yapo) Mawasiliano 0748 270 719
  18. Fursa ya Kazi - Kuendesha Guest House Mwanza

    Habari wana Jamii, Ninatafuta mtu anayeweza kuendesha nyumba ndogo ya wageni iliyoko mjini Mwanza, maeneo ya Buswelu. Mwombaji kazi awe na elimu na uzoefu katika mambo ya biashara na kompyuta (kwa ajili ya uendeshaji wa biashara hiyo na kuitangaza katika majukwaa tofauti tofauti likiwemo la...
  19. F

    Policeman dies in Tanzania guest house

    A policeman Stewart Saiba(40) force number Pf 18530 died at Mrina Shine guest house in Arusha.Saiba came to the guesthouse at midnight accompanied by a young woman.He recorded his details in the visitors book and he was given room number 5.He was carrying a bag and a walkie talkie. According to...
  20. Muwekeza/ muendeshaji au Mnunuzi wa guest house anahitaji Dar

    Tangazo hili limekaa Kwa option zote mnunuzi au muendeshaji Guest house ipo Kata ya Minazi mirefu Kiwalani, wilaya ya Ilala Jiji ipo katika hali nzuri kabisa ina vyumba 10 self, maji ya Dawasa na ya visima virefu connected, eneo ukubwa ni square meter 400. Kwa mnunuzi offer ni million 60...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…