google

  1. ๐—ง๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐˜‚๐—ฝ๐—ฑ๐—ฎ๐˜๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

    Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni kuhusu baadhi ya watumiaji wa Android kukumbana na tatizo la Boot Loop baada ya kufanya update ya Google Play System na simu kujifanyia Restart. Tatizo hili linaweza kuifanya simu yako ishindwe kuwaka kikamilifu, badala yake kubaki kwenye logo na kujirudia...
  2. ๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—›๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ฏ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐Ÿ‘‹

    Dear Google Do better Please ๐Ÿ’ก Google bhana sijui anajionaje, Google imeongeza uwezo wa kubadilisha muonekano wa App Icons kwenye simu za Pixel kupitia Custom Icon Styles, lakini inaonekana si kila mtu ameridhishwa na matokeo yake! ๐Ÿ‘€ Baadhi ya mitindo ya icons inaonekana kutokuwa na mvuto...
  3. Google TV Launcher

    Kwa wale wanaotumia Google TV, badala ya default launcher nimeunda launcher hiyo hapo kwenye screenshot. Hii haina matamgazo, unaweza kuicustomize kwa kuondoa tiles usizozitaka. Ni free na haina inpurchases kama launch nyingine. Soon ntaipandisha nishare link maana bado ina changamoto kidogo...
  4. P

    Wale wa wenye addiction ya simu za google pixel tukutane hapa, #teampixel

    Tuambizane ni kitu gani kilikufanya ukazipenda kindakindaki simu hizi. Kuna sisi ambao bana hutuambii lolote kuhusu simu za GOOGLE pixel ata ufanyaje. Ata ziwe na changamoto gani. Mimi binafsi nimetumia iphone tangu 2008, ya mwisho ilikuwa iphone 11 pro ambayo nilitumbukiza chooni๐Ÿ˜‚ Baada ya...
  5. Bei za simu Tanzania 2026 | iPhone, Samsung, Google Pixel na Simu nyingine โ€“ Kariakoo

    Habari zenu wakuu, wana-JamiiForums! Nauza simu za aina mbalimbali kama iPhone, Samsung, Google Pixel, Sony Xperia, Sharp Aquos na nyingine nyingi. Used na Box Kama unatafuta simu nzuri kwa bei inayoendana na bajeti yako, karibu tuwasiliane. Nina simu za bei tofauti, hivyo unaweza kuniambia...
  6. SEO Tanzania: Google Maps Optimization, Google Business Profile & Website Development | lzgdigital

    SEO Tanzania | Google Maps Optimization & Website Development โ€” lzgdigital Unatafuta SEO services in Tanzania, Google Maps optimization, au msaada wa kuboresha Google Business Profile ya biashara yako? lzgdigital inasaidia biashara kuboresha uwepo wao mtandaoni kupitia huduma zifuatazo: Local...
  7. Ijue Waymo, gari iliyotengenezwa na Google ambayo inajiendesha yenyewe bila dereva.

    Waymo ni kampuni tanzu ya Alphabet Inc. (kampuni mama ya Google) inayojihusisha na utengenezaji na uendeshaji wa teknolojia ya magari yanayojiendesha yenyewe (autonomous vehicles / robotaxis). Mradi huu ulianza mnamo mwaka 2009 ukiwa kama mradi wa siri ndani ya maabara ya Google X (Google X lab)...
  8. Zimbabwean James Manyika Wins Harvardโ€™s Prestigious W.E.B. Du Bois Medal

    Zimbabwean-born technology executive James Manyika has received one of Harvard Universityโ€™s highest honours, the W.E.B. Du Bois Medal, joining a list of internationally recognised figures who have made significant contributions to Black history, culture and public life.Manyika received the award...
  9. M

    Ai IMEDONDOSHA BOMU LA NUCLEAR! ๐Ÿ’ฃ๐Ÿ”ฅ Mtu mmoja atumia Ai kutengeneza mbadala wa software za Adobe bure - Photoshop, Premiere Pro, Illustrator, n.k.

    Adobe imekuwa ikilalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kutokana na gharama za usajili na ada za kughairi huduma. Brandon Thomas ametumia uwezo wa AI kutengeneza programu zinazolenga kuchukua nafasi ya bidhaa mbalimbali za Adobe zitazokuwa bure na wazi, bila kuhitaji kulipia usajili. Watumiaji...
  10. Kwa mujibu wa Google: Manyanza ni Mwanachama Nguli, Mkongwe na Mwenye ushawishi ๐Ÿ˜Š

    Mwanachama Manyanza kwenye mtandao wa JamiiForums anaelezewa kama mmoja wa wachangiaji wakongwe, maarufu, na wenye ushawishi mkubwa sana (Platinum Member). Amejiunga na mtandao huo tangu Novemba 4, 2010, na kwa sasa ana sifa zifuatazo zinazomtofautisha jukwaani: 1. Umaarufu na Mchango Mkubwa...
  11. K

    Mada: Utafiti wa "Google" Kuhusu 'Machawa Waandamizi' wa JamiiForums: Je, Orodha Hii Iko Sawa au Kuna Waliosahaulika?

    Wadau wa JamiiForums, hamjambo! Leo katika kufanya kwangu upembuzi yakinifu wa namna teknolojia ya akili mnemba (AI) na mitambo ya utafutaji (Search Engines) inavyochambua mienendo ya kisiasa na kijamii nchini Tanzania, nimeamua kuifanyia majaribio injini ya Google. Niliiuliza swali rahisi...
  12. Huenda ukaanza kulipia app kwenye Android yako kwa jinsi unavyotumia

    Kuna mabadiliko mapya yanayoweza kubadilisha kabisa namna tunavyolipia huduma ndani ya Android apps! ๐Ÿ”ฅ Google inakuja na Mfumo unaitwa Usage-Based Billing ambapo unaruhusu watumiaji kuweza kulipia huduma kulingana na matumizi yao badala ya kulazimika kulipa subscription ya kila mwezi. Hii...
  13. ๐—•๐—ฌ๐—˜ ๐—•๐—ฌ๐—˜ ๐—ค๐—ฅ ๐—–๐—ข๐——๐—˜ ๐—š๐—ข๐—ข๐—š๐—Ÿ๐—˜ ๐—œ๐— ๐—˜๐—œ๐—ข๐—ก๐——๐—ข๐—” ๐Ÿ‘€

    Google imeanza mchakato wa kuondoa Mfumo wa kutumia Qr Code kuweza kuunganisha simu na kompyuta kwenye Google Messages for Web . Zamani ukienda kwenye Messages for Web, ulipata QR Code kwenye kompyuta: Simu โ†’ Messages โ†’ Device Pairing โ†’ Scan QR Code โ†’ Scan QR kwenye PC sasa mambo...
  14. Watalaam, PIN ya Kuverify Adsense Account kwa njia ya Posta kutoka Google mbona haifiki?

    Wakuu, nimerequest PIN kwaajili ya Kuverify Adsense Account, nimesharudia mara 3 sasa, ila haiji. Posta nimeenda sana (uzuri ni box private, na mtu wa Posta tunakutana so aliona jina langu lazima anishtue), ila wapi. Inamaana barua tatu zote zisifike? Na sijakosea address kwamaana barua...
  15. ๐—š๐—ข๐—ข๐—š๐—Ÿ๐—˜ ๐— ๐—˜๐—ฆ๐—ฆ๐—”๐—š๐—˜ ๐—œ๐— ๐—˜๐—ฃ๐—”๐—ง๐—” ๐— ๐—”๐—•๐—”๐——๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ž๐—ข ๐— ๐—”๐—ฃ๐—ฌ๐—”

    Google Messages imeanza kusambaza mabadiliko mapya ya namna ya kuangalia muda wa ujumbe uliyotuma au kutumiwa na kujibu ujumbe moja kwa moja kwa njia rahisi. Kupitia update mpya ya Google messages version ya 20260910_03_RC02 Program ya Google Messages imefanya mabadiliko kadhaa mapya kwa...
  16. Jihadhari na kununua hizi simu toka Google Pixel mwaka huu 2026

    Kama una mpango wa kununua simu used Toka kampuni ya Google yani Google Pixel basi kabla ujaamua kutoa pesa yako leo nakuambia jambo Muhimu ๐Ÿ‘‹. Sio kila Pixel unayoiona dukani ni deal nzuri ๐Ÿ˜ฌ Baadhi ya model za zamani zimeanza kusogea mwisho wa masasisho na support, zingine Betri zinazingua...
  17. Google inakuja na update kali upande wa message

    Google imesema mwaka huu Watu wote wataipenda Google Messages bhana ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Google inaandaa UI mpya(muonekano mpya)kabisa wa Google Messages ๐Ÿ˜๐Ÿ“ฑ โ€” na kwa kweli, muonekano wake unaonekana safi, wa kisasa na rahisi zaidi kutumika! ๐Ÿ” Search inahamia chini kwa matumizi rahisi ya mkono mmoja โœจ Gemini...
  18. Google imetoa update Muhimu kwa Watumiaji wa Gmail

    Google imetoa update mpya upande wa Gmail Ina msaada mkubwa sana kwa watumiaji wa Gmail๐Ÿ‘‹. Kuanzia sasa Ukipokea verification code kwenye Gmail, huhitaji tena kufungua email na kuanza ku-select namba moja moja. ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ Gmail sasa inaonyesha โ€œCopy codeโ€ โ€” bonyeza tu, code ina-copy moja kwa moja ๐Ÿ“‹โšก...
  19. V

    Youtube account and Google AdSense account

    Pata Mwongozo wa Kitaalamu Kutatua Changamoto za Kimtandao #adsense #youtube NK
  20. Google Play Store yapata kipengele kipya!

    Mpaka sasa ukitaka kupakua app kwenye Play Store, chaguo kuu lilikuwa Cancel na Ukicancel, download inaanza upya kutoka mwanzo. Google inaanza kujaribu Pause & Resume kwenye downloads za Play Store! ๐Ÿ‘€ Sasa utaweza kusimamisha download ya app na kuendelea baadaye pale ilipoishia, badala ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ