Ilaa
Nimekaa nikakumbuka zamani kidogo,. Kipindi ambacho hata ule kitu gani ( haijalishi ni wanga au protini ) Kilo zangu hazijawahi kuvuka 50,. Yaani zinacheza kwenye 48kg zikizidi sana 52kg🤗🤗
Sikuizi napambana walau nipungue nifike Tu 70kg (ndio imekuwa my dream weight 🥺🥺).. Yaani nacheza...